MTOTO ASOMBWA NA MAJI, AFARIKI

MTOTO wa miaka sita, Bernard Benjamin ambaye alikuwa mwanafunzi wa Shule ya Msingi Nyamunge, wilayani Ilemela jijini Mwanza, amesombwa na mafuriko na mwili wake kukaa siku kumi na tano bila kuharibika. Mafuriko yaliyosababisha kifo cha marehemu mtoto Bernard Benjamin. Tukio hilo lilijiri Desemba 2, mwaka huu kwenye Mto Kenge jijini hapa, maeneo ya Mabatini, Wilaya ya Nyamagana baada ya kujaa maji ambapo marehemu alisombwa na...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima16 Mar
Afariki kwa kusombwa na maji
MKAZI wa Bonyokwa aliyetambuliwa kwa jina la Abuu Ally (18), ambaye ni fundi mwashi amefariki dunia juzi jijini Dar es Salaam baada ya kusombwa na maji wakati akijaribu kuvuka mto....
11 years ago
Mwananchi04 May
Mtoto anajisiwa, afariki dunia
11 years ago
GPL
MTOTO SALUMU AFARIKI DUNIA
11 years ago
GPLMTOTO WA MACHO AFARIKI DUNIA
11 years ago
Tanzania Daima03 Jun
11 years ago
Mwananchi19 Jul
Aliyemuua mtoto na kula ubongo afariki
10 years ago
GPL
MTOTO WA MWALIMU NYERERE AFARIKI DUNIA
10 years ago
GPL
MTOTO AFANYIWA BETHIDEI, AFARIKI DUNIA
11 years ago
Michuzi
mtoto nasra rashid afariki dunia
