MTO MSIMBAZI UNAOKATIZA ENEO LA JAGWANI WAANZA KUPIGWA SOP SOP
Mhandisi wa Kampuni ya Chico, David Waruma akizungumza leo jijini Dar es Salaam juu ya kazi ya kusafisha na kuzibua uchafu katika daraja la Mto Msimbazi eneo la Jangwani, Jijini Dar es salaam kuzuia na kukomesha mafuriko yanayotokea kipindi cha mvua ambayo huleta athari kwa jamii inayozunguka eneo hilo pamoja na kulinda Kituo cha Mabasi yaendayo Haraka (BRT) cha Jangwani (Jangwani Depot), kisiathirike na Mafuriko endapo yatatokea. Vifaa maalum kwa ajili ya kusafisha Mto Msimbazi,...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi13 Jan
UWANJA WA KAITABA MJINI BUKOBA WAANZA KUPIGWA SOP SOP
Rais wa TFF, Jamal Malinzi alisema kuwa kutokana na ukarabati huo tayari Kagera Sugar imeshaomba kutumia Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza kwa ajili ya mechi zake za nyumbani. Katika hatua nyingine, Malinzi alisema kutokana na kikao cha Kamati ya Utendaji cha FIFA kilichokutana hivi karibuni kiliweka wazi kila Mwanachama wa FIFA ataendelea kupata dola za kimalekani 600,000...
11 years ago
MichuziWATOTO WALIVYOJITOA KUKIPIGA SOP SOP KITUO CHA DALADALA CHA UBUNGO JIJINI DAR
11 years ago
MichuziKIKWANGUA ANGA KANDO KANDO YA MTO UNAOKATIZA BONDE LA JANGWANI JIJINI DAR
9 years ago
MillardAyo06 Jan
Hii ni mipango ya Serikali bonde la mto Msimbazi baada ya Bomoabomoa kukamilika…
Wakati zoezi la Bomoabomoa likiendelea katika maeneo mbalimbali ya jiji la Dar es salaam tayari Baraza la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira NEMC limetoa mikakati ya kuendeleza bonde la mto Msimbazi. Mkurugenzi Mkuu wa NEMC Bonaventure Baya amezungumzia mipango yao kuwa wana mpango wa muda mfupi kati ya Januari 2016 hadi Juni 2016. Baada ya Ubomoaji Serikali […]
The post Hii ni mipango ya Serikali bonde la mto Msimbazi baada ya Bomoabomoa kukamilika… appeared first on...
9 years ago
Bongo Movies05 Jan
Mahakama Kuu Kitengo cha Ardhi imezuia Bomoabomoa ya Nyumba za Wananchi Bonde la Mto Msimbazi
Mahakama kuu kitengo cha ardhi imezuia bomoabomoa ya Nyumba za wananchi bonde la mto Msimbazi hadi kesi ya msingi ikamilike Jan,11 mwaka huu.
Hukumu hiyo inafuatia shauri lililofunguliwa na Mbunge wa Kinondoni (CUF) Maulid Mtulia, kufungua kesi katika Mahakama kuu ya Ardhi kupinga ubomoaji wa nyumba uliokuwa ukiendelea bila kutoa njia mbadala za makazi ya wale wanaobomolewa.
Cloudsfm.com
10 years ago
MichuziHIVI NDIVYO MAMBO YALIVYO KATIKA MAENEO YALIYO KANDO NA BONDE LA MTO MSIMBAZI,VINGUNGUTI JIJINI DAR
BOFYA HAPA KUTEMBELEA LIBENEKE LA MTAA KWA MTAA KUONA PICHA ZAIDI
9 years ago
MichuziBOMOA BOMOA YAWAFIKIA WANANCHI WANAOISHI PEMBEZONI MWA BONDE LA MTO MSIMBAZI JIJINI DAR ES SALAAM.
11 years ago
GPLMASKINI! KICHANGA CHATUPWA ENEO LA MTO NG'OMBE MWANANYAMALA, DAR
10 years ago
MichuziMkutano wa nne wa Jopo la Maendeleo ya Bonde la Mto Nile waanza mjini Nairobi,Kenya