Siasa zimetusahaulisha hatari ya El nino
JINSI Watanzania tunavyochukulia kiurahisi tahadhari ya mvua za El – nino ambazo zinategemewa kua
Njonjo Mfaume
Raia Mwema
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo29 May
'Siasa uchwara ni hatari kwa nchi'
WASOMI, wanadiplomasia na viongozi wa dini wameasa wanasiasa kuwa makini na usalama wa taifa kwa kuhakikisha tofauti za vyama vyao, hazidhoofishi utaifa na maslahi ya nchi. Wamehadharisha juu ya kile kilichoitwa ‘siasa uchwara’ na propaganda, wakisema ikifika hatua ya wanasiasa kuonesha tofauti hadharani juu ya masuala yanayogusa maslahi na usalama wa nchi, ni jambo la hatari na haileti picha nzuri usoni mwa mataifa mengine.
11 years ago
MichuziBARABARA KIJICHI - MBAGALA KUU NI HATARI ZAIDI YA HATARI!
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/mPNKZ1VMfhM/default.jpg)
10 years ago
Tanzania Daima29 Oct
Siasa sio mchezo mchafu bali CCM ndiyo yenye siasa chafu
SIASA safi ni kitu chema na siasa ni maisha na naamini Naibu Spika wa Bunge, Job Ndugai atakubaliana na mimi asilimia mia kwa hili na kama si kweli hapana shaka...
11 years ago
Mwananchi27 May
‘Msihofie El- Nino’
9 years ago
TheCitizen16 Nov
Musoma readies itself for El nino
9 years ago
Habarileo03 Sep
El-nino kuanza Oktoba
MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa tahadhari ya kunyesha mvua nyingi za El–nino katika kipindi cha Oktoba hadi Desemba mwaka huu.
9 years ago
Raia Tanzania07 Sep
Kagera watahadharishwa mvua za el nino
WANANCHI wanaoishi maeneo ya mabondeni mkoani Kagera wametahadharishwa juu ya mvua kubwa (el nino) inayotabiriwa kunyesha mwishoni mwa mwezi huu.
Kutokana na hali hiyo, wamehimizwa kusafisha kingo za mifereji ya maji kupunguza mrundikano wa maji.
Meneja wa utabiri wa hali ya hewa mkoani hapa, Seda Simon, alitoa tahadhari hiyo wakati akizungumza na gazeti hili akisisitiza kuwa TMA imethibitisha kuwepo kwa mvua za el nino katika kipindi hicho.
Alisema mvua zinazotarajiwa kunyesha...
9 years ago
BBC30 Dec
Worries grow over 'strongest El Nino'