Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Muungano wawagawa wajumbe bungeni

Majadiliano juu ya Muundo wa Muungano yameanza kuwagawa baadhi ya wajumbe wa Bunge la Katiba, baada ya baadhi yao kupendekeza yasogezwe mbele ili kuepuka kuligawa Bunge mapema na wengine wakitaka mjadala huo ufanyike kama ilivyowekwa katika Rasimu ya Katiba.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Wajumbe washindana kushangilia bungeni

>Wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba jana waligawanyika katika kushangilia hotuba ya ufunguzi wa Bunge hilo iliyotolewa na Rais Jakaya Kikwete.

 

11 years ago

Mwananchi

Wajumbe tisa hawajaripoti bungeni

>Wakati wajumbe tisa kati ya 629 wa Bunge Maalumu la Katiba, hawajaonekana bungeni tangu lilipoanza shughuli zake Februari 18, mwaka huu, Ikulu imesema kuwa Rais Jakaya Kikwete hawezi kuwachukulia hatua na badala yake wenye uwezo huo ni makundi wanayotoka.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Rage: Wajumbe waliosusa wasirudi bungeni

MJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba, Ismail Rage, ametaka bunge hilo kutowaruhusu kurudi bungeni wajumbe waliosusa. Rage alitoa kauli hiyo bungeni jana baada ya kuomba muongozo wa Mwenyekiti. Alisema hivi...

 

11 years ago

Mwananchi

Wananchi wawataka wajumbe kuzingatia nidhamu bungeni

Wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, wametakiwa kuwa na nidhamu na kuheshimu muda uliowekwa, kwa ajili ya vikao vya Bunge hilo badala ya kuendeleza malumbano yasiyokuwa na tija kwa Taifa.

 

11 years ago

Mwananchi

Wajumbe hawa wanapaswa kupata upendeleo bungeni

Pendekezo la muundo wa Muungano kuwa wa serikali tatu lililomo kwenye Rasimu ya Katiba, linaonekana kuwagawa wajumbe wengi wa Bunge Maalumu la Katiba, hasa wanasiasa.

 

10 years ago

Michuzi

Wajumbe wa Bunge la Katiba waaswa kurejea Bungeni

Na Rose Masaka-MAELEZOViongozi wa vyama vya siasa waliopo nje ya Bunge Maalumu la Katiba wameaswa kurejea bungeni ili kufanya maridhiano ndani ya bunge hilo.
Kauli hiyo imetolewa na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Frederick Werema alipokuwa akiongea na waandishi wa habari leo Jijini Dar es salaam.
Jaji Werema amesema kuwa wajumbe walio nje ya Bunge Maalum hawana budi kurejea bungeni na kuacha kumshinikiza Rais kulivunja bunge hilo kwani hana mamlaka ya kulivunja kulingana na sheria...

 

11 years ago

Mwananchi

Malima akata makali posho za wajumbe watoro bungeni

Naibu Waziri wa Fedha, Adam Malima amesema kuna baadhi ya wajumbe wa Bunge la Katiba walioko nje, wamekuwa wakijipitisha “pembezoni mwa ukuta wa Bunge na wengine kupiga mluzi kutaka marafiki zao wawaandike majina” ili wapate posho.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Hati ya Muungano yatinga bungeni

HATIMAYE serikali imewasilisha bungeni nakala ya hati halisi ya makubaliano ya muungano baina ya Tanganyika na Zanzibar yaliyofanyika mwaka 1964. Makamu Mwenyekiti wa Bunge, Samia Suluhu, aliwatangazia wajumbe bungeni jana...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani