MUUAJI WA YANGA: OLUNGA, NI HATARI...

Yanga imepoteza kwa bao 2-1 katika mechi ya ufunguzi ya Kombe la Kagame.Gor Mahia, mabingwa wa Kenya ndiyo walioibuka na ushindi katika mchezo huo mtamu uliomalizika kwa sare ya bao 1-1 katika kipindi cha kwanza.
Lakini Gor Mahia wakazidi kutamba katika kipindi cha pili kwa kupata bao la kwanza kupitia kwa mshambuliaji wake Michael Olunga.Olunga aliyekuwa akiisumbua ngome ya Yanga tokea kipindi cha kwanza alifunga bao hilo baada ya kuwatoka Kelvin Yondani na Mbuyu Twite.
Yanga walitangulia...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo03 Oct
YANGA HII NI TAMU HATARI. .

HEBU CHEKI HII:-*Tumecheza michezo 5,Tumeshinda yote.*Tumefunga magoli 13,Tumefungwa goli 1.*Tunaongoza ligi toka ligi ilipoanza.*Timu yetu ndio ina safu kali ya kupachika mabao.*Timu yetu ndio ina safu ngumu ya ulinzi.*Timu mbili za juu kati ya 3 tumeshazifunga.
WACHEZAJI:-*Amiss Tambwe kafunga magoli 4.*Donald Ngoma kafunga magoli 4.*Malimi Busungu kafunga magoli 2.*Ally Mustafa hadi sasa ndie kipa bora.*Kamusoko,Twite na Msuva wamefunga goli moja kila mmoja.*Kiwango cha Kelvin Yondani...
10 years ago
GPL
MASHINE HATARI YATUA YANGA
10 years ago
Mwananchi14 Jun
Saa 48 za hatari kwa kiungo Yanga SC
10 years ago
GPL
Saa mbili za Mrwanda Yanga ni hatari
10 years ago
GPL
Pluijm ashusha mawinga wawili hatari Yanga
10 years ago
GPL
Saa mbili za Ngoma, Mghana Yanga ni hatari
10 years ago
Raia Tanzania27 Jul
Mashabiki wamkuna Olunga
MSHAMBULIAJI nyota wa Gor Mahia ya Kenya, Michael Olunga amefurahishwa na mashabiki wa soka Tanzania kujaa kwa wingi uwanjani na kushangilia timu za nje.
Olunga ambaye yuko nchini hivi sasa na kikosi chake kwa ajili ya kushiriki michuano ya Kombe la Kagame, amesema hali hiyo ya ushabiki haipo nchini kwao.
Akizungumza na Raia Tanzania mshambuliaji huyo alisema mashabiki wa soka Tanzania wanaonekana kupenda mpira kuliko hata mashabiki wa nchini kwao.
Olunga alisema hali hiyo ya...
10 years ago
Raia Tanzania31 Jul
Olunga kuziba nafasi ya Sherman
MSHAMBULIAJI nyota wa Gor Mahia ya Kenya, Michael Olunga ametajwa kuingia kwenye rada za kujiunga na mabingwa watetezi wa ligi kuu, Yanga ili kuziba nafasi iliyoachwa wazi na Kpah Sherman wa Liberia ambaye yuko mbioni kusajiliwa na Mpumalanga FC ya Afrika Kusini.
Akizungumza na Raia Tanzania jana jijini Dar es Salaam, mmoja wa viongozi wa bechi la ufundi alisema kocha wao mkuu Hans Van Pluijm anamtaka mshambuliaji huyo kwa ajili ya kuimarisha kikosi chao.
Kiongozi huyo ambaye...
9 years ago
Mtanzania04 Dec
Olunga mashakani kutua Simba
*Gor Mahia wataja dau kubwa, Kerr asema hajaona alichofanya Chalenji
NA MWALI IBRAHIM, DAR ES SALAAM
MPANGO wa klabu ya Simba kumnasa Straika wa Gor Mahia, Michael Olunga, umeingia mushkeli baada ya klabu yake kuitaka Simba ilipe dola 200,000 (zaidi ya Sh milioni 400 za Tanzania), kitu ambacho ni kigumu kwa klabu ya Wekundu hao wa Msimbazi kulipa kwa sasa.
Simba ilianza kumfukuzia Olunga tangu kwenye michuano ya Kagame, iliyofanyika hapa nchini kwa Azam kuwa mabingwa, lakini walishindwa...