Mteja kakasirishwa na bili hotelini, akaamua kuingiza gari mpaka meza ya mapokezi ndani (+Video)
Hasira hasara… hasira ya huyu jamaa ilianzia kwenye mzigo wa bili ya huduma aliyosogezewa baada ya kuhudumiwa katika hoteli moja Marekani, akaona poa hamna namna, maamuzi yake ikawa ni kutoka nje ya mgahawa na kuingia ndani gari yake kwa hasira. Ishu nzima ilinaswa na camera ya CCTV, Oklahoma Marekani, mzee aliyefanya tukio hilo ni John Parsley ambaye […]
The post Mteja kakasirishwa na bili hotelini, akaamua kuingiza gari mpaka meza ya mapokezi ndani (+Video) appeared first on...
MillardAyo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo12 Feb
MAUAJI YA MTEJA WA GARI. Ndugu wasimulia

Mapya yameibuka katika mauaji ya Farahan Maluli (30), anayedaiwa kuuawa na rafiki yake ambaye ni mtoto wa bosi wake baada ya ndugu wa marehemu kuzungumzia jinsi marehemu alivyokuwa akitoa fedha kwa mtuhumiwa wa mauaji hayo.
Ndugu wa marehemu walifichua siri hiyo wakati wakizungumza na NIPASHE kwenye mazishi ya kijana huyo...
10 years ago
StarTV03 Feb
Airtel yazindua promoseni mteja kujishindia gari.
Na Grace Semfuko,
Dar Es Salaam.
Kampuni ya simu za Mkononi ya Airtel imezindua promosheni ya Airtel Yatosha zaidi ambapo wateja wanaotumia vifurushi vya Airtel yatosha watapata fursa kujishindia gari aina ya IST lenye thamani ya Shilingi milioni 15.
Promosheni hiyo ambayo itafanyika katika kipindi cha miezi miwili imelenga kutoa zawadi ya gari moja kila siku kwa wateja wake waliojiunga na kifurushi cha siku, wiki na mwezi.
Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Kampuni ya Airtel Beatrice...
10 years ago
GPL
MKE ASIMULIA MAPYA SAKATA LA MAUAJI YA MTEJA WA GARI
10 years ago
MichuziMteja wa Benki ya NBC Tawi Bukoba akabidhiwa zawadi kubwa ya gari la Promosheni ya Weka Upewe
5 years ago
BBCSwahili27 Jun
Maafisa wa Umoja wa Mataifa washtushwa na video ya ngono ndani ya gari la UN Israel
10 years ago
Vijimambo
MAPOKEZI YA DIAMOND NA SHOW YAKE NDANI YA BUNJUMBURA NI SHEEEEEDA
Pata taswira ya mambo yalivyokuwa pande hizo kwa kujitiririsha hapa chini kiroho safi








Facebook Fans Page: DJ CHOKA
Instagram: @chokadj OR @djchokamusic
11 years ago
Dewji Blog02 Jun
Baada ya mabasi kuzuiwa kituo cha Mwenge wafanyabiashara wadogo wapanga kuandamana kupinga kuweka meza zao za biashara ndani ya kituo
Abiria wakiwa wanashangaa Daladala zinapita Mwenge Bila kusimama.
Daladala zikiwa zinapita bila kusimama sehemu yoyote.
Kituo cha kwenda Tegeta , Kawe na Mbezi Beach kikiwa Kitupu Muda huu.
Kituo cha Mabasi Mwenye Cheupe hakuna hata Daladala hata moja.
Bajaji ndizo zimegeuka kuwa daladala na ni Tsh 1000 tu kwa mtu mmoja mpaka Mwenge.
Eneo ambalo Daladala zilikuwa nyingi sasa hakuna tena mabasi hayo.
Bajaji zikiendelea na Kazi.
Upande wa Mwenge kwenda Morocco Pia hakuna mabasi...
9 years ago
MillardAyo01 Jan
Wamekaa wanasubiri mwaka mpya, ghafla moto umezuka hotelini Dubai.. (+Video)
Wakati unahesabu dakika chache kuuvuka mwaka 2015 salama, najua kuna watu wangu wako kwenye nyumba za ibada wanamshukuru MUNGU, wengine wamekusanyika na ndugu jamaa na marafiki kwa utulivu kuenjoy huku wakisubiri na kuzihesabu kwa pamoja zile sekunde za mwisho za mwaka 2015 kwa amani kabisa, inanifikia taarifa kutoka Dubai kwamba jingo moja la Hoteli limewaka […]
The post Wamekaa wanasubiri mwaka mpya, ghafla moto umezuka hotelini Dubai.. (+Video) appeared first on TZA_MillardAyo.