Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MSANII WA FILAMU SALMA OMARY ASHEREHEKEA ‘BIRTHDAY’ YA MAMA YAKE

Mama Sabby, Bi. Hidaya akikata keti na Sabby akiwa kushoto kwake. Sabby akimlisha keki mama yake.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

WAJE ASHEREHEKEA MIAKA 64 YA MAMA YAKE

Mwimbaji wa kike wa Nigeria, Waje. Lagos Nigeria MWIMBAJI wa kike wa Nigeria, Waje, jana  Juni 30, alikuwa na furaha ya kukata na shoka wakati akisherehekea kutimia kwa mwaka wa 64 wa kuzaliwa kwa mama yake. Waje akiwa na mamaake. Waje alisema jana hiyo kwamba ni mama yake pekee ndiye aliyekuwa karibu naye wakati alipopata ujauzito akiwa bado msichana mdogo miaka iliyopita. “Leo hii mama yangu… ...

 

10 years ago

Dewji Blog

Msanii Lulu aitambulisha filamu yake mpya iitwayo Mapenzi ya Mungu, filamu yaingia sokoni leo

Msanii wa Sanaa ya Maigizo Nchini, Elizabeth Michael almaarufu kama Lulu akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa alipokuwa akiitambulisha filamu yake Mpya iitwayo MAPENZI YA MUNGU ambayo amewashirikisha Flora Mtegoha au Mama Kanumba na Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya Linah Sanga.

IMG_6776

 Msanii Wa Maigizo Nchini, Elizabeth Michael almaarufu kama Lulu akiitambulisha filamu yake Mpya iitwayo MAPENZI YA MUNGU leo mbele ya wanahabari (hawapo pichani).,Kulia ni Mmoja kati wa...

 

10 years ago

Vijimambo

MSANII LULU AITAMBULISHA FILAMU YAKE MPYA IITWAYO MAPENZI YA MUNGU LEO.FILAMU YAINGIA SOKONI LEO

 Msanii wa Sanaa ya Maigizo Nchini, Elizabeth Michael almaarufu kama Lulu akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa Alipokuwa akiitambulisha filamu yake Mpya iitwayo MAPENZI YA MUNGU ambayo amewashirikisha Flora Mtegoha au Mama Kanumba na Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya Linah Sanga. Msanii Wa Maigizo Nchini, Elizabeth Michael almaarufu kama Lulu akiitambulisha filamu yake Mpya iitwayo MAPENZI YA MUNGU leo mbele ya wanahabari (hawapo pichani).,Kulia ni Mmoja kati wa wasanii...

 

10 years ago

GPL

MSANII LULU AITAMBULISHA FILAMU YAKE MPYA IITWAYO MAPENZI YA MUNGU LEO.FILAMU YAINGIA SOKONI LEO‏

Msanii wa Sanaa ya Maigizo Nchini, Elizabeth Michael almaarufu kama Lulu akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa Alipokuwa akiitambulisha filamu yake Mpya iitwayo MAPENZI YA MUNGU ambayo amewashirikisha Flora Mtegoha au Mama Kanumba na Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya Linah Sanga.
Msanii Wa Maigizo Nchini, Elizabeth Michael almaarufu kama Lulu akiitambulisha filamu yake Mpya iitwayo MAPENZI YA MUNGU leo...

 

10 years ago

Michuzi

MSANII WA FILAMU NCHINI,SINGLE MTAMBALIKE AFIWA NA BABA YAKE MZAZI


 Single Mtambalike 'Richie'. 
MSANII wa maigizo na filamu nchini,Single Mtambalike maarufu kwa jina la Richie, amefiwa na baba yake mzazi Mzee Mtambalike usiku wa kuamkia leo, Msiba upo nyumbani kwao Tabata,jijini Dar es salaam. 

 

11 years ago

GPL

MAZISHI YA MSANII WA FUTUHI MZEE DUDE OMARY

Mwili wa   marehemu Omary Majuto maarufu kwa jina la Mzee Dude aliyefariki jana jioni ukiombewa duwa. Kwa mapenzi mema na urafiki hata watoto wadogo walishiriki kuweka mchanga kuusitiri mwili wa aliyekuwa mwigizaji wa kundi la uchekeshaji wa luninga la FUTUHI marehemu Omary Majuto maarufu kwa jina la Mzee…

 

9 years ago

GPL

MO MUSIC ASHEREHEKEA ‘BIRTHDAY’ NA KUACHIA NGOMA MPYA

Mo Music akifungua shampeni baada ya kubadilisha nguo alizoloweshwa alipomwagiwa maji. Mo Music akimlisha keki mkali wa Bongo Fleva, Heri Samiry ‘Mr. Blue’ (kulia). Mo Music akimlisha keki msanii wa muziki Bongo, Ally Timbulo (kulia).…

 

10 years ago

Michuzi

muimbaji wa nyimbo za Injili, Jennifer Mgendi na ujio wa filamu yake mpya "Mama Mkwe"


FILAMU mpya ya muimbaji wa nyimbo za Injili, Jennifer Mgendi iitwayo 'Mama Mkwe' inatarajiwa kuigizwa sokoni siku ya Alhamisi baada ya kukwama kuachiwa jana Jumatatu kama ilivyokuwa imepangwa.Aidha Muinjilisti huyo amewataka mashabiki wake wasiikose kupata darasa la kutosha.
Jennifer alisema filamu hiyo itaachiwa rasmi Septemba 25 baada ya jana kukwama kwa sababu zilizo nje ya uwezo wake ikiwa ni wiki kadhaa tangu kumalizika kurekodiwa kwake na kusema kwa ujumbe uliopo ndani yake, mashabiki...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani