Mufti amsimamisha kazi ofisa tawala kashfa ya kodi
MUFTI wa Tanzania, Shehe Mkuu Abubakari Zuberi amemsimamisha kazi Mkurugenzi wa Utawala wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata), Karim Majaliwa kwa ajili ya kupisha uchunguzi juu ya kashfa ya magari 82 pamoja na matumizi mabaya ya ofisi.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi15 Mar
Lukuvi amsimamisha kazi ofisa ardhi
11 years ago
Habarileo15 Jan
Mwanri amsimamisha kazi mhandisi
NAIBU Waziri wa Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Aggrey Mwanri amemsimamisha kazi Kaimu Mhandisi wa Halmashauri ya Wilaya ya Itilima mkoani Simiyu, Paschal Manyama.
10 years ago
Tanzania Daima24 Aug
Nyambui amsimamisha kazi mfanyakazi wake
KATIBU Mkuu wa Shirikisho la Riadha Tanzania (RT), Suleiman Nyambui, amesema kukosekana kwa katiba katika Shirikisho hilo sio sababu ya wanamichezo kufanya vibaya katika mashindano ya Kitaifa na Kimataifa. Akizungumza...
9 years ago
Dewji Blog22 Dec
Rais amsimamisha kazi Mkurugenzi Mkuu wa RAHCO
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Kuhudumia Miundombinu ya Reli (RAHCO) Benhadard Tito (katikati). (Picha na Maktaba).
Rais wa Jamhuri ya Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amemsimamisha kazi Mkurugenzi Mkuu wa kampuni hodhi ya rasilimali za reli Tanzania (RAHCO) Mhandisi Benhadard Tito ili kupisha uchunguzi wa kina kufuatia ukiukwaji mkubwa wa taratibu za manunuzi uliobainika katika mchakato wa utoaji wa zabuni ya ujenzi wa reli ya kati.
Akitoa taarifa kwa vyombo vya...
9 years ago
Mwananchi18 Dec
Mkuu wa mkoa amsimamisha kazi mhandisi wa wilaya
9 years ago
StarTV23 Dec
Rais amsimamisha kazi Mkurugenzi Mkuu RAHCO
Rais John Magufuli amemsimamisha kazi Mkurugenzi Mkuu wa kampuni hodhi ya rasilimali za Reli Tanzania RAHCO Mhandisi Benhadard Tito kupisha uchunguzi wa kina kutokana na ukiukwaji mkubwa wa taratibu za manunuzi uliobainika katika mchakato wa utoaji wa zabuni ya ujenzi wa reli ya kati.
Akitoa taarifa kwa vyombo vya habari, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue amesema Rais Magufuli amefikia uamuzi huo baada ya kuitisha kikao cha wataalamu kutoka Wizara na Taasisi mbalimbali za Serikali...
9 years ago
Global Publishers22 Dec
Rais Magufuli amsimamisha kazi Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya RAHCO
Mkurugenzi Mkuu wa kampuni hodhi ya rasilimali za reli Tanzania (RAHCO) Mhandisi Benhadard Tito (kulia).
Rais wa Jamhuri ya Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amemsimamisha kazi Mkurugenzi Mkuu wa kampuni hodhi ya rasilimali za reli Tanzania (RAHCO) Mhandisi Benhadard Tito ili kupisha uchunguzi wa kina kufuatia ukiukwaji mkubwa wa taratibu za manunuzi uliobainika katika mchakato wa utoaji wa zabuni ya ujenzi wa reli ya kati.
Akitoa taarifa kwa vyombo vya habari, Katibu...
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-BVTNaVG6aMY/VOHY2k7BgmI/AAAAAAAAa2Y/N8Bld5BJCFc/s72-c/tpa.jpg)
SITTA AMSIMAMISHA KAZI KAIMU MKURUGENZI WA TPA MADENI KIPANDE
![](http://3.bp.blogspot.com/-BVTNaVG6aMY/VOHY2k7BgmI/AAAAAAAAa2Y/N8Bld5BJCFc/s640/tpa.jpg)
Pamoja na kuchukua uamuzi huo Mhe. Sitta, ameunda tume ya watu sita itakayokuwa na jukumu la kuchunguza tuhuma zinazomkabilia...
10 years ago
Dewji Blog23 Dec
Katibu Mkuu Kiongozi amsimamisha kazi ndugu Maswi kupisha uchunguzi!
Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Yohana Sefue, amemsimamisha kazi kwa muda Ndugu Eliakim Maswi (pichani), Katibu Mkuu ya Wizara ya Nishati na Madini, ili kupisha uchunguzi wa tuhuma dhidi yake, kama ilivyoelekezwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete.
Balozi Sefue amemsimamisha kazi Ndugu Maswi kuanzia leo, Jumanne, Desemba 23, 2014, kwa kutumia madaraka aliyonayo kama Mamlaka ya Nidhamu kwa Watumishi wa Umma wanaoteuliwa na Rais, wakiwemo...