KOMWETA HEMED MANETI A.K.A CHIRIKU WA VIJANA JAZZ AFUATA NYAYO ZA MAREHEMU BABA YAKE HEMEDI MANETI ULAYA
Komweta Hemed Maneti a.k.a Chiriku mwanamuziki wa bendiya Vijana Jazz
Marehemu Hemedi Maneti Ulaya Chiriku aliyekuwa mwamuziki wa bendi ya Vjana Jazz enzi hizo. ......................................................................................................Komweta Hemed Maneti a.k.a Chiriku ni Mtoto wa mwanamuziki wa zamani marehemu Hemedi Maneti Ulaya Chiriku aliyekuwa akiimba katika bendi ya umoja wa vijana Vijana Jazz enzi hizo ambapo anasema amekuwa kwenye muziki kwa muda mrefu...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2014/07/1970462_1454799778083088_1638018053_n.jpg)
KOMWETA HEMED MANETI A.K.A CHIRIKU WA VIJANA JAZZ AFUATA NYAYO ZA MAREHEMU BABA YAKE
11 years ago
Mwananchi31 May
Miaka 24 ya kifo cha Hemed Maneti Ulaya
9 years ago
Mtanzania30 Nov
Mtoto wa Maneti kutoka kivyake
NA MWANDISHI WETU
ALIYEKUWA mwimbaji wa bendi ya Vijana Jazz, Komweta Maneti, ameendelea kuandaa nyimbo zake kama msanii binafsi ili aendeleze kipaji chake tofauti na kuimba katika bendi.
Komweta amesharekodi nyimbo kadhaa chini ya prodyuza C9 aliyekuwa studio ya Kiri record na sasa anaendelea kuzikamilisha nyimbo hizo zaidi ya tano kwa ajili ya kuanza kuzitoa kwa mashabiki wake kabla ya kuanza maonyesho yake.
“Niliachana na kazi za bendi kwa ajili ya kujiimarisha mwenyewe na sasa naendelea...
10 years ago
Mtanzania31 Mar
Mtoto wa Maneti kurudia ‘Wifi Zangu’ na ‘Tambiko la Pambamoto’
NA MWANDISHI WETU
MTOTO wa aliyekuwa nguli wa muziki wa dansi nchini, Hemedi Manet (marehemu kwa sasa), Komweta Maneti, anatarajia kukamilisha nyimbo mbili na video zake kuzifanyia Sumbawanga mkoani Rukwa.
Mwanamuziki huyo ambaye anafanyakazi na bendi ya Vijana Jazz, alizitaja nyimbo hizo ambazo ziliwahi kuimbwa na mama yake, Kida Waziri na baba yake, Hemed Manet ni ‘Wifi Zangu’ na ‘Tambiko la Pambamoto’.
“Nyimbo hizi zilifanya vizuri katika muziki wa dansi kipindi hicho, hivyo nimeamua...
10 years ago
Mwananchi06 Sep
Kida Waziri: Nilinyanyapaliwa, niliambiwa Maneti amekufa kwa Ukimwi- 13
10 years ago
Bongo Movies01 Apr
Lulu Afuata Nyayo za Wema, Ahamasisha Matumizi Bora ya Mitandao ya Kijamii
Staa mrembo kutoka Bongo movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’ mwenye followers zaidi ya laki nne kwenye mtandao wa Instagram amewataka vijana kutumia mitandao ya kijamii kujengana zaidi ikiwa ni siku chake baada ya staa mwenzake, Wema Sepetu kuwataka wanawake na jamii kwa ujumla kutumia mitando hiyo kuhamasishana kwenye vitu vya kimaendeleo zaidi.
“Nikiwa kama kijana mpenda maendeleo,mwenye ndoto na malengo ya kufika mbali najua mawazo yangu pekeyangu yanaweza yasitoshe mimi kufika...
11 years ago
Bongo521 Jul
Tudd Thomas afuata nyayo za Dr. Dre, kuingiza sokoni headphone zake ‘TTP’
9 years ago
Dewji Blog10 Dec
DC Mkalama afuata nyayo za Rais Magufuli, amsimamisha kazi kwa muda usiojulikana Katibu Afya wake
Mkuu wa wilaya ya Mkalama mkoani Singida, Christopher Ngubiangai,akitoa taarifa ya kumsimamisha kazi kwa muda usiojulikana katibu wa afya wa wilaya ya Mkalama,James Ndembo,kwa tuhuma ya kutafuna zaidi ya shilingi 19.6 milioni zilizokuwa zitumike kuhabarisha na kutoa elimu kwa wananchi,juu ya magonjwa ambayo hayapewi kipaumbele.(Picha na Nathanile Limu).
Na Nathaniel Limu, Singida
MKUU wa wilaya ya Mkalama mkoani Singida,Christopher Ngubiangai,ameanza rasmi ‘kutumbua majipu’ baada ya...
10 years ago
VijimamboMAALIM SEIF ASHIRIKI MAZISHI YA HEMED SALUM HEMED