Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Musonye achekelea wingi wa mashabiki

aho-cecafa-kagame-cup-izabera-hamenyekanye_53ac76dbd5148_l643_h643KATIBU Mkuu wa Baraza la Vyama vya Soka Afrika Mashariki na Kati (CECAFA), Nicholas Musonye, amefurahia wingi wa mashabiki waliojitokeza kwenye Uwanja wa Kimataifa wa Hawassa kushuhudia michuano hiyo.

Kutokana na hilo, Musonye amewapongeza waandaaji wa mechi za mji wa Awassa, ambapo kwa hatua iliyobakia ya michuano hiyo yataendelea katika mji wa Addis Ababa na kujipa moyo yatamalizika kwa mafanikio makubwa.

“Nina furaha kubwa kwa namna mashabiki walivyojitokeza Hawassa na nina furaha kwa...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

DRFA yawataka mashabiki wa soka kujitokeza kwa wingi kuzishangilia timu za Dar

Uongozi wa chama  cha soka mkoa wa Dar es salaam, DRFA,umewaomba,mashabiki na wote wenye mapenzi mema ya kandanda,kujitokeza kwa wingi kuzishangilia timu za Dar es salaam zinazoshiriki ligi kuu,Daraja la kwanza na michuano ya taifa Cup wanawake ,ili kutoa hamasa kwa wachezaji.
Leo (januari 28) kutakuwa na mchezo mmoja wa ligi kuu kwa timu ya Simba ya Dar es salaam dhidi ya Mbeya City ya Mbeya,mchezo ambao utakaopigwa katika uwanja wa taifa jijini.
Itakumbukwa kwamba katika mechi mbili za ligi...

 

11 years ago

Michuzi

CECAFA headed for better destiny-Musonye

As the inaugural CECAFA Nile Basin Cup tournament goes into the finals in Khartoum City this Wednesday afternoon, the CECAFA Secretary General Nicholas Musonye  (pictured) believes despite the numerous hurdles, the region is headed for a better destination in football development.   To read on CLICK HERE

 

10 years ago

GPL

VAI ACHEKELEA KUACHIKA!

Gladness Mallya
MCHEZA filamu anayefanya vizuri nchini, Isabela Francis ‘Vai’ amefunguka na kuchekelea kuachana na mpenzi wake ajulikanaye kwa jina la Boniface Matiku ‘Bonny’, akisema akiwa nyumbani kwa mama yake, ana uhuru wa kuamua chochote, ikiwa ni pamoja na kunywa pombe hata asubuhi. Mcheza filamu anayefanya vizuri nchini, Isabela Francis ‘Vai’. Akizungumza na Risasi Mchanganyiko...

 

10 years ago

GPL

JOKATE ACHEKELEA KUMBWAGA LULU

Na Hamida Hassan/Amani MWANAMITINDO na dairekta wa lebo ya Kidoti, Jokate Mwegelo amekuwa tishio kwa msanii wa filamu za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ kwa urembo na muonekano katika picha zinazoonekana mitandaoni nchini. Mwanamitindo na dairekta wa lebo ya Kidoti, Jokate Mwegelo. Mtandao mmoja wa hapa nchini umeendesha zoezi la kuweka picha zao kali zinazowaonesha wote wawili wakiwa na muonekano na picha kali...

 

10 years ago

GPL

ISABELA ACHEKELEA ADHABU YA SHILOLE

Mwandishi Wetu BAADA ya msanii na muigizaji Zuwena Mohamed ‘Shilole’ kufungiwa na Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) kwa kitendo chake cha kucheza nusu utupu jukwaani, msanii mwenzake Isabela Mpanda amechekelea adhabu hiyo na kusema liwe fundisho kwa wengine. ...Soma zaidi===>http://bit.ly/1SN6ujM

 

9 years ago

Global Publishers

Shamsa achekelea mpenzi mpya

FordStaa wa filamu Bongo, Shamsa Ford

Na Gladness Mallya
STAA wa filamu Bongo, Shamsa Ford ameonesha furaha yake ya kuumaliza mwaka kwa kumpata mpenzi mpya, ambaye hata hivyo, alikataa kutaja jina lake.

Akizungumza na gazeti hili juzikati, Shamsa alisema mwaka huu pia umeweka historia kwa yeye kuweza kutimiza mambo yote aliyojipangia tangu alipoachana na baba wa mtoto wake.

“Nafurahi sana namaliza mwaka nikiwa nimetimiza malengo pia kuwa na mpenzi mpya ambaye ni mume wangu mtarajiwa, ndani ya...

 

10 years ago

Mwananchi

Dk Magufuli achekelea makandarasi kuadhibiwa

Waziri wa Ujenzi, John Magufuli ameupongeza Wakala wa Barabara Tanzania (Tanroad) kwa kuwachukulia hatua watendaji wa Kampuni ya Dott Services kwa kosa la kuchelewesha ujenzi wa barabara ya Mkumbara hadi Same yenye urefu wa kilomita 96.

 

10 years ago

GPL

WEMA ACHEKELEA KANDAMBILI ZA JOKATE

Stori: Imelda Mtema/Ijumaa Wikienda
MBUNIFU wa mavazi na mtangazaji Bongo, Jokate Mwegelo amesababisha shosti yake, Wema Sepetu ‘Madam’ afurahi baada ya kumpelekea zawadi ya kandambili zake za Kidoti pamoja na vipodozi mbalimbali.
Jokate alisema Wema ni miongoni mwa watu ambao anawakubali kutokana na mchango mkubwa katika tasnia ya filamu Bongo, hivyo ameamua kumpelekea zawadi  ya bidhaa zake za Kidoti...

 

11 years ago

GPL

WASTARA ACHEKELEA UBUYU, KULIKONI?

Na Hamida Hassan
STAA wa filamu za Kibongo, Wastara Juma ameibua maswali baada ya kuonekana akifakamia ubuyu kwa wingi huku wengi wakidhani labda amenasa! Tehe! Wastara Juma. Mkali huyo wa hisia awapo mbele ya kamera, alinaswa na kamera yetu hivi karibuni akiwa lokesheni na wasanii wengine ambao nao pia walikula lakini si kwa sana kama yeye. Risasi Mchanganyiko lilimuweka mtu kati ambapo alisema: “Jamani... mimi napenda...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani