MTOTO MIAKA 9 AKUTWA AMEJINYONGA

Stori: Gabriel Ng’osha MY God! Katika hali ya kushangaza, mtoto Focus Saimoni (9), mkazi wa Kwa Bibi Yuda, Kinondoni jijini Dar amekutwa amejinyonga kwenye komeo la mlango wa sebule yao. Baba mzazi wa marehemu Focus Saimon (9). Focus aliyekuwa akisoma darasa la tatu katika Shule ya Msingi Kumbukumbu, amedaiwa kufanya tukio hilo Jumamosi iliyopita kwa kufunga gauni la mdogo wake shingoni na kujitundika kwenye komeo hilo...
GPL
Habari Zinazoendana
5 years ago
CCM Blog
MTOTO MIAKA 6 AKUTWA NA VIRUSI VYA CORONA

Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya nchini humo, Mercy Mwangangi, amesema wagonjwa wapya ni raia wa Kenya wenye umri kati ya miezi 6 na miaka 60 na watu 13 ni wanaume na 12 ni wanawake, wote hawana historia ya kusafiri hivi karibuni.
Katibu huyo ameeleza kuwa wanafanya kazi na...
11 years ago
Tanzania Daima15 Jul
Mtoto aliyepotea akutwa mtupu
MTOTO Lusia Moga (2) aliyepotea katika mazingira ya kutatanisha Julai 8, mwaka huu kati Kijiji cha Bukore wilayani Bunda, Mara amekutwa akiwa mtupu nyumbani kwa Magembe Nyabu, mkazi wa kijiji...
10 years ago
Habarileo19 Feb
Mtoto aliyetekwa Geita akutwa amekufa
MTOTO Yohana Bahati mwenye ulemavu wa ngozi (albino), aliyetekwa katika Kijiji cha Ilelema wilayani Chato katika Mkoa wa Geita, mwili wake umekutwa ukiwa umefukiwa huku umenyofolewa miguu na mikono.
10 years ago
Dewji Blog18 Feb
Breaking News: Mtoto Albino akutwa ameuwawa kikatili
Kamanda wa Polisi mkoani Geita, Joseph Konyo pichani.(Picha na Maktaba)
Mwili wa mtoto wa mwaka mmoja mwenye ulemavu wa ngozi Yohana Bahati aliyeporwa mikononi mwa mama yake juzi Mkoani Geita, umekutwa jana jioni ukiwa umekatwa miguu na mikono yote na kufukiwa ardhini kwenye hifadhi ya msitu wa Biharamulo, Wilayani Chato.
Imethibitishwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita, Joseph Konyo.
R.I.P Yohana Bahati
10 years ago
Dewji Blog16 Apr
Exclusive gossip!! Elizabeth Michael ‘Lulu’ atimiza miaka 20, akutwa na majanga makubwa tena?
Lulu akiwa kwenye pozi..
..Afunga ‘akaunti’ yake ya Instagram kwa siku zisizojulikana ..Wema Sepetu ampongeza, amuonea huruma kifo cha SekiNa Andrw Chale wa Modewji blog
Habari maalum hadi tunakuwekea hapa, Leo Aprili 16.2015, ni siku ya kipekee kwa muigizaji na Msanii wa filamu na ‘modo’ kwenye matangazo mbalimbali ya Bongo, Elizabeth Michael maalufu kama Lulu ambaye ametimiza miaka 20.
Hata hivyo hadi hivi sasa Lulu ambaye pia amekuwa na wafuasi wengi kwenye mitandao yake ya...
10 years ago
Dewji Blog24 Aug
Mtoto wa miaka 9 aozeshwa na baba yake kwa mwanaume mwenye miaka 60

Mtoto Ester Meliyo Lukumay (9).
Mtoto Ester Meliyo Lukumay (9) akiwa amepozi.
Mtoto Ester Meliyo Lukumay (9) akizungumza jana na Msaidizi wa Kisheria wa Kataa ya Makuyuni Kijiji cha Makuyuni Wilaya ya Monduli Mkoa wa Arusha na Ofisa Maendeleo ya Jamii wa Kataa hiyo, Ruthi Mashambo (kulia).
Mtoto Ester Meliyo Lukumay (9) akizungumza jana na Msaidizi wa Kisheria wa Kataa ya Makuyuni Kijiji cha Makuyuni Wilaya ya Monduli Mkoa wa Arusha na Ofisa Maendeleo ya Jamii wa Kataa hiyo,...
11 years ago
Dewji Blog22 May
INASIKITISHA SANA: Mtoto wa miaka 4 afichwa katika Boksi miaka 4
Maria Said mama mkubwa wa Nasra, (katikati) ni baba mzazi wa Nasra, Rashidi Mvungi, na (kulia) ni mume wa Mariam Said wakiwa katika ofisi za ustwawi wa jamii mjini Morogoro baada ya kukamatwa na kufikishwa polisi kwa tuhuma za kumficha mtoto huyo ndani ya box kwa miaka 4 baada ya mama wa mtoto huyo kufariki dunia kwa ugonjwa wa Malaria.
MUME na mke wanashikiliwa na polisi mkoani Morogoro kwa tuhuma za kumficha mtoto kwa miaka 4 ndani ya Box .
Kamanda wa polisi mkoani Morogoro Leonard Paul...
10 years ago
Vijimambo19 Feb
Mtoto albino aliyenyang'anywa mikononi mwa mamaye akutwa amekatwa miguu, mikono yote. Kiwiliwili chake chatelekezwa msituni

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita, Joseph Konyo.
Siku tatu baada ya mtoto mwenye ulemavu wa ngozi (albino), Yohana Bahati (1), kutekwa na watu wasiofahamika, hatimaye mwili wake umepatikana ukiwa umekatwa miguu, mikono yote na kiwiliwili chake kufukiwa shambani katika Kitongoji cha Mapinduzi, Kijiji cha Rumasa ndani ya hifadhi ya msitu wa Biharamulo Wilaya ya Chato, mkoani Geita.
Mtoto huyo alinyakuliwa Jumapili iliyopita nyumbani kwao saa 2:15 usiku akiwa amebebwa na mama yake mzazi, Esther...
11 years ago
Mwananchi09 Jan
Baba wa miaka 54 aoa mtoto wa miaka minane