Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mshtakiwa ugaidi aonyesha alivyolawitiwa

Watuhumiwa wa kesi ya ugaidi, akiwamo Sheikh Farid Hadi Ahmed (kushoto), wakitoka kwenye chumba cha mahakama baada ya kesi yao kutajwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam. Picha na Jumanne Juma

Watuhumiwa wa kesi ya ugaidi, akiwamo Sheikh Farid Hadi Ahmed (kushoto), wakitoka kwenye chumba cha mahakama baada ya kesi yao kutajwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam. Picha na Jumanne Juma

NA KULWA MZEE, DAR ES SALAAM

MMOJA wa watuhumiwa wa ugaidi katika kesi inayomkabili Kiongozi wa Jumuiya za Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu (JUMIKI) Zanzibar, Sheikh Farid Hadi Ahmed (43), amevunja ukimya mahakamani baada ya kuonyesha suruali ilivyolowa kwenye makalio akisema ni...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

Utata maelezo kifo cha mshtakiwa wa ugaidi

WAKATI Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha ikielezwa kuwa taratibu za mazishi ya mtuhumiwa wa pili katika kesi ya ugaidi ya tukio la mlipuko wa bomu katika Baa ya Arusha Night...

 

10 years ago

GPL

MAUAJI YA POLISI 2 MKOA WA PWANI UGAIDI UGAIDI

Makongoro Oging’ na Issa Mnally
HUKU watu wakisherehekea Sikukuu ya Pasaka kwa vifijo, shangwe na nderemo, kwa familia za polisi waliouawa Vikindu wilayani Mkuranga, Pwani,  Sajenti Michael Aaron Tuheri (49) na Koplo Francis Mkinga (53) ilikuwa ni huzuni kutokana na vifo vya wapendwa wao hao. Mauaji ya polisi hayo yamewaacha ndugu na jeshi la polisi nchini katika hali ya huzuni huku yakifananishwa na yale yaliyotokea...

 

11 years ago

Mwananchi

Mshtakiwa alieleza alivyotekeleza mauaji

Mshtakiwa wa kwanza katika kesi ya mauaji ya raia eneo la Magomeni Mikumi, Dar es Salaam, David Julian Mbaike alikiri kufanya mauaji na kueleza jinsi walivyotekeleza mauji hayo yeye na wenzake sita.

 

10 years ago

Mwananchi

Shahidi amuumbua mshtakiwa mahakamani

Shahidi wa kwanza katika kesi ya wizi wa Sh23.4 milioni inayomkabili mfanyabishara Proches Mrosso (33), mkazi wa Mbezi Salasala, ameieleza Mahakama ya Wilaya ya Ilala jinsi mshtakiwa alivyokuwa akichukua fedha hizo kidogo kidogo hadi kujenga nyumba yake na kusababishia hasara kwa kampuni.

 

10 years ago

Mwananchi

Mshtakiwa wa EPA, aachiwa huru na Mahakama

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuachia huru Johnson Lukaza na mdogo wake Mwesigwa Lukaza baada ya kuwaona hawana hatia katika kesi ya wizi wa  wa Sh 6.3 bilioni za akaunti ya madeni ya Nje (EPA) iliyopo Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

 

11 years ago

Mwananchi

Mshtakiwa meno ya tembo ajidhamini mahakamani

>Mtuhumiwa anayeshtakiwa katika Mahakama ya Wilaya ya Serengeti kwa makosa ya kukutwa na meno ya tembo, ameruhusiwa kujidhamini mwenyewe, Mwananchi limebaini.

 

11 years ago

Mwananchi

Mshtakiwa ahoji mkuu wa magereza kuwahoji

Mshtakiwa mmoja kati ya 10 wanaokabiliwa na kesi ya mauaji ya kukusudia ya aliyekuwa Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba,Dk Sengondo Mvungi katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu amedai hawana imani na mkuu wa magereza kutokana na kuwahoji vitu wasivyovielewa kuhusiana na kesi yao wakati wakiwa gerezani.

 

11 years ago

Mwananchi

Mshtakiwa kesi ya mauaji aiangukia Mahakama

Mshtakiwa Makongoro Joseph Nyerere, anayekabiliwa na kesi ya mauaji ya kukusudia ya mfanyabiashara wa madini, ameiomba Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imuachie huru akakae nyumbani na watoto wake.

 

11 years ago

Mwananchi

Mshtakiwa namba moja kukosekana kesi ya twiga hai

Moshi. Kesi ya kutorosha wanyamapori hai 152 wakiwamo twiga wanne kwenda Uarabuni inatarajiwa kuunguruma leo bila kuwapo kwa mshtakiwa namba moja, Kamran Ahmed.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani