Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MUSA BANZI AWATAMBULISHA WAKE ZAKE UKUMBINI

Msanii anayeongoza kwa kutengeneza sinema za Kibongo za kutisha, Musa Banzi akiwa na mmoja wa wake zake. Imelda Mtema Duh! Msanii anayeongoza kwa kutengeneza sinema za Kibongo za kutisha, Musa Banzi amewatambulisha wake zake wawili ukumbini kwenye sherehe ya kuwakutanisha wasanii wote wa zamani ili kupanga mikakati mipya. Tukio hilo lililoshuhudiwa na gazeti hili lilijiri wikiendi iliyopita kwenye Ukumbi wa Mamba Pub uliopo...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

KAMISHNA WA POLISI JAMII NCHINI ,CP MUSA ALI MUSA AFANYA ZIARA WILAYA YA SAME

Kmishana wa Polisi Jamii nchini Musa Ali Musa akikaribishwa wilaya ya Same amabko ametembelea na kufanya ukaguzi kujionea hali ikoje ya namna asakari wanaposhirikiana na jamii pamoja na dawati la jinsia. Kamishna Musa akikaribishwa kufanya ukaguzi katika Gwaride lililoandaliwa na sakari Polisi wilaya ya Same. Gwaride maalumu lililoandaliwa kwa ajili ya Kimishana wa Polisi Jamii nchini Musa Ali Musa. Kamishna wa Polisi Jamii,Musa Ali Musa akifanya ukaguzi. Kamishna wa Polisi...

 

11 years ago

Michuzi

KAMISHNA WA POLISI JAMII NCHINI,MUSA ALI MUSA AFANYA ZIARA WILAYA YA MWANGA

Kamishna wa Polisi Jamii,Musa Ali Musa akiwa ameambatana na kamanda wa Polisi mkoa wa Kilimanjaro SACP ,Robert Boaz wakitembelea maeneo mbalimbali ikiwa ni pamoja na kukagua ujenzi wa kituo kipya cha polisi.Kamanada wa Polisi mkoa wa Kilimanjaro ,SACP Robert Boaz akizungumza na maofisa wa Polisi wa kada mbalimbali katika wilaya ya Mwanga (hawako pichani)kabla ya kumkaribisha kamishna wa Polisi jamii nchini ,CP ,Musa Ali Musa.Kamishna wa Polisi jamii Nchini,Musa Ali Musa akizungumza na...

 

9 years ago

Habarileo

Diwani CCM na wake zake wahamia ACT

MAKAMU Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Songea na diwani wa kata ya Gumbiro kupitia Chama Cha Mapinduzi(CCM), Andrew Mhagama pamoja na wake zake wawili wamejiunga na Chama cha ACTWazalendo.

 

11 years ago

GPL

ACHA KUMUUMIZA MOYO WAKE, THAMINI HISIA ZAKE!-2

KARIBU kwenye All About Love, bila shaka kuna vitu vipya vingi unavyovuna katika ukurasa huu. Kama ni mara ya kwanza kusoma hapa, tabasamu maana umeingia kwenye ulimwengu wa elimu kubwa ya uhusiano na mapenzi. Unaweza kunisoma pia kwenye Let’s Talk About Love kwenye gazeti la Ijumaa, Elimu ya Mapenzi katika gazeti la Championi Jumamosi na Love & Life ndani ya gazeti la Uwazi kila Jumanne. Ungana nami uzidi kukuza ufahamu...

 

9 years ago

Bongo5

Shaa azungumzia ukimya wake na ujio wa kazi zake mpya

Katika kipindi cha miezi ya hivi karibuni, Shaa amekuwa kimya. Hata hivyo amesema ukimya huo umetokana na kubanwa na kazi za kimaitaifa ambazo zilikuwa zikimhitaji kusafiri. Shaa ameiambia Bongo5 kuwa, sasa amerudi rasmi nyumbani na anajipanga kuachia kazi mpya hivi karibuni. “Natoa wimbo na video wangu mpya tarehe 7 mwezi wa 11, ambayo pia ni […]

 

10 years ago

Vijimambo

Tazama picha ya mfalme wa Saudi Arabia aliyefariki akiwa na wake zake 30.

Je wajua kua aliyekua mfalme wa Saudi Arabia mfalme Abdullah bin Abdulaziz alikua na wake 30?? na watoto wa kiume 45, Basi jibu ni ndio na hawa ni baadhi ya wake zake aliopiga nao picha ya pamoja. Mfalme Abdullah bin Abdulaziz alifariki tarehe 22 mwezi huu na nafasi yake imerithiwa na aliyekua mdogo wake.

 

9 years ago

Bongo5

Mabeste kumtumia mke wake kwenye video zake zote zinazokuja

Rapper Mabeste amesema baada ya mke wake Lisa kufanya vizuri katika video ya wimbo wake ‘Usiwe Bubu’ ameona haina sababu ya kumtafuta mtu mwingine katika kazi zake zote zinazokuja. Akizungumza na kipindi cha Planet Bongo cha EATV, Mabeste alisema hata ikitokea scene ya ujambazi bado itachezwa na mke wake. “Hakuna video itakayotoka bila mke wangu […]

 

10 years ago

Vijimambo

MA WINNY CASEY AWATAMBULISHA LADY KATE, MUMEWE NA MISS AFRICA USA KWA BALOZI LIBERATA MULAMULA

Miss Africa USA Meron Wudneha akitia saini kitabu cha wageni Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani siku walipotembelea Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani ulipo Washington, DC kwa utambulisho.Mkurugenzi na maratibu wa mashindao hayo Lady Kate akitia saini kitabu cha wageni Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani siku walipotembelea Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani ulipo Washington, DC kwa utambulisho.Kutoka kushoto ni Mr. Jerome Ndi ambaye ni mume wa Lady kate, Lady Kate, Katibu Mkuu wa Wizara...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani