Mwaka 2016, malkia/ mfalme wangu ni wewe
Nina kila sababu ya kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutuwezesha kuuona Mwaka 2016, ikiwa ni siku ya nne tangu mwaka huu mpya uanze.
Wapo waliotamani kuuona lakini imeshindikana kwa mapenzi ya Mungu, wapo waliouona wakiwa na majanga tele, wengine wakiwa wamelazwa, wengine wakiwa ni walemavu kwa sababu mbalimbali.
Safu hii pendwa ya XXLove iko nawe bega kwa bega kwa shida na raha bila kujali kilichokufika, tunaamini sote tu waja wa Mungu.
Mada ya leo inazungumzia zaidi kuhusu wapenzi...
Global Publishers
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog02 Jan
2016 mwaka wangu wa mwisho – Gerrard, hii ndiyo kazi anayowaza kufanya baada ya kustaafu
Na Rabi Hume, Modewjiblog
Mchezaji wa zamani wa Liverpool ambaye kwa sasa anakipiga katika klabu ya LA Galaxy ya nchini Marekani, Steven Gerrard (pichani) amesema anapenda kustaafu kucheza soka mwaka huu na kufanya kazi nyingine.
Gerrard ambaye ambaye aliondoka Liverpool mwaka uliyopita na kwenda kucheza Ligi ya Marekani MLS ambayo kwa sasa imemalizika aliliambia gazeti la Telegraph kuwa hana uhakika kwa asilimia zote kama utakuwa mwaka wake wa mwisho lakini anapendelea iwe hivyo.
“Sina...
9 years ago
Habarileo17 Nov
Malkia Elizabeth, Mfalme Akihito wampongeza JPM
RAIS John Magufuli ameendelea kupokea salamu za pongezi kutoka kwa viongozi mbalimbali duniani kutokana na kuchaguliwa kwake kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, safari hii akiwamo Malkia Elizabeth II wa Uingereza.
10 years ago
Mwananchi30 Aug
Malkia, Mfalme wa taarabu uso kwa uso Tanga
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-n0XmtJv2oDY/VXk5s--cjuI/AAAAAAAHeoQ/wyN6P-Y4u4I/s72-c/unnamed%2B%252831%2529.jpg)
LEO NI LEO NDANI YA VILLA PARK MWANZA, MFALME MZEE YUSSUF NA MALKIA ISHA MASHAUZI WATATOANA MACHO
![](http://2.bp.blogspot.com/-n0XmtJv2oDY/VXk5s--cjuI/AAAAAAAHeoQ/wyN6P-Y4u4I/s640/unnamed%2B%252831%2529.jpg)
5 years ago
Zitto Kabwe, MB13 Feb
Vitabu 53 nilivyosoma mwaka 2016
Vitabu 53 nilivyosoma mwaka 2016
Zitto Kabwe
![The Strongman: Vladimir Putin and struggle for Russia – Augus Roxburgh](https://zittokabwe.files.wordpress.com/2016/12/41deesdkefl-_sx323_bo1204203200_.jpg?w=195&h=300)
The Strongman: Vladimir Putin and struggle for Russia – Augus Roxburgh
Mwaka 2016 nimesoma vitabu 53. Nimeongeza vitabu nilivyosoma tofauti na mwaka 2015 lakini sikuweza kufikia idadi ya mwaka 2014 ambapo nilisoma vitabu 56. Hiyo ndio rekodi ya juu zaidi tangu nilipoanza kuorodhesha vitabu nilivyosoma mnamo mwaka 2012. Mwaka 2013 niliorodhesha vitabu vichache zaidi nilivyosoma.
Mafanikio makubwa ya mwaka huu ni kuongeza vitabu vya Riwaya...
11 years ago
Tanzania Daima11 Jun
Watanzania kufikia milioni 50 mwaka 2016
RAIS Jakaya Kikwete amesema kwa sasa Tanzania ina watu milioni 48 na ifikapo mwaka 2016, kutakuwa na watu milioni 50 kutokana na ongezeko la asilimia 2.7 la kila mwaka. Akizungumza...
9 years ago
BBCSwahili31 Dec
9 years ago
Bongo511 Dec
Lord Eyez aupania mwaka 2016
![Lord Eyes](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/Lord-Eyes--300x194.jpg)
Rapa kutoka Weusi, Lord Eyez ameonesha kuupania mwaka 2016, kuufanya uwe ni mwaka wa kulipa madeni yote anayodaiwa na mashabiki wake waliomkosa kwa kipindi kirefu.
Ukimya wake uliosababisha kuwepo na maswali mengi likiwemo la kama ametengana na Weusi ulivunjwa na rapa huyo hivi karibuni alipoweka wazi kuwa bado yupo Weusi.
“Napenda kuwaambia mashabiki zangu kuwa mwaka 2016 ni mwaka wangu sasa kufanya kweli, kwani ukimya wangu umeendana na kupika kazi mpya na mpaka sasa nimeshafanya kazi...