Wanne kumvaa Ridhiwani Chalinze
Vyama vinne vimejitokeza kusimamisha wagombea wao ili wapambane na Mgombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ridhiwan Kikwete ambaye tayari amepitishwa na chama hicho tawala kuingia kwenye kinyang’anyiro hicho.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi10 Mar
Mfugaji kumvaa Ridhiwani ubunge Chalinze
11 years ago
Habarileo08 Apr
Ridhiwani ashukuru Chalinze
RIDHIWANI Kikwete, Mbunge Mteule wa Jimbo la Chalinze wilayani Bagamoyo mkoani Pwani amesema kuwa yeye ni mbunge wa watu wote wa Jimbo la Chalinze.
11 years ago
Habarileo11 Mar
Ridhiwani athibitishwa na CCM Chalinze
KAMATI Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), imemteua, Ridhiwani Kikwete, kuwa mgombea katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze mkoani Pwani, unaotarajiwa kufanyika Aprili 6, mwaka huu.
11 years ago
Habarileo27 Mar
CCM: Ridhiwani suluhisho Chalinze
MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Pwani, Mwishee Mlau amesema mwenye uwezo wa kutatua changamoto zilizopo katika Jimbo la Chalinze ni mgombea wa chama hicho, Ridhiwani Kikwete na sio mgombea mwingine.
11 years ago
Habarileo07 Apr
Ridhiwani achanja mbuga Chalinze
MGOMBEA Ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ridhiwani Kikwete anaendelea kufanya vizuri wakati matokeo ya kuwania nafasi hiyo yakiendelea kuhesabiwa kutoka vituo mbalimbali vya jimbo la Chalinze.
11 years ago
Mwananchi09 Mar
Mshindani wa JK kupambana na Ridhiwani Chalinze
11 years ago
MichuziRIDHIWANI ARUDISHA FOMU ZA UBUNGE CHALINZE