‘Msihofie El- Nino’
Wakati watabiri wa hali ya hewa wa Marekani wakionya uwezekano wa kutokea kwa maafa ya El Nino, Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), imesema viashiria vilivyopo havipaswi kuwatia hofu wananchi.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo03 Sep
El-nino kuanza Oktoba
MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa tahadhari ya kunyesha mvua nyingi za El–nino katika kipindi cha Oktoba hadi Desemba mwaka huu.
9 years ago
TheCitizen16 Nov
Musoma readies itself for El nino
9 years ago
Daily News12 Sep
TMA confirms El Nino threat
Daily News
Daily News
THE El Nino weather phenomenon that was detected by international meteorological stations has been confirmed by Tanzania Meteorological Agency (TMA). TMA Director General, Dr Agnes Kijazi, said yesterday in Dar es Salaam that the rising of ...
9 years ago
Raia Tanzania07 Sep
Kagera watahadharishwa mvua za el nino
WANANCHI wanaoishi maeneo ya mabondeni mkoani Kagera wametahadharishwa juu ya mvua kubwa (el nino) inayotabiriwa kunyesha mwishoni mwa mwezi huu.
Kutokana na hali hiyo, wamehimizwa kusafisha kingo za mifereji ya maji kupunguza mrundikano wa maji.
Meneja wa utabiri wa hali ya hewa mkoani hapa, Seda Simon, alitoa tahadhari hiyo wakati akizungumza na gazeti hili akisisitiza kuwa TMA imethibitisha kuwepo kwa mvua za el nino katika kipindi hicho.
Alisema mvua zinazotarajiwa kunyesha...
9 years ago
Mwananchi03 Nov
TMA: Mvua za El-Nino zinakuja
9 years ago
Raia Mwema30 Sep
Siasa zimetusahaulisha hatari ya El nino
JINSI Watanzania tunavyochukulia kiurahisi tahadhari ya mvua za El – nino ambazo zinategemewa kua
Njonjo Mfaume
9 years ago
BBC10 Nov
El Nino threatens 'millions in Africa'
9 years ago
TheCitizen23 Dec
Ethiopia: Devastating El Nino rains
9 years ago
BBCSwahili23 Dec
Milioni 18 wameathirika na El Nino A.Mashariki