Mshambuliaji auawa Israel
Raia mmoja wa Israel ameuawa katika mapambano ya kurushiana risasi na kuchomana visu katika kituo cha Basi kusini mwa mji wa Beersheva.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili25 Apr
Kijana aliyewavamia polisi auawa Israel
Polisi nchini Israeli wamemuua kwa kumpiga risasi kijana mmoja wa Kipalestina aliyekuwa na kisu kwenye kizuizi kimoja huko Jerusalem.
9 years ago
BBCSwahili17 Oct
Israel:Mpalestina aliyewashambulia polisi auawa
Polisi wa Israeli wanasema kuwa wamemuua kwa kumpiga risasi mwanamume Mpalestina mjini Jerusalem baada ya kujaribu kuwashambulia.
10 years ago
Habarileo13 Aug
Kerr asaka mshambuliaji
KOCHA Mkuu wa Simba, Dylan Kerr anasaka mshambuliaji kwa ajili ya kuimarisha kikosi chake. Simba ipo kwenye mchakato wa kufanya usajili kuimarisha kikosi chake kwa ajili ya msimu mpya wa Ligi Kuu Tanzania Bara unaotarajiwa kuanza Septemba 22 mwaka huu.
10 years ago
BBCSwahili01 Jul
Mshambuliaji wa Tunisia alikuwa Libya
Maafisa wanasema Seifeddine Rezgui alipokea mafunzo ya kivita ndani ya Libya sawa na washambuliaji wa makavazi mjini Tripoli
10 years ago
BBCSwahili29 Jun
Mshambuliaji Tunisia alikuwa na washirika
Mtu aliyewashambulia watalii katika pwani ya Tunisia na kuwaua zaidi ya watu thelathini inaaminika alikuwa na washirika waliompa silaha
9 years ago
BBCSwahili19 Aug
Picha ya mshambuliaji yatolewa Thailand
Polisi nchini Thailand wametoa picha ya mwanamme mmoja ambaye anahusishwa na mlipuko ambao uliukumba mjini wa Bangkok
10 years ago
BBCSwahili16 May
Mshambuliaji wa Boston ahukumiwa kifo
Meya wa mji wa Boston amesema kuwa hukumu ya kifo aliyopewa mshambuliaji itawapa nafuu wale wote walioathiriwa
10 years ago
BBCSwahili18 Jul
FBI:Mshambuliaji alikuwa amejihami
Shirika la ujasusi la Marekani FBI linasema kuwa mwanamme ambaye alishambulia kituo cha kijeshi alikuwa na bunduki mbili
10 years ago
BBCSwahili20 Jul
Man U yasema haitaongeza mshambuliaji
Kocha mkuu wa Manchester United Louis Van Gaal ametamba kuwa hatanunua mshambuliaji mwingine kwani alio nao kwa sasa wanatosha wakiongozwa na Wayne Rooney.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania