Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mtoto Angel Machellah apokea Sakramenti ya Kipaimara katika Parokia ya Kimara

Askofu msaidizi wa Kanisa Katiloki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Titus Mdoe (Kulia) akizungumza na Watoto waliopata Sakramenti ya Kipaimara katika Kanisa Katholiki la Kimara jijini Dar es Salaam jana.Mtoto Angel Machellah (mbele) akiwa na watoto wenzie wakijiandaa kuingia kanisani wakati wa kupokea Sakramenti ya Kipaimara iliyofanyika katika Kanisa Katoloki Parokia ya Kimara Dar es Salam jana.

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

sherehe za kipaimara na uwekaji jiwe la msingi kwa kanisa jipya parokia ya babati


 Miongoni mwa vijana 116 waliopatiwa Kipaimara na Askofu wa Jimbo la Mbulu Mkoani Manyara, Beatus Kinyaiya, kwenye  kanisa la Parokia ya Roho Mtakatifu mjini Babati juzi, hapa wakipita mbele ya wageni na waumini mbalimbali wa eneo hilo.
Askofu wa Jimbo la Mbulu Mkoani Manyara, Beatus Kinyaiya akiweka jiwe la msingi juzi kwenye ujenzi wa kanisa jipya la Parokia ya Roho Mtakatifu mjini Babati, linalotarajia kugharimu sh915 milioni.

 

10 years ago

GPL

NJEMBA APOKEA KICHAPO HEVI AKIDAIWA KUMLAWITI MTOTO ARUSHA

NJEMBA mmoja ambaye ni fundi saa maeneo ya Stendi Kuu jijini Arusha leo amepokea kipigo cha mbwa mwizi baada ya kudaiwa kumlawiti mwanafunzi wa kiume wa darasa la tatu wa shule moja jijini humo. (PICHA NA GLOBAL WHATSAPP 0753 715 779)

 

11 years ago

Michuzi

WENGI WAJITOKEZA MAZISHI YA EVERLYNE MACHELLAH

 Katekista wa Kanisa Katoliki Mwananyala akiongoza ibada ya kuaga mwili wa marehemu, Everlyne Michael Machellah nyumbani kwao Mwananyamala jijini Dar es Salaam leo. (Picha zote na Francis Dande)Ibada ikiendelea.Michael Machellah akiwa na waombolezaji wengine. Ibada ikiendelea. Mama wa marehemu (kulia) akiwa na huzuni wakati wa ibada ya kuaga mwili nyumbani kwao Mwanyamala.Michael Machellah akiwa na huzuni wakati wa ibada ya kuaga mwili wa mtoto wake Everlyne.

BOFYA HAPA KWA PICHA...

 

11 years ago

Habarileo

Kanisa lauza Sakramenti Sh 100,000

WAUMINI wa Kanisa la Break Through Assemblies lililoko eneo la Boko Magengeni nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam linadaiwa kuuza Sakramenti kwa Sh 100,000 kwa kila muumini. Hatua hiyo inadaiwa kuwanyima wasio na fedha chakula hicho cha Bwana hivyo kusababisha malalamiko dhidi ya uongozi wa Kanisa hilo la Walokole.

 

10 years ago

Michuzi

Lauryn Mnjeja na familia yake washerehekea kupata kipaimara

 Lauryn Mnjeja akiwa na wazazi wake pamoja na wadogo zake. Lauryn akiwa na mama yake mzazi Anna Gibson (kulia) na mama yake mkubwa Glory. .Lauryn Mnjeja akimlisha keki mdogo wake Nancy Baraka, huku Habiba Mohammed akishuhuhia wakati wa sherehe ya kumpongeza kwa kupata kipaimara kwenye kanisa la KKKT, Kivule Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Sherehe ilifanyika ukumbi wa bwalo B Air Wing Ukonga, Dar es Salaam.Lauryn Mnjeja akiwapungia wageni mbalimbali waliojitokeza kwenye sherehe ya kumpongeza...

 

11 years ago

Habarileo

Kanisa Katoliki latoa hofu waumini kuhusu sakramenti

UONGOZI wa Kanisa Katoliki nchini umewatoa hofu waumini wake, kuhusu uwepo wa baadhi ya makanisa yanayodaiwa kuuza sakramenti na kueleza kuwa suala hilo haliwahusu.

 

10 years ago

Habarileo

Kanisa Katoliki lafunga Parokia 50

KANISA Katoliki duniani limeamua kufunga zaidi ya parokia 50 katika Jimbo Kuu la Kanisa Katoliki la New York nchini Marekani, katika mkakati wa kanisa hilo kujinusuru na madeni ya parokia zisizojiendesha, ambao haujawahi kufanyika katika miaka 164 ya jimbo hilo.

 

10 years ago

Michuzi

Waziri Mwakyembe apokea mabehewa yatakayo boresha usafiri katika reli ya kati

Waziri wa Uchukuzi, Dkt. Harrison Mwakyembe (mwenye miwani katikati) akizungumza na waandishi wa habari wakati wa alipopokea sehemu ya mabehewa ya kisasa yatakayotumika kuboresha usafiri katika reli ya kati ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN).Waziri wa Uchukuzi, Dkt. Harrison Mwakyembe akiangalia kitu wakati wa kupokea sehemu ya mabehewa ya kisasa yatakayotumika kuboresha usafiri katika reli ya kati ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa Mpango wa Matokeo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani