Chadema yaachiwa jimbo moja Z’bar
NA SARAH MOSSI, ZANZIBAR
UMOJA wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), umeridhia Chama cha Wananchi (CUF) kusimamisha wagombea wake wa nafasi ya ubunge katika majimbo yote ya uchaguzi visiwani Zanzibar, isipokuwa katika Jimbo la Kikwajuni.
Akizungumza na waandishi wa habari jana Makao Makuu ya CUF, Mkurugenzi wa Oganaizesheni na Uchaguzi wa CUF, Omar Ali Sheikh, alisema Ukawa wamekubaliana katika Jimbo la Kikwajuni watasimamisha mgombea ubunge kutoka Chadema ambaye ni Salum Mwalimu.
Mwalimu ni Naibu...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi
Gavana wa jimbo la Ohio: Wakazi laki moja wa jimbo hili wamepatwa na virusi vya Corona

Mike DeWine amesema, anazo ripoti kwamba asilimia moja ya wakazi wa jimbo la Ohio wameambukizwa virusi vya Corona, suala ambalo lina maana kwamba, zaidi ya Wamarekani laki moja wa Ohio wameathiriwa na virusi hivyo.
Mike DeWine ambaye alikuwa akizungumza na televisheni ya CNN ya Marekani amesema yumkini jimbo...
10 years ago
Habarileo28 May
NEC yaachiwa uamuzi siku ya kupiga kura
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imeachiwa jukumu la kuamua siku ya kufanyika Uchaguzi Mkuu baada ya wabunge kutaka uchaguzi usiwe unafanyika katika siku za kuabudu ambazo ni Ijumaa, Jumamosi na Jumapili.
11 years ago
Mwananchi26 Jan
Chadema Z’bar yakosoa umoja wa kitaifa
10 years ago
Mwananchi20 Dec
Chadema: Z’bar kupoteza hadhi ya kuwa nchi
11 years ago
Mwananchi03 Nov
Kiongozi wa zamani Chadema Z’bar ang’atuka
11 years ago
Dewji Blog13 Sep
Fred Mpendazoe kumrithi Arfi Umakamu Chadema Bar?
Aliyekuwa mgombea wa ubunge katika Jimbo la Segerea kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Fred Mpendazoe.
Na Mwandishi wetu
Aliyekuwa mgombea wa ubunge katika Jimbo la Segerea kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Fred Mpendazoe amejitokeza kuwania nafasi ya Makamu mwenyekiti wa chama hicho.
Mpendazoe ambaye amewahi kuwa Mbunge wa Kishapu kupitia CCM kabla ya kujiuzulu wadhifa huo na kujiunga na Chadema ametangaza msimamo wake akisema kuwa atasimamia ajenda...
10 years ago
Mwananchi05 Dec
Zitto: Nina sharti moja tu kurudi Chadema
10 years ago
Mtanzania20 Apr
Chadema: Zitto ni adui yetu namba moja
Na Bakari Kimwanga, Mwanza
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimetangaza kuwa adui yake namba moja ni Kiongozi Mkuu wa Chama cha Alliance for Change and Transparance (ACT-wazalendo), Zitto Kabwe.
Naibu Katibu Mkuu wa chama hicho Bara, John Mnyika akihutubia mkutano wa hadhara uliofanyika Uwanja wa Furahisha Mwanza juzi, alisema Chadema haiko tayari kuikaribisha ACT-Wazalendo ndani ya Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kutokana na kile alichosema ‘ni adui kwao’.
“Mtume Muhamad...
11 years ago
HabarileoMbunge: Jimbo kwanza, Chadema baadaye