Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MUUMIN MWINYJUMA NA DOUBLE O WAANZA MAONYESHO MSUMBIJI

KUNDI  la Double M chini ya Muumin Mwinyjuma, limealikwa Msumbiji kwa mwezi mzima, na katika wakati huo kundi litashiriki katika sherehe za miaka 51 ya Vita vya Ukombozi wa nchi hiyo. Wanamuziki hawa ambao ni wanachama wa Mtandao wa Wanamuziki walipitisha barua yao ya taarifa ya kwenda huko na hivyo Mtandao ukatoa taarifa Baraza la sanaa La Taifa kama inavyostahili. Waliomo katika msafara huo ni pamoja na kiongozi wa kundi Muumin Mwinyjuma,  maarufu kwa jina la KOCHA, na wanamuziki wengine...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Rais Armando Guebuze Wa Msumbiji afungua Maonyesho Biashara ya Kimataifa Mjinj Maputo,Tanzania yashiriki vyema

Pichani ni ndugu frank Mwega, Afisa wa Ubalozi anayeshughulikia masuala ya biashara na uchumi (Utekelezaji wa Sera ya Taifa ya Diplomasia ya Kiuchumi) akimuwakilisha Mhe. Shamim Nyanduga, Balozi wa Tanzania, Mozambique akitoa maelezo kwa Mhe. Armando Emilio Guebuza, Rais wa Jamhuri ya Mozambique kuhusu masuala ya Vivutio vya Utalii na Bidhaa zinazo zalishwa na viwanda na wajasiriamali wa Tanzania kwenye banda la Tanzania wakati wa ufunguzi wa Maonyesho ya Biashara ya Kimataifa ya Maputo...

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS WA MSUMBIJI ATEMBELEA CHUO CHA DIPLOMASIA, AFUNGUA KONGAMANO LA BIASHARA NA KUZUNGUMZA NA RAIA WA MSUMBIJI WAISHIO NCHINI


Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Simba Yahya akiwajadiliana jambo na Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo cha Diplomasia (CFR), Balozi Mwanaidi Maajar huku Mkuu wa Chuo hicho Balozi Mohammed Maundi akisiskiliza wakati viongozi hao wakisubiri kumpokea Rais wa Jamhuri ya Msumbiji, Mhe. Filipe Jacinto Nyusi alipotembelea Chuoni hapo leo tarehe 18 Mei, 2015 wakati akiendelea na ziara yake ya kitaifa ya siku tatu hapa nchini. Chuo cha Diplomasia kilichopo...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Muumin ageuzia karata Taarabu

UKIZUNGUMZIA muziki wa dansi nchini huwezi kukwepa kulitaja jina la Muumin Mwinjuma, maarufu kama ‘Kocha wa Dunia’, ambaye alikuwa miongoni mwa wanamuziki wa kwanza kuupaisha muziki huo hapa nchini. Sauti...

 

11 years ago

GPL

MSIKILIZE MUUMIN AKIZIKOSOA TUZO TATU ZA MUZIKI WA DANSI

Mwimbaji nyota wa muziki wa dansi, Mwinjuma Muumin. MWIMBAJI nyota wa muziki wa dansi, Mwinjuma Muumin amezikosoa tuzo tatu za muziki wa dansi zilizotolewa Jumamosi, Mlimani City katika usiku wa tuzo za Kilimanjaro Tanzania Music Awards.  Muumin alitoa tathmini yake jana mchana katika ofisi za Saluti5 ambapo alisema hakubaliani na Mashujaa Band kupewa tuzo ya bendi bora ya mwaka, hakubaliani pia na Jose Mara kuwa mwimbaji...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Choki, Muumin, Banza waacha gumzo Kanda ya Ziwa

WAKALI wa muziki wa dansi nchini, Extra Bongo Next Level ‘Wazee wa Kizigo’ wamerejea jijini Dar es Salaam kwa kishindo baada ya kuhitimisha ziara ya wiki moja katika mikoa ya...

 

11 years ago

Michuzi

maalim seif mgeni rasmi maulid yaliyoandaliwa na madrasat Muumin Islamiya ya Mwembeshauri.

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, amesema wakati umefika kwa Wizara ya Katiba na Sheria kuandaa sera itakayozingatia maslahi ya walimu wa madrasa, ili kuthamini juhudi zao za kuwafundisha watoto.  Amesema walimu wa madrasa wana kazi kubwa ya kuisaidia jamii katika malezi na kuwajenga watoto kimaadili, hivyo hakuna budi kuthaminiwa kwa kazi hiyo ambayo muda wote wamekuwa wakiifanya kwa kujitolea. Akizungumza katika hafla ya maulid ya kuzaliwa kwa Mtume...

 

9 years ago

Vijimambo

MASABURI ASEMA CHAGUA DOUBLE M

Gari maalum la kampeni za mgombe Ubunge wa Jimbo la Ubungo jijini Dar es Salaam kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk Didas Masaburi likipita eneo la Manzese kuhamasisha wananchi kushiriki mkutano wa uzinduzi wa kampeni za CCM, Jangwani juzi.Mgombea Ubunge wa Jimbo la Ubungo kupitia Chama Cha Mapinduzi, Dk Didas Masaburi akiwapungia mikono wapiga kura wa jimbo lake wakati alipoongoza msafara wa wanaCCM wa jimbo hilo kuelekea viwanja vya Jangwani, Dar es Salaam kumsikiliza mgombea urais wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani