Zitto: Nina sharti moja tu kurudi Chadema
Harufu ya kuisha kwa mgogoro baina ya Zitto Kabwe na chama chake cha Chadema inanukia, lakini mbunge huyo wa Kigoma Kaskazini anataka kuwapo na mazungumzo kubaini tatizo ili atakayebainika kuwa alifanya makosa awe tayari kuomba radhi hadharani.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania20 Apr
Chadema: Zitto ni adui yetu namba moja
Na Bakari Kimwanga, Mwanza
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimetangaza kuwa adui yake namba moja ni Kiongozi Mkuu wa Chama cha Alliance for Change and Transparance (ACT-wazalendo), Zitto Kabwe.
Naibu Katibu Mkuu wa chama hicho Bara, John Mnyika akihutubia mkutano wa hadhara uliofanyika Uwanja wa Furahisha Mwanza juzi, alisema Chadema haiko tayari kuikaribisha ACT-Wazalendo ndani ya Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kutokana na kile alichosema ‘ni adui kwao’.
“Mtume Muhamad...
9 years ago
Mwananchi14 Sep
Zitto: Bado nina ndoto ya urais
10 years ago
Mwananchi22 Mar
Zitto ataja sababu za kujiunga ACT, asema hakuna kurudi nyuma
10 years ago
Dewji Blog26 Feb
Timu ya Red Arrow ya Zambia kurudi kwao baada ya ziara ya wiki moja nchini
Afisa habari wa timu ya Red Arrow Football Club ya Zambia Bi.Melody Siisii (kushoto)akiwa kwenye picha ya pamoja na timu yake uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere Dar Es Salaam jana, tayari kurudi Zambia mara baada ya ziara ya wiki moja nchini ya maandalizi ya ligi yao inayotarajiwa kuanza mwezi ujao.
Timu ya Red Arrow Football Club ya Zambia inayoshiriki ligi kuu nchini Zambia, wakiwa kwenye picha ya pamoja na wahudumu wa ndege ya Fastjet uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Dar...
11 years ago
Tanzania Daima28 Jan
CCM isitegemee kurudi Ikulu — CHADEMA
MWANACHAMA wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Lilian Wassira, amesema Chama Cha Mapinduzi (CCM) kisitegemee kurudi Ikulu kutokana na matendo ya viongozi wake. Wasira alitoa kauli hiyo juzi katika...
5 years ago
BBCSwahili12 Mar
Tanzania 2020: Chadema imepata nafasi kurudi katika umaarufu kuelekea uchaguzi mkuu?
5 years ago
CHADEMA Blog![](https://img.youtube.com/vi/wmZChnwI4Uc/default.jpg)
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/R9XIwqbdD--DSnfuTV6yb0QoLFEshf4CbQ6kxkLxnMcImTXT6RBExz-RbukYHGTCgHcQJt8eqPeiEinyQ2y*3gjgeAHWiD0K/06ZITTO5.jpg?width=650)
ZITTO AICHAKAZA CHADEMA
11 years ago
Tanzania Daima11 Dec
Zitto aibuka CHADEMA
WAKATI mashabiki na wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wakihoji uamuzi wa Kamati Kuu ya chama hicho kumvua nafasi zote za uongozi Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe,...