Msomi atoswa Yanga
Klabu ya Yanga imeamua kuachana na mshambuliaji wake msomi, Reliants Lusajo ambaye aliitumikia timu hiyo kwa muda mfupi katika mkataba wake wa miaka miwili aliosaini akitokea klabu ya Machava ya Moshi.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi28 Dec
Okwi amwondoa straika msomi Yanga
>Ujio wa kiungo mshambuliaji mpya wa Yanga, Emmanuel Okwi umemuweka njia panda msomi wa timu hiyo, Reliants Lusajo aliyetua kuichezea timu hiyo kwenye msimu huu wa Ligi Kuu Tanzania Bara.
11 years ago
Mwananchi27 Jan
Nadir atoswa kikosi cha kwanza
Kila shetani na mbuyu wake! Kocha mpya wa Yanga, Hans Van Der Pluijm amemchomoa rasmi katika kikosi cha wachezaji 11 wa kwanza beki mkongwe wa timu hiyo, Nadir Haroub ‘Canavaro’.
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-9GRF6qSFToU/VB6-Q0Rz4QI/AAAAAAAAcA0/jRXKaIf9wm8/s72-c/meninah.jpg)
Wema Sepetu Atoswa ! Vikao Vya Harusi Ya Diamond Na Meninah Vyaanza Nyumbani Kwa Mama Diamond.
![](http://3.bp.blogspot.com/-9GRF6qSFToU/VB6-Q0Rz4QI/AAAAAAAAcA0/jRXKaIf9wm8/s640/meninah.jpg)
9 years ago
Mwananchi14 Oct
Msomi amtungia Nyerere kitabu
Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Kikatoliki Ruaha Iringa, Profesa Gaundence Mpangala amemuenzi Mwalimu Julius Nyerere kwa kuzindua kitabu chenye kurasa 16 kiitwacho, ‘’Historia ya Mkombozi Mwalimu Julius Nyerere ‘’.
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/-M5JLAFxn1E0P8pHUMEwY4AzgkXCsnyXqgeKnRhXVIGh5pba8Zz0awLuROWB48Vud82m9ryR5XM1SUiiJCXgyI6OaJ9I--sx/denti.jpg?width=650)
MSOMI CHUO KIKUU AUAWA
Shani Ramadhani RIP! Kijana aliyefahamika kwa jina la Shelitiael Steven Mbise, aliyekuwa akisoma Chuo Kikuu cha Dodoma (Udom) amefariki dunia kwa kuchomwa kisu na muuza chipsi kufuatia kutofautiana. Kwa mujibu wa chanzo kutoka Dodoma, denti huyo alikuwa akichukua masters akiwa kwenye mwaka wake wa kwanza.
“Marehemu alikuwa amepanga chumba nje ya chuo, Mtaa wa Chako ni Chako lakini kipindi hiki chuo kimefungwa alikuwa hapa na...
11 years ago
Mwananchi18 May
Msomi: CCM inapinga uamuzi wake
Moja ya shughuli zilizoambatana na maadhimisho ya miaka 50 tangu nchi za Tanganyika na Zanzibar ziungane, ni kongamano lililojadili na kutathmini muungano huo, lililoandaliwa na Jukwaa la Wanataaluma Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDASA).
10 years ago
BBCSwahili13 Oct
Msomi mkenya Profesa Mazrui afariki
Msomi mashuhuri duniani Profesa Ali Mazrui ameaga dunia nchini Marekani. Mazrui ni mzaliwa wa Kenya na alikuwa anaishi Marekani
10 years ago
BBCSwahili19 Sep
Msomi wa kiisilamu aleta kero Afrika:K
Msomi wa kiisilamu amezindua rasmi msikiti ambao anasema wapenzi wa jinsia moja wataruhusiwa kusali ndani na wanawake kuongoza sala.
9 years ago
Mwananchi15 Sep
Msomi abuni twisheni kwa njia ya mtandao
Kuongezeka idadi ya watumiaji wa huduma ya mtandao wa intaneti, kumeleta changamoto kubwa kwa wataalamu wa Tehama wakiwamo wale wa masuala ya elimu.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania