Msechu awataja watu wa mwanzo kumkosoa kuhusu uwezo wake wa kuandika
Baada ya Peter Msechu kukiri kuwa hana uwezo mkubwa katika uandishi wa nyimbo zake, amewataja watu wa kwanza kumkosoa na kumwambia ukweli kuwa hawezi kuandika vizuri.
Msechu amewataja Ruge Mutahaba, Master Jay, Ditto, Barnaba na wengine ndio waliokuwa wa mwanzo kumpa ukweli wa mapungufu yaliyokuwa yakimkwamisha kufanya vizuri kwenye nyimbo alizokuwa akitoa.
“Mtu wa kwanza kabisa ni Ruge, aliniita kabisa personally akaniambia we Msechu una uwezo mkubwa sana wa kuimba lakini njia unayoenda...
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies01 Oct
Gari Aina la BMW Alilopewa Kama Zawadi na Maneja Wake Martin Kadinda Lazua Maneno. Watu wahoji uwezo wa meneja wake huyo kumnunulia gari hilo huku ye akiendesha gari ''isiyoeleweka''.
Achana na lile gari aina ya Nissan Murano alilozawadiwa na mwandani wake, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, gari lingine aina ya BMW 545i aliloletewa Wema Isaac Sepetu ‘Beautiful Onyinye’ kwenye pati ya ‘bethidei’ yake ni utata mtupu na maswali kibao
NYUMBANI KWA MADAM
Pati hiyo ambayo iliandika historia katika ulimwengu maridhawa wa mastaa iliangushwa nyumbani kwa mwanadada huyo, Mtaa wa Bwawani, Kijitonyama jijini Dar, wikiendi iliyopita ambapo alitimiza umri wa miaka 26.
Katika shughuli...
9 years ago
Bongo520 Oct
Una kipaji au uwezo wa kuandika mashairi? Badilisha Poetry X-Change ipo njiani kuja Tanzania
9 years ago
StarTV04 Dec
Waandishi wa habari wajengewa uwezo Mtwara kuandika Habari Za Gesi Na Mafuta
Mradi wa kuwajengea uwezo waandishi wa habari wanaoandika habari za gesi na mafuta katika nchi tatu za Afrika, Tanzania, Uganda na Ghana unaoendeshwa na chama cha waandishi wa habari za Mazingira JET pamoja na wadau wengine umeanza kuzaa matunda baada ya kuwepo kwa ongezeko la habari zinazogusa sekta hiyo mpya hapa nchini.
Katika awamu ya pili ya mafunzo hayo kwa waandishi wa habari wanane wa Tanzania ambao hapo awali walihudhuria mafunzo hayo mjini Accra Ghana, imebainishwa kuwa tangu...
9 years ago
Bongo513 Oct
Izzo Bizness: Mangwair alikuwa ‘genius’, alikuwa na uwezo wa kuandika na kumaliza kurekodi album nzima siku moja
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/--Cuk5nv3Shw/U9jj77YeuGI/AAAAAAAF73Y/vLp-fPNi7P8/s72-c/zitto.jpg)
MSIMAMO WA MH. ZITTO KABWE KUHUSU MCHAKATO WA KUANDIKA KATIBA MPYA
![](http://4.bp.blogspot.com/--Cuk5nv3Shw/U9jj77YeuGI/AAAAAAAF73Y/vLp-fPNi7P8/s1600/zitto.jpg)
Kwanza, Mimi sijawahi kuwa UKAWA wala kundi lolote lile katika Bunge Maalumu la Katiba isipokuwa kundi linalotaka maridhiano. Msimamo wangu kuhusu Muungano ni Serikali Tatu Zilizoboreshwa (S3z) ili kuwa na Muungano imara usio tegemezi wala egemezi kwa...
9 years ago
Bongo528 Nov
Msechu aeleza kwanini hawezi kuwa na wivu kwa mchumba wake
![Peter Msechu na Mpenzi wake](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/Peter-Msechu-na-Mpenzi-wake-300x194.jpg)
Peter Msechu amesema anampenda na kumwamini mke wake.
Akizungumza na E-Newz ya EATV, Msechu alisema mchumba wake aliyezaa naye mtoto mmoja wamefahamiana tangu mwaka 2002.
“Namwachaje mwanamke nimemganda kama luba, hata nimkute na wanaume 4000 namwambia ‘mama kaoge tuendelee na maisha,” alisema alisema Mchechu.
“Maisha ni mazuri sana, mama wa mtoto wangu nimekutana naye mwaka 2002, hesabu huu ni mwaka wa ngapi nipo na huyu mama? Na huyo mama ndio aliyenipigia simu akaniambia ‘mpenzi wangu...
11 years ago
Zitto Kabwe, MB30 Jul
MSIMAMO WA NDUGU ZITTO KABWE KUHUSU MCHAKATO WA KUANDIKA KATIBA MPYA
MSIMAMO WA NDUGU ZITTO KABWE KUHUSU MCHAKATO WA KUANDIKA KATIBA MPYA
Jana tarehe 29 Julai, 2014 nimefanya mahojiano katika kipindi cha PowerBreakFast kinachorushwa na Clouds FM. Baadhi ya vyombo vya habari vimeandika mahojiano yale. Napenda nitoe ufafanuzi kidogo kuhusu msimamo wangu kuhusu mchakato wa Katiba.
Kwanza, Mimi sijawahi kuwa UKAWA wala kundi lolote lile katika Bunge Maalumu la Katiba isipokuwa kundi linalotaka maridhiano. Msimamo wangu kuhusu Muungano ni Serikali Tatu...
11 years ago
Bongo510 Jul
Msechu kuacha muziki iwapo wimbo wake mpya ‘Nyota’ hautofanya vizuri
11 years ago
Habarileo18 Feb
Sensa ya watu wenye uwezo wa kufanya kazi yaja
WANANCHi wa Mkoa wa Kusini Pemba wametakiwa kujitokeza kwa wingi kushiriki katika sensa ya kujua idadi ya watu wenye uwezo wa kufanya kazi nchini.