Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


mwaliko wa mnuso wa sherehe za nondozzz kwa mheshimiwa diwani Clement Bocco

Mimi Clement Bocco, napenda kuwakaribisha marafiki zangu wote, madiwani wenzangu, wanakwaya wenzangu wa kkkt Kijitonyama, wanasiasa wenzangu, ndugu na jamaa wote mje kufurahi pamoja na familia yangu kwenye sherehe ya mahafali (graduation) yangu ya Masters kwenye chuo cha IFM jijini Dar es salaam mwezi ujao tarehe 10.10.2014. Baada ya ratiba ya chuoni itafuatiwa na tafrija itakayofanyika kwenye ukumbi wa Pine Lodge jirani na Bahari Beach Hotel kuanzia saa 12:30 jioni.Hakuna...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

mwaliko wa mnuso kwa mheshimiwa diwani mwezi ujao

Mimi Clement Bocco, napenda kuwakaribisha marafiki zangu, madiwani wenzangu wa manispaa ya kinondoni, wanakwaya wenzangu wa kkkt Kijitonyama, wanasiasa wenzangu, ndugu, jamaa na majirani zangu wote mje kufurahi pamoja na familia yangu kwenye sherehe ya mahafali (graduation) yangu ya Masters kwenye chuo cha IFM mwezi ujao tarehe 10.10.2014, baada ya ratiba ya chuoni itafuatiwa na tafrija itakayofanyika Sinza..hakuna kiingilio, KARIBUNI WOOOTE

 

10 years ago

Vijimambo

MNUSO BAADA YA SHEREHE YA HARUSI YA OSWALD NA SUSAN BURMINGHAM, ALABAMA

Wadau mbalimbali waliotokelezea kwenye mnuso wa baada ya sherehe ya harusi ya Oswald na Susan uliofanyika katikati ya mji wa Burmingham jimbo la Alabama wakipata picha ya pamoja.
Ni ukodak moment kwenye mnuso wa baada ya sherehe ya harusi ya Oswald na Susan
Wadau wakiwa katika picha ya pamoja
Mnuso wa baada ya sherehe ukiendelea.
Ni ukodak kwa kwenda mbele
Wadau wakiselebuka
Mnuso wa baada ya sherehe ukiendeleaKwa picha zaidi bofya soma zaidi

 

9 years ago

Vijimambo

HOTUBA YA MHESHIMIWA DKT. JAKAYA MRISHO KIKWETE, RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, KWENYE SHEREHE YA KILELE CHA MBIO ZA MWENGE WA UHURU

Mheshimiwa Dkt. Fenella Mukangara, Waziri wa Habari,       Vijana, Michezo, Utamaduni na Michezo;Mheshimiwa Zainabu Omar Mohamedi, Waziri wa Uwezeshaji, Ustawi wa Jamii, Vijana Wanawake na Watoto – Zanzibar;Mheshimiwa Chiku Gallawa, Mkuu wa Mkoa wa Dodoma;Waheshimiwa Mawaziri na Naibu Mawaziri;Waheshimiwa Wabunge na Wajumbe wa         Baraza la Wawakilishi; Ndugu Mwenyekiti  wa CCM Mkoa wa Dodoma;Waheshimiwa Wakuu wa Mikoa Kutoka Tanzania        Bara na Zanzibar;Makatibu Wakuu Kutoka Wizara...

 

10 years ago

Vijimambo

LB YAIKARIBISHA VIJIMAMBO ATLANTA KWA MNUSO WA KIMTINDO


Linda Bezuidenhout Ceo wa LB akifanya matayarisho kwa ajili ya wageni wake aliowakaribisha kwenye mnuso mdogo aliofanya kuipongeza Timu ya Vijimambo kwa kazi ya kuhabarisha jamii inayofanya siku ya Jumamosi Februari 28, 2015 katikati ya jiji la Atlanta jimbo la Georgia.Linda Bezuidenhout Ceo wa LB akiwa katika picha ya pamoja na wageni wake kushoto ni Meck Khalfan Ceo na Co Founder wa PUKU Mtanzania aliyegundua mashine ya chaja ya kubeba inayo chaji simu ya kiganjani.Linda Bezuidenhout Ceo...

 

11 years ago

Michuzi

ankal aadhibiwa kwa kuvamia mnuso wa watu...

Ankal akiwa na wadau katika mnuso mmoja hivi karibuni jijini Dar es salaam, akionesha madhara ya kuvunja geti (gate crash) maana dress code ilikuwa kanzu na koti na makubadhi. Yeye kaulamba kivingine, adhabu yake ikawa kuchukuliwa kwa taswira hii ili iwe fundisho kwake na kwa wengine.

 

10 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AWASILI MAREKANI KWA MWALIKO WA UMOJA WA MATAIFA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete Jumapili, Machi 29, 2015 amewasili jijini New York, Marekani kwa mwaliko wa Umoja wa Mataifa.

Miongoni mwa mambo mengine, Rais Kikwete amefunguia rasmi jengo la ghorofa sita la Ofisi za Mwakilishi wa kudumu wa Tanzania katika umoja wa Mataifa, na Jumatatu Machi 30, 2015 amealikwa kuhutubia Baraza la Umoja wa Mataifa la Uchumi na Jamii (ECOSOC - UN).Rais Kikwete akilakiwa na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani