Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mtoto wa miaka 12 ataka kumuua mamake kisa ?

Mtoto wa miaka 12 ameshtakiwa kwa jaribio la kumuua mamake kwa kumpokonya iphone

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Mtoto wa miaka 2 amuokoa mamake

Mtoto mwenye umri wa miaka 2 pekee amepokea sifa kedekede kwa kuokoa maisha ya mamake kwa kuwapigia simu wahudumu wa afya baada ya mamake kuzimia.

 

10 years ago

Mwananchi

NYANZA: Baba atuhumiwa kumuua mtoto wake, kisa mahari

Mkazi wa Kijiji cha Imwelo, Kata ya Buseresere, wilayani Chato mkoani Geita, anashikiliwa na polisi kwa tuhuma ya kumuua mtoto wake, Pole Faida (26) kwa kushirikiana na kaka yake.

 

5 years ago

CCM Blog

MTOTO WA MIAKA 17 MIKONONI MWA POLISI KWA KWA TUHUMA ZA KUMUUA BABA YAKE

 Jeshi la Polisi mkoani Morogoro linamshikilia mtoto wa miaka 17 kwa tuhuma za kumuua baba yake mzazi.
Akizungumza na waandishi wa habari jana, Kamanda wa  Polisi Mkoa wa Morogoro, Wilbroad Mutafungwa, alidai kuwa Mei 31, saa 12 alfajiri Kitongoji cha Manyani, Kata ya Mkalama wilayani Gairo, mtu aliyejulikana kwa jina la Issaya Lameck (41), maarufu kama Kusaganika, fundi Muwashi, aliuawa kwa kupigwa na mtoto wake mwenye miaka 17 (jina linahifadhiwa kwa sababu za kimaadili).
Kamanda Mutafungwa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Mtoto wa Simba amlilia mamake

Mtoto wa simba aliwaongoza askari wa kulinda wanyama kwenda ulipo mwili wa mama yake ambaye alikuwa ameuawa mbugani India

 

11 years ago

Michuzi

MTOTO WA MIAKA 9 ATAKA KUWEKA REKODI YA KUPANDA MLIMA KILIMANJARO KWA KUTUMIA NJIA NGUMU

Mzazi wa mtoto Idda Baitwa,Bw Respcius Baitwa akifanya maandalizi na mwanae ya kuanza safari  ya kuweka rekodi ya
kupanda Mlima Kilimanjaro. Mtoto Idda Baitwa akiwa na baba yake mzazi Bw Respcius Baitwa pamoja na ndugu zake wakiwa katika picha ya pamoja muda mfupi kabla ya kuanza safari  ya kuweka rekodi ya
kupanda Mlima Kilimanjaro. Mtoto Idda Baitwa akijiandikisha katika lango la Umbwe la kupanda mlima Kilimanjaro kabla ya kuanza safari ya kupanda mlima huo.nyuma yake ni Bw...

 

11 years ago

Michuzi

MTOTO WA AJABU AZAWALIWA IRINGA HAFAHAMIKI KAMA WA KIUME AMA WA KIKE ,MAMAKE AOMBA MSAADA

Sophia Kindamba akiwa na mwanae Junior Richard Rutta
..................................... MTOTO Junior Richard Rutta ambaye jinsia yake haieleweki anatafuta msaada utakaomuwezesha kufanyiwa uchunguzi katika hospitali ya CCBRT, jijini Dar es Salaam. Mtoto huyo mwenye miaka miwili na miezi saba anaishi na mama yake mzazi, Sophia Kindamba, mtaa wa Mtwivilla, mjini Iringa. Akiomba msaada huo, mama yake alisema jitihada za madaktari wa hospitali ya Taifa ya Muhimbili kuchunguza na hatimaye...

 

11 years ago

GPL

ATAKA KUMUUA BABA YAKE, AZUA TIMBWILI

DUNIA inaelekea kuzama.Katika tukio la kushangaza, kijana mmoja aliyefahamika kwa jina la Anord Michael mkazi wa Mwenge jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki iliyopita alifanya vurugu kubwa nyumbani kwao, akidaiwa kutaka kumuua baba yake mzazi kwa sababu ambazo hazikueleweka sawasawa. Baba mzazi wa Anord Michael aliyedaiwa kutishiwa maisha na kijana wake Huku majirani na watu wengine wakishangazwa na kitendo hicho, Anord...

 

11 years ago

Mwananchi

Wananchi wadaiwa kumuua mama, mtoto Tabora

Licha ya Serikali kupiga vita kujichukulia sheria mikononi, unyanyasaji na mauaji ya wanawake, baadhi ya wananchi wa Kijiji cha Uchama wilayani Nzega mkoani Tabora wamemuua mwanamke mmoja na mtoto wake wa kike kwa sababu zisizofahamika.

 

11 years ago

Mwananchi

Baba adaiwa kumuua mtoto kwa kipigo

Mtoto mwenye umri wa miaka sita ameuawa kikatili, baada ya kudaiwa kupigwa na baba yake kwa fimbo sehemu mbalimbali za mwili wake.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani