Muhimbili yawashukuru wachangiaji Damu
![](https://1.bp.blogspot.com/-oFuljr4cuTg/XuY3AUJHAsI/AAAAAAALtyw/3xfJntAMfRMtG2WCkQHSTNLGc2NLBMVuACLcBGAsYHQ/s72-c/7026f8f2-8a89-416b-8e35-a013b2ff903e.jpg)
Kaimu Mkurugenzi wa Tiba Shirikishi Hospitali ya Taifa Muhimbili -Mloganzila Dkt. Lulu Sakafu akizungumza wakati wa maadhimisho ya siku ya kimataifa ya uchangiaji damu duniani yenye kauli mbiu isemayo “damu salama, kwa wote” inayoadhimishwa Juni 14 kila mwakaAfisa Uhamasishaji Damu Bw. John Bigambalae akiwaelezea wananchi umuhimu wa kuchangia...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi31 May
Idadi ya wachangiaji damu yapungua
9 years ago
Mtanzania15 Oct
Muhimbili yaishiwa damu
Na Veronica Romwald, Dar es Salaam
HOSPITALI ya Taifa Muhimbili (MNH) inakabiliwa na upungufu mkubwa wa damu na kwa siku wanakusanya chupa 25 hadi 45 pekee, wakati mahitaji halisi ni chupa 70 hadi 100.
Akizungumza na MTANZANIA hospitalini hapo jana, Ofisa Uhusiano wa MNH, Neema Mwangomo, alisema upungufu huo ni sawa na asilimia 60.
“Mahitaji ya damu hapa hospitalini ni makubwa, tunakabiliwa na upungufu kwa asilimia 60. Ili yatosheleze tunahitaji kukusanya chupa 70 hadi 100 kwa siku lakini...
9 years ago
Mwananchi15 Oct
Ukawa wajitolea damu Muhimbili
10 years ago
Mtanzania12 May
Muhimbili yakumbwa na uhaba wa damu
NA TUNU NASSOR , DAR ES SALAAM
HOSPITALI ya Taifa Muhimbili (MNH) imekumbwa na uhaba wa damu hali ambayo imeulazimu uongozi wa hospitali hiyo kuomba msaada wa dharura kwa Serikali na watu binafsi.
Uongozi huo pia umewaomba Watanzania, mashirika ya umma, makampuni na watu binafsi kujitokeza kusaidia kuchangia damu kuokoa maisha ya wagonjwa wanaopelekwa katika hospitali hiyo.
Taarifa iliyotolewa jana na Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Huduma kwa Wateja, Aminiel Aligaesha, ilieleza kuwa kwa...
10 years ago
Mtanzania13 May
Wafanyakazi Muhimbili walazimika kuchangia damu
TUNU NASSOR NA MWANTUMU SAADI,
DAR ES SALAAM
KUTOKANA na uhaba wa damu ulioikumba Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) wafanyakazi wa hospitali hiyo na ndugu wa wagonjwa, wamelazimika kuchangia damu kunusuru maisha ya wagonjwa .
Akizungumza na MTANZANIA Dar es Salaam jana, Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Huduma kwa Wateja wa hospitali hiyo, Aminieli Aligaesha, alisema wamelazimika kutumia wafanyakazi wa hospitali hiyo na ndugu wa wagonjwa kama chanzo cha ndani na kwa siku ya jana...
10 years ago
Mtanzania14 May
Marafiki wa Lowassa kuchangia damu Muhimbili
NA ELIYA MBONEA, ARUSHA
MAKAMU Mwenyekiti wa marafiki wa Waziri Mkuu wa zamani ambaye pia ni Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa, Angel George, amesema mipango imekamilika ya kwenda kuchangia damu katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, jijini Dar es Salaam.
George alitoa taarifa hiyo jana jijini hapa, baada ya kusoma taarifa kwenye vyombo vya habari ikieleza kwamba, Hospitali ya Taifa Muhimbili inakabiliwa na uhaba wa damu.
“Hii taarifa tumeiona, tayari tumewasiliana na marafiki wa Lowassa...
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-oMDmUBur960/U5bDOLlTr8I/AAAAAAAFpfk/Mj2saXVyPEg/s72-c/image011.jpg)
INDIA YAKABIDHI MASHINE YA USAFISHAJI DAMU MUHIMBILI
9 years ago
MichuziWANAFUNZI WA ST. JOSEPH WACHANGIA CHUPA 125 ZA DAMU MUHIMBILI
10 years ago
Dewji Blog06 May
ACT Wazalendo wachangia damu hospitali ya Taifa Muhimbili
Muuguzi Mwandamizi Judith Kayombo akichanganya Damu wakati alipokuwa akimtoa Katibu Mkuu Taifa wa Chama cha ACT Wazalendo Samsoni Mwigamba.
Katibu Mkuu Taifa wa Chama cha ACT Wazalendo Samsoni Mwigamba...