Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mwanafunzi avamia walimu na gobori, awapora

MWANAFUNZI wa kidato cha tatu katika shule ya sekondari Kabwe wilayani Nkasi mkoani Rukwa, Richard Thadeo (17) anashikiliwa na Polisi wilayani humo kwa tuhuma za kuvamia walimu wa shule hiyo akiwa na silaha aina ya gobori na kuwapora Sh 75,000 taslimu na simu nne za mkononi.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Walimu wamchapa mwanafunzi, afariki

Kiteto. Mwanafunzi wa kidato cha pili katika Shule ya Sekondari Matui wilayani hapa, amefariki dunia darasani baada ya kudaiwa kuchapwa viboko na walimu watatu wa shule hiyo, kwa kile kilichodaiwa kufeli mtihani wa Kiswahili.

 

10 years ago

Vijimambo

Walimu Watatu Wamchapa Mwanafunzi wa Kidato cha Pili viboko Hadi Kufariki kwa Kufeli Mtihani wa Kiswahili huko KITETO

Mwanafunzi wa kidato cha pili katika Shule ya Sekondari Matui wilayani Kiteto, amefariki dunia darasani baada ya kudaiwa kuchapwa viboko na walimu watatu wa shule hiyo, kwa kile kilichodaiwa kufeli mtihani wa Kiswahili. Polisi wilayani na mkoani Manyara, wanamshikilia mwalimu mmoja baada ya wenzake kukimbia baada ya tukio.Akizungumza jana, Mkuu wa Wilaya ya Kiteto, Kanali Samwel Nzoka alimtaja mwanafunzi huyo aliyepoteza maisha kuwa ni Noel Bichima (15).Kanali Nzoka alisema tukio hilo...

 

11 years ago

CloudsFM

POLISI AMRUBUNI MWANAFUNZI KUFANYA NAYE MPENZI,AMWACHA CHUMBANI KWAKE,NYUMBA YAKE YAUNGUA MOTO,MWANAFUNZI AFARIKI DUNIA

Wananchi wa Mlangali, Ludewa wakiwa wamekizingira kituo cha polisi Mlangali mara baada ya kuipeleka maiti ya mtoto aliyeteketea kwa moto katika kituo hicho.KIONGOZI wa mbio za mwenge Kitaifa awatuliza wananchi wa Mlangali wilaya ya Ludewa ambao baadhi yao waliandamana kituo cha polisi kushinikiza kutolewa kwa askari polisi aliyedaiwa kusababisha kifo cha mtoto ili auwawe.Kiongozi huyo aliwaomba wananchi wa Mlangali kutokubali kujihusisha na vitendo vya uvunjifu wa amani ikiwa ni pamoja na...

 

11 years ago

Habarileo

Mdunguaji avamia Tarime na kuua

JESHI la Polisi limeanzisha operesheni maalumu ya kumsaka mtu anayedaiwa kuwa jambazi, ambaye anaendelea kufanya mauaji wilayani Tarime.

 

11 years ago

Tanzania Daima

DC avamia mkutano, amtusi mbunge

MKUU wa Wilaya ya Kibondo mkoani Kigoma, Venance Mwamoto, amevamia jukwaa la mkutano wa NCCR-Mageuzi na kisha kumtolea lugha ya matusi Mbunge wa Muhambwe, Felix Mkosamali. Mwamoto alijikaribisha kwenye mkutano...

 

11 years ago

GPL

MTITU AVAMIA KIBAO KATA

Stori: Hamida Hassan MUIGIZAJI na Mkurugenzi wa Kampuni ya Five Effect, William Mtitu amewashangaza watu baada ya kuibuka katika sherehe ya wanawake maarufu kama kibao kata cha Vanita Omary. Muigizaji na Mkurugenzi wa Kampuni ya Five Effect, William Mtitu.
Ishu hiyo ilitokea mwishoni mwa wiki iliyopita katika Ukumbi wa PG, Kinondoni jijini Dar ambapo mke wa staa huyo alikuwa miongoni mwa waalikwa lakini cha kushangaza Mtitu...

 

11 years ago

Michuzi

ankal avamia BBC London

 Ankal akiwa na Mkuu wa Idhaa ya Kiswahili ya BBC Bw. Ali Saleh alipovamia kituo hicho kuwataka hali wadau. Ankal alifarijika na kufurahi mno kukuta kumbe bosi huyu ni Bwawa la Maini damu kama yeye. Ila alimkuta hana furaha sana  kwa kuwa vijana wa Liverpool wameharibu plani ya kocha Brendan ya kubaki katika nne bora tu mwaka huu ili kucheza Europe Cup na sio kuchukua ubingwa mwaka huu. Maana inavyoelekea kombe linaenda Anfield, ambapo Ali Saleh anasema ah! tukishinda hatutolikataa ila sie...

 

11 years ago

GPL

DIANA KIMARO AVAMIA SHISHA ZA WATEJA

Diana Kimaro. NI wikiendi nyingine, mapaparaz wetu Musa Mateja ‘Toz’,  Denis Mtima ‘Paroko’, Chande Abdallah ‘Mjeda’, Dustan Shekidele ‘Mzee wa mji kasoro Bahari na Mpiga picha Mkuu Richard Bukosi walijiachia viwanja mbalimbali kusaka matukio huku wakiwasiliana ‘laivu’ na mkuu wao, Oscar Ndauka ‘Os Anjelus’ aliyekuwa makao makuu ya ofisi za gazeti hili,...

 

10 years ago

Habarileo

‘Mke’ wa mbunge avamia kikao na mtoto mlemavu

ANAYEDAIWA aliyewahi kuwa mke wa mbunge wa jimbo la Dimani Zanzibar, Abdallah Sharia Ameir (CCM), Hawa Deus, jana alivamia kikao cha Kamati ya Bunge ya Katiba, Sheria na Utawala akiwa amesindikizwa na kundi la watu ambao mmojawao alikuwa amembeba mtoto wa mbunge huyo mwenye ulemavu, huku wakipiga kelele na kuwaacha wabunge na viongozi wa dini waliokuwepo kupigwa na butwaa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani