MUNISl ASHAURI WAGOMBEA CCM KUTOCHAFUANA
![](http://3.bp.blogspot.com/-sAXTuTG04cM/VWNN3flng4I/AAAAAAAHZw4/8lZRNJg1ljw/s72-c/sam_2935.jpg)
Mgombea anayetajwa kuwania kiti cha ubunge katika jimbo la Arusha mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi(CCM),Thomas Munisi amewataka wagombea wa chama hicho kutochafuana kwenye majukwaa na vijiwe bali wafanye kampeni za kistaarabu.
Munisi,ambaye pia ni mkurugenzi wa kampuni ya Kilimanjaro Millenium Printers(KPML) yenye makao makuu yake jijini Arusha alitoa kauli hiyo juzi wakati akizungumza na waandishi wa habari jijini hapa kuhusu uamuzi wake wa kugombea ama la.
Hadi sasa jijini Arusha...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog19 May
Wagombea wa nafasi za uongozi Mkalama waonywa kutochafuana katika kipindi hiki
Mbunge wa viti maalumu (CCM) Mkoa wa Singida, Bi Martha Mlata (wa pili kutoka kulia) akimkabidhi pikipiki Mwenyekiti wa UWT Wilaya ya Mkalama, Bi Elipendo Machafuko (aliyepanda pikipiki) atakayotumia kuwatembelea wanachama wa jumuiya hiyo. Wengine walioshuhudiwa hafla ya makabidhiano hayo ni pamoja na Katibu wa CCM wilaya ya Mkalama,Bw.Amosi Shimba(wa kwanza kulia),Bi Hadija Kisuda-mwenyekiti wa UWT wilaya ya Singida vijijini(wa tatu kutoka kulia) na katibu wa UWT Mkoa wa Singida,Bi Anjela...
10 years ago
Mtanzania02 Feb
JK:Ole wao wagombea CCM
SHABANI MATUTU, SONGEA na Oliver Oswald (Dar)
MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Jakaya Kikwete, amewaonya watu wanaotaka kuwania urais kupitia chama hicho.
Amesema endapo watavunja sheria na kanuni wasikilaumu chama hicho bali wajilaumu wenyewe.
Rais Kikwete alisema hayo jana mjini Songea katika kilele cha maadhimisho ya miaka 38 ya CCM yaliyohudhuriwa na mamia ya wananchi wa Mkoa wa Ruvuma.
Alisema anaamini CCM ni chama kinachofuata taratibu za kuwapata viongozi wake bora kwa...
10 years ago
Mwananchi01 Jul
Kivumbi wagombea urais 42 wa CCM
10 years ago
Habarileo11 Jun
Wagombea urais CCM wafikia 28
IDADI ya wagombea nafasi ya Urais kupitia CCM sasa imefikia 28 baada ya jana makada wengine sita kuchukua fomu.
10 years ago
Mwananchi26 Jun
Wagombea urais CCM wagonga 40
10 years ago
Habarileo09 Aug
CCM Zanzibar yajadili wagombea
MAKAMU Mwenyekiti wa CCM, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Ali Mohamed Shein, ameongoza kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa Zanzibar, kujadili majina ya wagombea ubunge na uwakilishi kupitia chama hicho.
10 years ago
Habarileo05 Jun
Wagombea CCM wavunja rekodi
IDADI ya wagombea urais ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) inazidi kuongezeka na jana wagombea wengine sita walichukua fomu na kufanya idadi ya watu wanaowania kumrithi Rais Jakaya Kikwete kufikia 10.
10 years ago
Vijimambo03 Jul
Wagombea kundi la kifo CCM
![](http://www.mwananchi.co.tz/image/view/-/2773598/medRes/1051524/-/maxh/240/maxw/460/-/48hcps/-/pich+wagombea.jpg)
10 years ago
Habarileo02 Feb
Wagombea urais CCM kitanzini
MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Jakaya Kikwete amewaonya wanachama wa chama hicho, kuheshimu Katiba ya chama na kufuata taratibu katika kugombea nafasi za kuteuliwa katika uchaguzi wa mkuu ili wasije kukilaumu chama, endapo wataenguliwa na hivyo kushindwa kutimiza ndoto zao.