Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Chadema: Z’bar kupoteza hadhi ya kuwa nchi

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Zanzibar, kimesema Zanzibar ipo katika hatari ya kupoteza hadhi ya kuwa nchi iwapo wananchi watapitisha Katiba Inayopendekezwa kupitia kura ya maoni itakayofanyika mwakani.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Uhuru Newspaper

MUCCoBS chapandishwa hadhi kuwa Chuo Kikuu

 Na Rodrick Makundi, Moshi
SERIKALI kupitia Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, imekipandisha hadhi Chuo Kikuu kishiriki cha Ushirika Moshi (MUCCoBS) cha mkoani Kilimanjaro, kuwa Chuo Kikuu rasmi.
Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu cha Kilimo Sokoine (SUA), Philemon Luhanjo, alitangaza hatua hiyo juzi mjini hapa, mbele ya viongozi wa serikali mkoa wa Kilimanjaro, uongozi na watumishi wa MUCCoBS.
Baada ya kupandishwa hadhi chuo hicho, sasa kitaitwa Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi, kikiwa chini...

 

5 years ago

BBCSwahili

Jack Ma: Bilionea anayejaribu kumaliza virusi vya corona na kurejesha hadhi ya China kuwa juu

Jinsi umaarufu wa Jack Ma unavyokuwa wakati huu wa mlipuko wa virusi vya corona, unaweza kumuweka hatarini kutokana na macho ya wivu ya viongozi wa China.

 

5 years ago

Michuzi

SERIKALI YASEMA LICHA YA MIPAKA YA NCHI KUJIFUNGA WAGENI WACHACHE WANAOINGIA NCHINI WANAHUDUMIWA KWA HADHI SAWA NA MATAIFA MENGINE DUNIANI.


Serikali imesema licha ya mipaka ya nchi kujifunga kutokana na janga la ugonjwa wa COVID 19,wageni wachache wanaoingia nchini wanapokelewa kwa mujibu na taratibu za kuingia nchini na kuhudumiwa kwa hadhi inayoendana na mahitaji ya Kimataifa kama ilivyo katika nchi nyingine yeyote duniani huku tahadhari ya kujikinga na ugonjwa huo ikipewa kipaumbele.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Balozi Kanali Wilbert Augustine Ibuge ameyasema hayo alipofanya ziara...

 

11 years ago

Mwananchi

Chadema kutikisa nchi; Helikopta tatu kurushwa nchi nzima

>Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kuanzia leo, kinarusha helkopta tatu kwa siku 14 mfululizo, katika  kutekeleza kampeni iliyopewa jina la Operesheni Pamoja Daima (ODB) itakayoendeshwa katika mikoa yote nchini.

 

10 years ago

Mtanzania

Chadema yaachiwa jimbo moja Z’bar

NA SARAH MOSSI, ZANZIBAR
UMOJA wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), umeridhia Chama cha Wananchi (CUF) kusimamisha wagombea wake wa nafasi ya ubunge katika majimbo yote ya uchaguzi visiwani Zanzibar, isipokuwa katika Jimbo la Kikwajuni.
Akizungumza na waandishi wa habari jana Makao Makuu ya CUF, Mkurugenzi wa Oganaizesheni na Uchaguzi wa CUF, Omar Ali Sheikh, alisema Ukawa wamekubaliana katika Jimbo la Kikwajuni watasimamisha mgombea ubunge kutoka Chadema ambaye ni Salum Mwalimu.
Mwalimu ni Naibu...

 

11 years ago

Mwananchi

Chadema Z’bar yakosoa umoja wa kitaifa

Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimesema mfumo wa Serikali ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar umedumaza dhana ya demokrasia ya vyama vingi na kuficha misingi ya utawala bora kutokana na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kushindwa kuwachukulia hatua za kisheria viongozi waliohusika na ufisadi visiwani hapa.

 

10 years ago

Mwananchi

Kiongozi wa zamani Chadema Z’bar ang’atuka

Aliyekuwa naibu katibu mkuu wa Chadema, Hamad Mussa Yussuf amejiondoa kwenye chama hicho na kujiunga na ACT Tanzania, huku akisema muungano wa Ukawa upo zaidi kwa masilahi ya Tanzania Bara kuliko Zanzibar.

 

10 years ago

Dewji Blog

Fred Mpendazoe kumrithi Arfi Umakamu Chadema Bar?

Mpendazoe 037[2]

Aliyekuwa mgombea wa ubunge katika Jimbo la Segerea kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Fred Mpendazoe.

Na Mwandishi wetu

Aliyekuwa mgombea wa ubunge katika Jimbo la Segerea kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Fred Mpendazoe amejitokeza kuwania nafasi ya Makamu mwenyekiti wa chama hicho.

Mpendazoe ambaye amewahi kuwa Mbunge wa Kishapu kupitia CCM kabla ya kujiuzulu wadhifa huo na kujiunga na Chadema  ametangaza msimamo wake akisema kuwa atasimamia ajenda...

 

10 years ago

Mwananchi

Maalim Seif: Najisikia raha kuwa mgombea pekee wa urais Z’bar

>Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad amerudisha fomu ya kuwania nafasi ya urais wa Zanzibar kupitia chama hicho na kusema anajisikia raha kuwa mgombea pekee akiwa na dhamira ya kuleta mabadiliko ya kiuchumi na kuwatumikia Wazanzibari.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani