Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


PROFESA ABOUD: Nimegundua njia za kulima bila kuwa na shamba

Watu wengi katika jamii za mijini wameshindwa kuendesha shughuli za kilimo kwa kukosa ardhi. Hata hivyo, kutokana na maendeleo ya sayansi na teknolojia ya kilimo kukua, hivi sasa inawezekana kuendesha shughuli za kilimo bila ya kutegemea ardhi au shamba kama ilivyozoeleka.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Profesa Bagadanshwa: Profesa aliyeshinda vikwazo vya kuwa mlemavu wa kutoona

Baadhi ya watu wenye ulemavu wanathibitisha kuwa ulemavu si kikwazo cha binadamu kutafuta haki ya msingi ya kupata elimu.

 

10 years ago

Michuzi

SITA MBARONI KWA KUMILIKI SILAHA KINYUME CHA SHERIA, KULIMA BHANGI NA KUINGIA NCHINI BILA KIBALI MKOANI DODOMA

Na. Sylvester Onesmo wa Jeshi la Polisi Dodoma.
Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma linawashikilia watu sita (6) kwa makosa mbalimbali yakiwemo ya kumiliki silaha kinyume cha sheria, kulima na kukutwa na bhangi pamoja na kuingia nchini bila kibali, kufuatia operesheni inayoendelea Mkoani Dodoma kusaka watuwanaojihusisha na uhalifu wa aina mbalimbali.
Akithibitisha matukio hayo kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi DAVID MISIME - SACP amewataja watu wanaoshikiliwa...

 

10 years ago

Vijimambo

SHAMBA LA MWANADIASPORA MZEE TEMBA LAUZWA HUKU YEYE AKIWA NA HAKI ZOTE ZA KULIMILIKI SHAMBA HILO

Diaspora tunachangamoto nyingi zinazo tukabili ukiachia mbali swala la uraia pacha ambalo sasa tumewekwa kama raia wa kigeni kwenye nchi yako ya kuzaliwa na kinachoangaliwa zaidi ni kitu gani umeifanyia nchi yako japo ughaibuni umekuja kutafuta sawa na Mtanzania yeyote aliyetoka mkoani na kuelekea Dar es Salaam kwa lengo lilelile analofanya mwanaDiaspora anapokuja ughaibuni.

Tukiachana na hiyo stori ya uraia pacha ninataka kukujuzeni kuhusu hii stori ya shamba ya mwanaDiaspora mwenzetu Mzee...

 

10 years ago

Michuzi

MAKALA YA SHERIA: HAIRUHUSIWI SERIKALI YA MTAA KUGEUZA ARDHI YA MTU NJIA BILA KUMLIPA FIDIA

Na  Bashir  Yakub.
Kuna malalamiko  katika  baadhi  ya  maeneo   na  zaidi  malalamiko  haya   yamekuwa  yakielekezwa  kwa   mamlaka  za  serikali  za  mitaa. Nimewahi  kuandika  kuhusu   ukiukaji  wa  taratibu  mbalimbali   ambao  hufanywa   na  serikali  za  mitaa  katika  maeneo  au  ardhi  za  watu.  Pia  niliandika  kuhusu  upotoshi  wa  mamlaka  za  serikali  za  mitaa  katika  kuwaandalia  watu  mikataba  ya  mauzo  ya  ardhi  wakati  wakijua  kuwa  hawaruhusiwi  kufanya  hivyo  jambo...

 

10 years ago

Mwananchi

JK amteua Profesa Asaad kuwa CAG

Rais Jakaya Kikwete amemteua Profesa Mussa Juma Assad kuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kuanzia Novemba 5, mwaka huu.

 

11 years ago

Mwananchi

Profesa Kaisi: Daktari wa kwanza kuzalisha kwa njia ya upandikizaji upandikizaji

>Hapana shaka kuwa maelfu ya wanawake nchini waliowahi kupata huduma zake wanamkumbuka bado kwa msaada mkubwa aliowapa na kuwasaidia kushika mimba, kuwapa ushauri wa kitaalamu au hata kuwazalisha.

 

10 years ago

Mwananchi

Profesa Muhongo amuasa Simbachawene kuwa makini

Waziri wa zamani wa Nishati na Madini, Sospeter Muhongo amekabidhi ofisi kwa Waziri wa sasa, George Simbachawene katika hafla fupi iliyofanyika ofisini kwake na kumwambia awe makini katika utendaji kazi hasa kwenye mikataba.

 

10 years ago

Habarileo

Shamba apatikana na zao la ‘shamba’

SHAMBA Malela (20) mkazi wa Nianjema wilayani Bagamoyo mkoani Pwani anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kupatikana na kete 136 za dawa aina ya heroin.

 

10 years ago

Mwananchi

Rais Kikwete amteua Profesa Assad kuwa CAG Mpya

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Profesa Mussa Juma Assad kuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG).

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani