Kijana aliyewavamia polisi auawa Israel
Polisi nchini Israeli wamemuua kwa kumpiga risasi kijana mmoja wa Kipalestina aliyekuwa na kisu kwenye kizuizi kimoja huko Jerusalem.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili21 Jun
Kijana amjeruhi polisi wa Israel
Askari polisi mmoja wa Israel, ameumia vibaya aliposhambuliwa kwa kisu katika eneo la mashariki mwa Jerusalem, ambalo linakaliwa na Israel.
9 years ago
BBCSwahili17 Oct
Israel:Mpalestina aliyewashambulia polisi auawa
Polisi wa Israeli wanasema kuwa wamemuua kwa kumpiga risasi mwanamume Mpalestina mjini Jerusalem baada ya kujaribu kuwashambulia.
9 years ago
BBCSwahili19 Oct
Mshambuliaji auawa Israel
Raia mmoja wa Israel ameuawa katika mapambano ya kurushiana risasi na kuchomana visu katika kituo cha Basi kusini mwa mji wa Beersheva.
10 years ago
GPLKIJANA AUAWA AKITUHUMIWA USHIRIKINA
Marehemu akipakiwa kwenye gari tayari kumpeleka chumba cha kuhifadhia maiti. Ndugu na jamaa wakishiriki maziko ya marehemu, Gabriel Mwasyebule kijijini kwao ndembo lwangwa. Marehemu …
10 years ago
BBCSwahili24 Dec
Kijana mwingine mweusi auawa Marekani
Maandamano makubwa yametokea nchini Marekani katika mji wa St Louis ,baada ya askari kumpiga risasi kijana mweusi .
9 years ago
BBCSwahili10 Oct
Kijana aliyewadunga kisu Waisraeli auawa
Polisi wa Israeli wanasema kuwa kijana Mpalestina amewadunga kisu Waisraeli wawili mjini Jerusalem.
11 years ago
BBCSwahili04 Apr
Kijana auawa katika mzozo wa mapenzi Kenya
Polisi mjini Nairobi, Kenya wanachunguza kisa cha mwanafunzi mmoja wa kidato cha tatu kumdunga kisu mwanafunzi mwenzake kufuatia mzozo wa mapenzi
11 years ago
Habarileo06 Jan
Kijana auawa kwa tuhuma ya kuiba kuku 4
KIJANA mwenye umri wa miaka 20 mkazi wa Kijiji cha Isagala, wilayani Kishapu, mkoani Shinyanga, ameuawa na watu waliojichukulia sheria mkononi wakimtuhumu kuiba kuku wanne.
10 years ago
BBCSwahili30 Nov
Polisi aliyemuua kijana mweusi ajiuzulu
Wakili wa afisa aliyempiga risasi na kumuua kijana mweusi ambaye hakuwa na silaha amesema kuwa mteja wake amejiuzulu.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania