Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MUCCoBS chapandishwa hadhi kuwa Chuo Kikuu

 Na Rodrick Makundi, Moshi
SERIKALI kupitia Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, imekipandisha hadhi Chuo Kikuu kishiriki cha Ushirika Moshi (MUCCoBS) cha mkoani Kilimanjaro, kuwa Chuo Kikuu rasmi.
Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu cha Kilimo Sokoine (SUA), Philemon Luhanjo, alitangaza hatua hiyo juzi mjini hapa, mbele ya viongozi wa serikali mkoa wa Kilimanjaro, uongozi na watumishi wa MUCCoBS.
Baada ya kupandishwa hadhi chuo hicho, sasa kitaitwa Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi, kikiwa chini...

Uhuru Newspaper

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

CHUO KIKUU KISHIRIKI CHA USHIRIKA NA BIASHARA MOSHI (MUCCOBS) CHAWA CHUO KIKUU KAMILI

Baadhi ya wahadhiri wa MoCU (MOSHI CO-OPETATIVE UNIVERSITY) wakiwa kwenye picha ya pamoja.. Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo Kikuu cha Kilimo Sokoine (SUA), Mhe. Philemon Luhanjo (wa nne kulia waliokaa ) akiwa katika picha ya wajumbe wa bodi na wahadhiri wa chuo hicho. CHUO Kikuu Kishiriki cha Ushirika na Biashara Moshi (MUCCOBS), kimekuwa chuo kikuu rasmi ambapo kwa sasa kitaitwa Chuo Kikuu Cha Ushirika Moshi (MoCU). Taarifa hiyo...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU AKAGUA CHUO KIKUU DAR NA CHUO KIKUU HURIA

WAZIRI MKUU Mizengo Pinda amesema uamuzi wa Serikali wa kukopa fedha ili kuboresha miundombinu kwenye taasisi za elimu ya juu nchini ulichukuliwa kwa lengo la kujibu tatizo la sasa la wingi wa vijana wanaohitimu kidato cha sita.
Ametoa kauli hiyo jana usiku (Ijumaa, Oktoba 10, 2014) wakati akizungumza na wahadhiri, wakufunzi, wanafunzi na wanajumuiya ya Chuo Kikuu Huria (OUT) mara baada ya kuzindua jengo la ghorofa 10 linalojulikana kama Ghorofa la Elimu ya Masafa ya Huria (Open Distance...

 

10 years ago

Michuzi

Chuo Kikuu cha Uhio chaendesha mafunzo kwa vijana kuwa viongozi bora

Na Chalila Kibuda ,Globu ya Jamii
Chuo Kikuu cha Uhio nchini Marekani kinaendesha mafunzo kwa vijana ya kuwa viongozi bora katika nchi zilizopo katika jangwa la Sahara.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo,Katibu wa Kwanza wa Mawasiliano ya Umma wa Ubalozi wa Marekani nchini,Marissa Maurer amesema kuwa program ya kutoa mafunzo kwa viongozi vijana imaeazishwa na Chuo Kikuu Cha Uhio nchini Marekani  ambapo fedha inayoendesha mafunzo ni ya serikali ya watu Marekani...

 

10 years ago

Vijimambo

MAHAFALI YA 5 YA CHUO KIKUU KIKUU CHA ST, JOHN DODOMA YAFANA.

Mkuu wa chuo kikuu kikuu cha St, John Askofu Dolnad Mtetemela katikati akiwa na viongozi wa kanisa la anglikan ambalo ndilo mmiliki wa chuo hicho walipokuwa kwenye mahafali ya tano ya chuo hicho. Mkurugenzi wa Benki ya CRDB Philip Alfred aliyekuwa Mgeni Rasmi kwenye mahafali ya tano ya wanafunzi wa chuo kikuu cha St, John's cha mjini Dodoma akihuwahutubia wahitimu wa kozi mbalimbali wa chuo hicho. Mkuu wa Skuli za kidini akihutubia jambo kwenye mahafali hayo.Wahitimu wa Shahada ya sayansi...

 

10 years ago

Habarileo

Chuo cha Nyuki kupandishwa hadhi

SERIKALI imeahidi kupandisha hadhi ya Chuo cha Mafunzo ya Nyuki mkoani Tabora, kuvutia wanafunzi wengi zaidi kutoka ndani na nje ya nchi kujiunga nacho. Hayo yalibainishwa juzi na Waziri wa Maliasili na Utalii , Lazaro Nyalandu aliyekuwa mgeni rasmi katika mahafali ya tatu ya chuo hicho.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Chuo cha nyuki Tabora kupandishwa hadhi

SERIKALI imeahidi kupandisha hadhi ya Chuo cha Mafunzo ya Nyuki kilichopo mkoani hapa ili kuwavutia wanafunzi wengi zaidi kutoka ndani na nje ya nchi kujiunga na chuo hicho. Hayo, yalibainishwa...

 

10 years ago

Michuzi

CHUO CHA MAFUNZO YA NYUKI TABORA KUPANDISHWA HADHI

 Waziri wa Maliasili na Utalii Razaro Nyarandu (katikati mbele) akiwa na wahadhiri na wahitimu katika mahafali ya 3 ya Chuo cha Mafunzo ya Nyuki yaliyofanyika mjini Tabora chuoni hapo.Na Allan Ntana, TaboraSERIKALI imeahidi kupandisha hadhi ya Chuo cha Mafunzo ya Nyuki kilichoko mkoani Tabora ili kuwavutia wanafunzi wengi zaidi kutoka ndani na nje ya nchi kujiunga na chuo hicho. Hayo yalibainishwa na Waziri wa Maliasili na Utalii Razaro Nyarandu aliyekuwa mgeni rasmi katika mahafali ya 3 ya...

 

10 years ago

Mwananchi

Chadema: Z’bar kupoteza hadhi ya kuwa nchi

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Zanzibar, kimesema Zanzibar ipo katika hatari ya kupoteza hadhi ya kuwa nchi iwapo wananchi watapitisha Katiba Inayopendekezwa kupitia kura ya maoni itakayofanyika mwakani.

 

5 years ago

BBCSwahili

Jack Ma: Bilionea anayejaribu kumaliza virusi vya corona na kurejesha hadhi ya China kuwa juu

Jinsi umaarufu wa Jack Ma unavyokuwa wakati huu wa mlipuko wa virusi vya corona, unaweza kumuweka hatarini kutokana na macho ya wivu ya viongozi wa China.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani