Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MTANZANIA RASHID CHARLES MBERESERO AMEWEKWA KIZUIZINI KWA KIPINDI CHA MWEZI MMOJA


RASHID MBERESERO TEMBA
Mtanzania anayedaiwa kuhusika katika shambulizi la kigaidi lililoua watu 148 katika Chuo Kikuu cha Garissa – Kenya, Rashid Charles Mberesero, jana alifikishwa mahakamani na kuwekwa kizuizini kwa mwezi mmoja wakati polisi wakiendelea kukusanya ushahidi dhidi yake.

Mtuhumiwa huyo ambaye pia anafahamika kwa jina la Rehani Dida alirejeshwa Nairobi kutoka Garissa alikopelekwa awali kwa ajili ya kuhojiwa baada ya kukiri kujihusisha na kundi la Al- Shabaab.
Mahakama jijini...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

10 years ago

BBCSwahili

Maswali ni mengi juu ya Rashid Mberesero

Wiki mbili baada shambulio la chuo kikuu Garissa,maswali bado hayana majibu kuhusu mmoja wa watuhumiwa Rashid Mberesero

 

10 years ago

Vijimambo

MTANZANIA CHARLES MIHAYO ALIYEUWA WATOTO WAKE AHUKUMIWA KIFUNGO CHA MAISHA

 Photo: Mihayo will serve a minimum of 31 years in prison for murdering his daughters. (AAP: Julian Smith)Photo: Indianna, 3, (left) and Savannah, 4, 
A Melbourne man who murdered his two young daughters by smothering them with a pillow has been sentenced to life in jail.

Charles Mihayo, 36, smothered his daughters Savannah, 4, and Indianna, 3, at his unit at Watsonia in April.

He pleaded guilty to the killings in August and was today sentenced in the Supreme Court to a minimum of 31 years in...

 

11 years ago

Mwananchi

Mafanikio ya BRN katika kipindi cha mwaka mmoja

Mwezi Juni mwaka 2013, Rais Jakaya Kikwete alimteua Omari Issa kuwa mtendaji mkuu wa Ofisi ya Rais-Usimamizi wa Utekelezaji wa Miradi (PDB), inayoratibu Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN).

 

11 years ago

GPL

OSCAR PISTORIUS KUFANYIWA UCHUNGUZI WA KIAKILI KWA MWEZI MMOJA

Mwanariadha wa Afrika Kusini, Oscar Pistorius. JAJI katika kesi inayomkabili Oscar Pistorius wa Afrika Kusini anasema kuwa mwanariadha huyo lazima aanze kufanyiwa uchunguzi wa kiakili kuanzia Jumatatu wiki ijayo kwa muda wa mwezi mmoja kubaini hali yake kiakili alipomuua mpenzi wake Reeva Steenkamp. Jaji Thokozile Masipa aliamuamuru Pistorius kua awe anakwenda katika hospitali ya maradhi ya kiakili ya Weskoppies mjini Pretoria...

 

10 years ago

Michuzi

DART yaainisha mafanikio yaliyopatikana katika BRT, kuleta mabasi 76 Mwezi Septemba mwaka na kuanza rasmi kipindi cha mpito

Muonekano wa sehemu ya awamu ya kwanza ya Mradi wa Magari Yaendayo Haraka (BRT) ambapo kipindi cha mpito kinatarajia kuanza Septemba mwaka huu. 
Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) imeisifu serikali ya awamu ya nne chini ya Rais Jakaya Kikwete kwa mafanikio ya ujenzi wa awamu ya kwanza ya Mradi wa Magari Yaendayo Haraka (BRT) ambapo kipindi cha mpito kinatarajia kuanza septemba mwaka huu. 
Mradi huu unatarajia kuboresha maisha ya wakazi wa jiji la Dar es Salaam ambalo limesongwa na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani