Muhongo kutimua wazembe Tanesco
Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo amesema ataanza kuwatimua wafanyakazi wazembe, wavivu na wasiokuwa na tija kwenye Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) katika muda wa siku 90 zijazo.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi25 Jun
Muhongo aagiza Rea iwatimue makandarasi wazembe Julai
9 years ago
MichuziProfesa Muhongo aibana TANESCO
Shirika la Umeme Nchini (TANESCO) limeagizwa kuhakikisha hadi kufikia tarehe 3 Januari 2016 liwe limekamilisha kufunga umeme kwenye Jengo la Ofisi za Serikali la Mpakani mwa Tanzania na Rwanda (One Stop Border post) lililopo eneo la Rusumo wilayani Ngara.
Agizo hilo limetolewa jana na Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo alipofanya ziara kwenye Mpaka wa Tanzania na Rwanda kwa ajili ya kukagua maendeleo ya mradi wa kuzalisha umeme kwa kutumia maji wa...
9 years ago
Habarileo30 Dec
Wapongeza Muhongo kuibana Tanesco
WANANCHI wa kijiji cha Nyarukongora, kata ya Biharamulo Mjini, wamempongeza Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo kwa namna anavyoshughulikia matatizo ya umeme nchini na kusema ni mfano wa kuigwa kwa viongozi wengine.
10 years ago
Mwananchi29 Dec
Muhongo akemea rushwa Tanesco
10 years ago
Mtanzania19 Jan
Muhongo aitwisha mzigo Bodi ya Tanesco
Na Mwandishi Wetu
WAZIRI wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo amezindua rasmi Bodi mpya ya Wakurugenzi wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) na kuipa vipaumbele vitano vya utekelezaji wa majukumu yake.
Taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari mjini Dar es Salaam jana, ilisema uzinduzi wa bodi hiyo ulifanyika makao makuu ya Wizara ya Nishati na Madini na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wa wizara hiyo.
Alisema bodi hiyo ina jukumu kubwa la kuliongoza shirika hilo kwa ufanisi na...
9 years ago
TheCitizen23 Dec
Muhongo tells Tanesco to sort out contracts
9 years ago
Mtanzania21 Dec
TANESCO wameshindwa kuzalisha umeme – Muhongo
NA FLORENCE SANAWA, MTWARA
SHIRIKA la Umeme Tanzania (TANESCO), limeshindwa kuzalisha umeme na kusababisha Kiwanda cha Saruji cha Dangote kukodi genereta 75 kutoka nchini China kwa ajili ya kuzalisha umeme wa megawati 42.
Akizungumza wakati wa majumuisho ya ziara yake ya siku moja mkoani hapa, Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo, alisema shirika hilo limeshindwa na halina uwezo wa kuzalisha umeme wa megawati 45 zinazohitajika kwa uzalishaji kiwandani hapo.
“TANESCO wamekuwa...
10 years ago
Habarileo25 Jan
Nimeiachia Tanesco miradi ya kuondoa umasikini-Muhongo
ALIYEKUWA Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo, amesema pamoja na kujiuzulu, ameiachia Shirika la Umeme (Tanesco), miradi ya kuongeza uzalishaji umeme, ambao ni muhimu katika kuifanya nchi kuwa ya kipato cha kati miaka kumi ijayo.
10 years ago
Mwananchi28 Nov
Muhongo: Wakili Mkono kalipwa na Tanesco Sh62.9 bil