Mshindani wa JK kupambana na Ridhiwani Chalinze
Aliyekuwa mshindani wa Rais Jakaya Kikwete katika uchaguzi wa Jimbo la Chalinze mwaka 2000 kwa tiketi ya Chama cha Wananchi (Cuf), Fabian Leonard atapambana na mtoto wa rais huyo, Ridhiwani Kikwete katika uchaguzi mdogo wa jimbo hilo utakaofanyika Aprili 6, mwaka huu.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog07 Jan
Ridhiwani Kikwete aapa kupambana na matapeli wa ardhi jimbo la Chalinze
Mbunge wa Jimbo la Chalinze, Ridhiwani Kikwete,akihutubia katika mkutano wa hadhara katika Kijiji cha Fukayosi, Kata ya Fukayosi, wakati wa ziara ya kikazi pamoja na kuwashukuru wananchi kwa kumchagua kuwa mbunge miezi sita iliyopita.Ridhiwani kutoruhusu hata kipande cha heka moja kuporwa na matapeli katika jimbo lake la Chalinze.(PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG).
Kijana Salumu Khamis akiuliza swali mbele ya Mbunge Ridhiwani Kikwete kuhusu tatizo la maji katika...
11 years ago
Habarileo08 Apr
Ridhiwani ashukuru Chalinze
RIDHIWANI Kikwete, Mbunge Mteule wa Jimbo la Chalinze wilayani Bagamoyo mkoani Pwani amesema kuwa yeye ni mbunge wa watu wote wa Jimbo la Chalinze.
11 years ago
Habarileo07 Apr
Ridhiwani achanja mbuga Chalinze
MGOMBEA Ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ridhiwani Kikwete anaendelea kufanya vizuri wakati matokeo ya kuwania nafasi hiyo yakiendelea kuhesabiwa kutoka vituo mbalimbali vya jimbo la Chalinze.
11 years ago
Habarileo27 Mar
CCM: Ridhiwani suluhisho Chalinze
MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Pwani, Mwishee Mlau amesema mwenye uwezo wa kutatua changamoto zilizopo katika Jimbo la Chalinze ni mgombea wa chama hicho, Ridhiwani Kikwete na sio mgombea mwingine.
11 years ago
Habarileo11 Mar
Ridhiwani athibitishwa na CCM Chalinze
KAMATI Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), imemteua, Ridhiwani Kikwete, kuwa mgombea katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze mkoani Pwani, unaotarajiwa kufanyika Aprili 6, mwaka huu.
11 years ago
Mwananchi12 Mar
Wanne kumvaa Ridhiwani Chalinze
11 years ago
Mwananchi10 Mar
Mfugaji kumvaa Ridhiwani ubunge Chalinze