Mvietnam alikamatwa na kucha, meno ya chui pia
>Imebainika kwamba raia wa Vietnam, Lyvan Dong Varn (47), aliyeripotiwa kukamatwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa Julius Nyerere (JNIA), akiwa na meno na kucha za simba, pia alikuwa na viungo kama hivyo vya chui.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo01 Aug
Akutwa na meno 65, kucha 447 za simba
RAIA wa Vietnam, Dong Van (47) anashikiliwa na Polisi kwa tuhuma za kukutwa na meno 65 na kucha 447 za simba zote zikiwa na thamani ya zaidi ya Sh milioni 189.
11 years ago
Mwananchi01 Aug
Mvietnamu akamatwa na meno 65, kucha 447 za simba Dar
11 years ago
CloudsFM01 Aug
RAIA WA VIETNAM AKAMATWA NA MZIGO WA MENO YA TEMBO KUCHA ZA SIMBA
Kamishna Msaidizi wa Polisi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Hamisi Selemani, amesema mtuhumiwa huyo alikamatwa jana wakati alipotaka kusafirisha nyara hizo kwa kutumia Shirika la Ndege la Qatar Airways kwenda nchini Vietnam kupitia Doha.
Amesema alipopekuliwa alikutwa na nyara hizo ambazo...
10 years ago
Habarileo21 Aug
DPP aruhusu kesi ya Mvietnam kuendelea
MAHAKAMA ya Wilaya ya Ilala, imepata hati kutoka kwa Mkurugenzi wa Mashitaka nchini (DPP), kuendelea kusikiliza kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili raia wa Vietnam, Lyan Dong.
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-chaPuUbmfNw/U3RZ9DrmYEI/AAAAAAAFhxg/RMJ66Jk1TZg/s72-c/unnamed+(1).jpg)
WATU WATATU WAKAMATWA NA MENO 25 YA KIBOKO NA VIPANDE 8 VYA MENO YA TEMBO
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/JHS5fnHuLYlv9Z3nXF3jwBvVRZTIeDXsbZR27HwEmr2VG64XQCtosSAHVNaI-mOkEM5ZxWRHLfrr4bzgmBRHqjwdeLHsx36o/unnamed1.jpg?width=650)
WATU WATATU WAKAMATWA NA MENO 25 YA KIBOKO NA VIPANDE 8 VYA MENO YA TEMBO
10 years ago
Mwananchi09 Jan
Vichokoa meno vizuri ila vyaweza kukuathiri fizi, meno
10 years ago
TheCitizen29 Sep
JKT Stars gun down Chui
11 years ago
BBCSwahili18 Feb
Chui wakataa kumshambulia, China