Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mtoto wa Maneti kutoka kivyake

komweta manetiNA MWANDISHI WETU

ALIYEKUWA mwimbaji wa bendi ya Vijana Jazz, Komweta Maneti, ameendelea kuandaa nyimbo zake kama msanii binafsi ili aendeleze kipaji chake tofauti na kuimba katika bendi.

Komweta amesharekodi nyimbo kadhaa chini ya prodyuza C9 aliyekuwa studio ya Kiri record na sasa anaendelea kuzikamilisha nyimbo hizo zaidi ya tano kwa ajili ya kuanza kuzitoa kwa mashabiki wake kabla ya kuanza maonyesho yake.

“Niliachana na kazi za bendi kwa ajili ya kujiimarisha mwenyewe na sasa naendelea...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

KOMWETA HEMED MANETI A.K.A CHIRIKU WA VIJANA JAZZ AFUATA NYAYO ZA MAREHEMU BABA YAKE HEMEDI MANETI ULAYA

1970462_1454799778083088_1638018053_nKomweta Hemed Maneti a.k.a Chiriku mwanamuziki wa bendiya Vijana Jazz 1486871_1427285270834539_2027172492_nMarehemu Hemedi Maneti Ulaya Chiriku aliyekuwa mwamuziki wa bendi ya Vjana Jazz enzi hizo. ......................................................................................................Komweta Hemed Maneti a.k.a Chiriku ni Mtoto wa mwanamuziki wa zamani marehemu Hemedi Maneti Ulaya Chiriku aliyekuwa akiimba katika bendi ya umoja wa vijana Vijana Jazz enzi hizo ambapo anasema amekuwa kwenye muziki kwa muda mrefu...

 

10 years ago

Mtanzania

Mtoto wa Maneti kurudia ‘Wifi Zangu’ na ‘Tambiko la Pambamoto’

Komweta MTOTO WA MANETINA MWANDISHI WETU
MTOTO wa aliyekuwa nguli wa muziki wa dansi nchini, Hemedi Manet (marehemu kwa sasa), Komweta Maneti, anatarajia kukamilisha nyimbo mbili na video zake kuzifanyia Sumbawanga mkoani Rukwa.
Mwanamuziki huyo ambaye anafanyakazi na bendi ya Vijana Jazz, alizitaja nyimbo hizo ambazo ziliwahi kuimbwa na mama yake, Kida Waziri na baba yake, Hemed Manet ni ‘Wifi Zangu’ na ‘Tambiko la Pambamoto’.
“Nyimbo hizi zilifanya vizuri katika muziki wa dansi kipindi hicho, hivyo nimeamua...

 

11 years ago

Mwananchi

Miaka 24 ya kifo cha Hemed Maneti Ulaya

“Maria eeeh… Marry...! Sikiliza miziki ya Awamu ya Pili Maria, inavyolalamika juu yako… sina raha Mariaaa wala sitamani kula Maria, kama nasafiri Tanga, Moshi, Arusha Sumbawanga, nakufikiria wewe Mariaaa, sijapenda namna hii toka kuzaliwa, wala sitapenda mpaka siku ya kufaaa… aah aaaah… Mariaaa eeeeh, Adios aaah aaah….”

 

10 years ago

Mwananchi

Kida Waziri: Nilinyanyapaliwa, niliambiwa Maneti amekufa kwa Ukimwi- 13

Mwanamuziki wa zamani wa Bendi ya Vijana Jazz (Pambamoto), Kida Waziri, anaendelea kusimulia maisha yake baada ya kifo cha aliyekuwa kiongozi wa bendi hiyo, Hemedi Maneti Ulaya (Chiriku).

 

11 years ago

GPL

KOMWETA HEMED MANETI A.K.A CHIRIKU WA VIJANA JAZZ AFUATA NYAYO ZA MAREHEMU BABA YAKE

Komweta Hemed Maneti a.k.a Chiriku mwanamuziki wa bendi ya Vijana Jazz. Marehemu Hemed Maneti Ulaya Chiriku aliyekuwa mwamuziki wa bendi ya Vijana Jazz enzi hizo. Komweta Hemed Maneti a.k.a Chiriku ni Mtoto wa mwanamuziki wa zamani marehemu Hemedi Maneti Ulaya Chiriku aliyekuwa akiimba katika bendi ya umoja wa vijana, Vijana Jazz enzi hizo ambapo anasema amekuwa kwenye muziki kwa muda mrefu japokuwa kama ilikuwa kama...

 

9 years ago

BBCSwahili

Gesi kutoka Israeli yaua mtoto mpalestina

Wizara ya afya ya Palestina imethibitisha kuwa mtoto wa miezi 8 amefariki baada ya kupumua gesi kali iliyotupwa na majeshi ya Israeli huko Bethlehem.

 

9 years ago

Bongo5

Angelina Jolie na Brad Pitt kuasili mtoto wa 7 kutoka Syria

Couple ya waigizaji, Angelina Jolie na mumewe Brad Pitt wanatarajia kuongeza member mpya kwenye familia yao yenye watoto 6. Kwa mujibu wa Radar Online, couple hiyo inasemekana wanatarajia kuasili mtoto wa 7 kutoka Syria. Chanzo kimoja kimesema kuwa kwasasa wako kwenye taratibu za mwisho za kumuasili mtoto huyo yatima ambaye Jolie alikutana naye alipotembelea vituo […]

 

11 years ago

Michuzi

WATUHUMIWA WA MTOTO ALIYEKUFA KUTOKA KWENYE BOX KIZIMBANI MOROGORO

Difenda iliyobeba watuhumiwa wa kesi ya mtoto wa boksi, Hayati Nasra Rashid,  ikiwasili Mahakama ya Hakimu Mkazi mkoani Morogoro. Watuhumiwa watatu akiwemo baba yake mzazi wa Nasra, Rashid Mvungi, mama mkubwa wa Nasra, Mariam Saidi na Mume wa mama Mariam Said walifikishwa katika mahakama ya hakimu mkazi Morogoro kujibu tuhuma za mashtaka ya kula njama na kumtesa Nasra Rashidi (4) wakati wa uhai wake.  Baba mlezi wa mtoto Nasra, Mtonga Omari akishuka kwenye gari la polisi kwa staili ya...

 

11 years ago

Michuzi

Tume ya Haki za Binadamu na utawala Bora yaagana na Mtaalamu wa masuala ya ulinzi wa mtoto kutoka UNICEF

Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora leo yafanya hafla fupi ya kuagana na mtaalamu wa masuala ya ulinzi na haki za watoto wa Shirika la Kimataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF) ofisi ya Tanzania Bi Rachel Harvey ambaye anahamia nchini Nigeria anakokwenda kuwa mkuu wa Kitengo cha kutetea na ulinzi wa haki za watoto.
Bi Rachel amekuwa akifanya kazi karibu na Tume katika kipindi chote cha miaka mine (4) aliyokuwa nchini, baadhi ya kazi alizofanya akiwa na Tume ni pamoja na kuratibu kazi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani