Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MWAKILISHI WA UNICEF AKUTANA NA DK.SHEIN

Rais wa Zanzibar na Mqwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mwakilishi Mkaazi wa UNICEF Nchini Tanzania Dr.Jama Gulaid alipofika Ikulu Mjini Unguja akiwa na ujumbe aliofuatana nao leo. Rais wa Zanzibar na Mqwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Mwakilishi Mkaazi wa UNICEF Nchini Tanzania Dr.Jama Gulaid alipofika Ikulu Mjini Unguja leo.[Picha na Ikulu.]

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

Balozi Mushy amuaga mwakilishi wa UNICEF nchini

Mkurugenzi wa Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Celestine Mushy akimkabidhi zawadi Mwakilishi wa Shirika la Kimataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF) nchini Dkt. Jama Gulaid aliyemaliza muda wake wa Uwakilishi nchini.

Moja ya zawadi alizopokea kutoka kwa Balozi Mushy ni Kitabu kinachoelezea Vivutio mbalimbali vya Utalii vinavyopatikana hapa nchini.

Pia katika mazungumzo yao, Balozi Mushy alimpongeza Dkt. Gulaid kwa kuiwakilisha...

 

5 years ago

Michuzi

SIMBACHAWENE AKUTANA NA MWAKILISHI MKUU WA UNHCR NCHINI



Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene akizungumza masuala mbalimbali yanayohusu wakimbizi na Mwakilishi Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi (UNHCR) nchini, Antonio Canhandula (kulia), wakati mwakilishi huyo alivyofika ofisini kwa waziri, jijini Dodoma.Mwakilishi Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la...

 

10 years ago

Michuzi

BALOZI KAMALA AKUTANA NA MWAKILISHI WA CHAMA CHA WAFANYABIASHARA WA LUXEMBOURG

Balozi wa Tanzania nchini Ubelgiji, Luxembourg na Jumuiya ya Ulaya Dr. Diodorus Buberwa Kamala (kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi wa Masuala ya Kimataifa wa Chama cha Wafanyabiashara cha Luxembourg Bwana Jean Claude Vesque. Bwana Claude alimtembelea Balozi Kamala leo ofisini kwake Brussels. Kushoto ni Bwana Jofrey Kabakaki afisa wa masuala ya uchumi Ubalozi wa Tanzania Ubeligi.

 

10 years ago

Michuzi

RAIS WA MAHAKAMA YA AFRIKA NA HAKI ZA BINADAMU AKUTANA MWAKILISHI WA FRANCOPHONIE ARUSHA

Rais wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu(AfCHPR)Jaji Augustino Ramadhani(kushoto) akiwa kwenye mazungumzo na Naibu Mwakilishi Mkazi wa taasisi ya kimataifa “La Francophonie” katika Umoja wa Afrika(AU)yenye makao yake Addis Ababa,Ethiopia,Cecile Folchini kwenye ofisi za Mahakama ya Afrika jijini Arusha leo. Rais wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu(AfCHPR)Jaji Augustino Ramadhani(wa pili kulia)akiwa katika picha ya pamoja na Naibu Mwakilishi Mkazi wa taasisi ya kimataifa “La...

 

10 years ago

Michuzi

Katibu Mkuu wa Mambo ya Nje akutana kwa mazungumzo na Mwakilishi wa IFAD nchini

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Liberatta Mulamula akiwa katika mazungumzo na Mwakilishi wa IFAD nchini Bw. Sana F.K. Jatta, alipokuja kumtembelea na kujadili juu ya ziara ya  Rais wa IFAD Mhe. Kanayo Nwanze mwezi Agosti 2015Mmoja wa wajumbe aliyeambatana na Bw. Jatta akifafanua jambo kwa Balozi Mulamula.Mazungumzo yakiendelea

 

10 years ago

Michuzi

Dkt. Salim akutana na Mwakilishi wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika DRC

Waziri Mkuu Mstaafu na aliyekuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Nchi za Afrika (OAU),Dkt. Salim Ahmed Salim akizungumza na Mwakilishi wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika DRC Balozi Said Djinit ambaye alimtembelea nyumbani kwake jana kusalimiana naye. Balozi Djinit aliwahi kuwa Msaidizi wa Mheshimiwa Salim Ahmed Salim wakati akiongoza OAU.

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI WA MAMBO YA NDANI MH. MATHIAS CHIKAWE AKUTANA NA MWAKILISHI MKAZI WA UNHCR TANZANIA

 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi aliyekaa kutoka kushoto  Mh, Mathias Chikawe akitoa ufafanuzi kuhusu masuala mbalimbali yanayohusu shughuli za Idara ya Wakimbizi kwa Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Kimataifa la Kuhudumia Wakimbizi UNHCR nchini Tanzania  Joyce Mends-Cole aliyekaa kati kati. Mwakilishi huyo alimtembelea Waziri Chikawe leo katika Ofisi za Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi ili kujitambulisha kwa Waziri huyo ambaye ameteuliwa hivi karibuni na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...

 

10 years ago

Dewji Blog

JK amtumia salamu za rambirambi Dkt. Shein kufuatia kifo cha Mwakilishi wa jimbo la Magomeni, Zanzibar

salmin-awadh

Marehemu  Mh. Salmin Awadh enzi za uhai wake.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amempelekea Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mheshimiwa Dkt. Ali Mohamed Shein, salamu za rambirambi kuomboleza kifo cha Mheshimiwa Salmin Awadh Salmin, Mwakilishi wa Jimbo la Magomeni katika Baraza la Wawakilishi na Mwenyekiti wa Kamati ya Fedha ya Baraza hilo.

Mheshimiwa Salmin ambaye alikuwa pia Katibu wa Kamati ya Wabunge wa Chama cha Mapinduzi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani