Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mshangao nyumbani kwa walioua watu California

Mawakili wanaoiwakilisha familia ya wanandoa wawili walioua watu 14 mjini San Bernardino, California wamesema jamaa za wawili hao wamejawa na mshangao.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

Coronavirus: Jimbo la California lawaamuru watu kubaki nyumbani kudhibiti maaambukizi

Jimbo la California limewaamuru wakazi wake "kukaa nyumbani" huku likijaribu kudhibiti maambukizi ya coronavirus katika jimbo hilo maarufu zaidi nchini Marekani.

Govana Gavin Newsom aliwaambia wakazi wa California kuwa watatakiwa kuondoka majumbani mwao tu wakati ni muhimu wakati wa mlipuko wa virusi vya corona.

Awali alikadiria kuwa zaidi ya watu milioni 40 katika jimbo lake wanaweza kupata maambukizi ya virusi vya Covid-19 katika miezi miwili ijayo.

Virusi vya corona tayari vimewaua watu 205...

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Jimbo la California lawaamuru watu kubakii nyumbani kudhibiti maaambukizi

Serikali inakadiria kuwa karibuni virusi vya corona vitawaathiri zaidi ya nusu ya watu milioni 40 wa jimbo lake

 

10 years ago

Bongo5

Watu 2 wapigwa na kuvuliwa nguo nyumbani kwa Wema, ni mafundi wake waliodaiwa kuiba

Nyumbani kwa Miss Tanzania 2006 na muigizaji wa filamu, Wema Sepetu, kumetokea tukio la kushangaza la watu wawili wanaodaiwa kuwa mafundi, kupigwa na kudhalilishwa kwa kuachwa uchi wakidaiwa kuhusika na wizi. Wema akiwa ndani kwake Akizungumza na Bongo5 jana, jirani wa Wema aliyetambulika kwa jina la Mama Steve, alisema tukio hilo lilitokea Ijumaa majira ya […]

 

10 years ago

BBCSwahili

Ebola:Watu kusalia nyumbani S:Leone

Serikali inatafakari kutangaza awamu nyingine ya amri ya kutotoka nje kote nchini ili kuzuia kuenea kwa ugonjwa hatari wa Ebola.

 

11 years ago

GPL

MSHANGAO

Stori: Mwandishi wetu
Ikiwa ni miezi miwili imepita tangu huduma ya Mtume Lesego Daniel wa nchini Afrika Kusini ya Rabboni Ministries Centre kuwa maarufu duniani baada ya waumini wake kula nyasi kama moja ya namna ambavyo roho mtakatifu alivyowaongoza, sasa waumini hao wamegeukia majani. Katika hali ya kustaajabisha waumini wakila majani wakiamini ndiyo tiba ya magonjwa yao. Imefahamika kuwa wamekuwa wakitumia njia hiyo...

 

10 years ago

GPL

MSHANGAO MISS TANZANIA 2014

Na Erick Evarist
Mshtuko! Siku chache baada ya kutwaa Taji la Miss Tanzania 2014, Sitti Abbas Zuberi Mtemvu ameibua mshangao wa aina yake kutokana na utata wa umri wake, Ijumaa limesheheni data. Miss Tanzania 2014, Sitti Abbas Zuberi Mtemvu akionesha cheti mara baada ya kuhitimu masomo. Utata huo uliibuka saa chache mara baada ya shindano hilo kufanyika Oktoba 10, mwaka huu kwenye Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar ambapo...

 

9 years ago

Mwananchi

Mzee Kingunge ameniacha na mshangao

Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chadema, Dk Willibrod Slaa alipoamua kuachana na chama hicho yaliibuka maswali mengi kuliko majibu na hata Profesa Ibrahim Lipumba alipoukataa wadhifa wake wa uenyekiti Taifa wa CUF kwa sababu tu Edward Lowassa amepitishwa na Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kugombea urais, pia watu walihoji.

 

10 years ago

Vijimambo

ALI KIBA AVAMIWA NYUMBANI KWAKE NA WATU WANAODHANIWA KUWA NI MAJAMBAZI

 Msanii wa Bongo Fleva, Ali Kiba usiku wa kuamkia leo akiwa nyumbani kwake Kunduchi jijini Dar es Salaam, alivamiwa na kundi la watu wapatao 20 wanaodhaniwa kuwa ni majambazi. Watu hao waliokuwa na silaha za aina tofauti yakiwemo mapanga, visu na silaha za moto walifanikiwa kuvunja kuingia ndani na kuwadhuru baadhi ya ndugu wa Ali Kiba na kuiba mali na kila kitu ambacho waliweza kubeba, walimpiga na kumtesa mlinzi wa nyumba hiyo wakimtaka awaonyeshe alipo Ali Kiba, hata hivyo hawakufanikiwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani