Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Msikope bila kuwa na malengo-Ushauri

Wajasiriamali wa Kitanzania wameonywa dhidi ya tabia ya kuchukua mikopo bila kuwa na elimu ya kuendesha biashara zao, na badala yake wanapaswa kwanza kupata elimu ya ujasiriamali ili watumie vizuri mikopo hiyo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

UNAPATA PESA KISHA UNAZITUMBUA BILA MALENGO, UTAFANIKIWAJE?

Ndugu zangu, maisha ya sasa yamekuwa yakitafsiriwa tofauti na kila mtu. Wapo wanaoeleza kuwa, maisha ni magumu, maisha ni yenye upendeleo na kuongeza kuwa maisha hayana haki.Wanaokuwa na dhana hizo potofu wanafikia hatua ya kukata tamaa kabisa ya maisha na kuridhika kuishi maisha yasiyo na mbele wala nyuma. Wapo watu huko mtaani ambao wana afya nzuri, nguvu za kutosha lakini wamekata tamaa ya maisha kiasi kuridhika kabisa kuishi...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kuwa na malengo upate unachostahili

MAISHA huwa hayapendelei mtu, hakuna anayepata asichostahili katika dunia hii, kama ukipata kidogo ujue ndicho ulichokitafuta. Kwa kawaida hakuna kitu kinachokuja na kukupa mafanikio kama hujajishughulisha nacho. Bahati huja pale...

 

10 years ago

Dewji Blog

TANGO kuwa na mkutano wa hadhara Mnazi Mmoja leo kujadili malengo ya SDGS

DSC_0589

Meneja wa sera na ushirikishaji wa TANGO, Zaa Twalangeti, akizungumza na Modewjiblog kwenye mahojiano maalum yaliyofanyika katika ofisi za TANGO jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mratibu wa kitaifa wa Mtandao wa Asasi zisizo za kiserikali za haki za binadamu kusini mwa Afrika(SAHRINGON), Bi. Martina Kabisama.

Na Mwandishi wetu

ASASI isiyokuwa ya kiserikali ya TANGO imezindua kampeni kubwa ya kuelimisha umma wa Tanzania kuhusu malengo 17 ya maendeleo endelevu kwa lengo la kuyafanya kumilikiwa...

 

5 years ago

BBCSwahili

Laiser Saniniu: Amezungumza na BBC kuhusu malengo yake baada ya kutambuliwa kuwa bilionea

Mchimbaji mdogo wa madini Laiser Saniniu Amezungumza na BBC kuhusu malengo yake baada ya kutambuliwa kuwa bilionea.

 

9 years ago

Habarileo

‘Kikwete alimnoa Magufuli kuwa Rais bila kujua’

RAIS mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk John Magufuli ametajwa kuwa mbegu bora ya uongozi iliyopandwa na Rais Jakaya Kikwete ndani ya Serikali ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), bila viongozi hao wawili kujua.

 

9 years ago

Mtanzania

Diamond Platnumz: Bila Kiingereza huwezi kuwa wa kimataifa

diamondNA CHRISTOPHER MSEKENA

MSANII wa muziki wa kizazi kipya nchini, Naseeb Abdul ‘Diamond Platnumz’, amesema kuwa lugha ya Kiingereza ni lazima kwa msanii anayetaka kuwa wa kimataifa.
Diamond alipokuwa kwenye mahafali ya darasa la saba Shule ya Rightway, Mbezi Beach jijini Dar es Salaam, alisema
lugha hiyo ilimpa hofu wakati alipokuwa akitaka kufikia soko la kimataifa.

“Mwaka jana nilipata mwaliko wa kutumbuiza kwenye jumba la Big Brother, Babu Tale, akaniambia baada ya onyesho nitafanyiwa...

 

10 years ago

Mwananchi

PROFESA ABOUD: Nimegundua njia za kulima bila kuwa na shamba

Watu wengi katika jamii za mijini wameshindwa kuendesha shughuli za kilimo kwa kukosa ardhi. Hata hivyo, kutokana na maendeleo ya sayansi na teknolojia ya kilimo kukua, hivi sasa inawezekana kuendesha shughuli za kilimo bila ya kutegemea ardhi au shamba kama ilivyozoeleka.

 

10 years ago

Raia Tanzania

Bila kuchukua hatua thabiti shilingi itaendelea kuwa dhaifu

KUPOROMOKA kwa shilingi nchini dhidi ya dola ya Marekani ni tatizo linaloathiri uchumi wa nchi. Mwaka huu, thamani ya fedha imeshuka kwa wastani wa asilimia 20 ikilinganishwa na dola. Suala hili limejadiliwa sana na wadau mbalimbali, wakiwemo wabunge.

Sababu kadhaa zimetolewa na serikali, ambazo ni pamoja na; kuimarika kwa dola ya Marekani dhidi ya fedha nyingine duniani, jambo linaloelezwa kuwa limetokana na hali ya uchumi wa Marekani kuwa nzuri katika siku za karibuni; mapato ya nchi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani