Mwanafunzi darasa la nne ajinyonga chumbani
Na Asifiwe George, Dar es Salaam
MWANAFUNZI wa darasa la nne katika Shule ya Msingi Pugu jijini Dar es Salaam, Festo Filbert (11) amekutwa chumbani kwake akiwa amejinyonga hadi kufa kwa kutumia mkanda wa kuvalia nguo.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Ilala, Mary Nzuki alisema tukio hilo lilitokea jana katika eneo la Majohe kwa Ngozoma.
Alisema sababu za kujinyonga mwanafunzi huyo bado hazijafahamika kwani hakuacha ujumbe wowote.
“Mtoto huyu alikutwa chumbani kwake anakolala akiwa peke...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Tanzania Daima30 Sep
Mwanafunzi darasa la tatu ajinyonga
MWANAFUNZI wa darasa la tatu shule ya Msingi Mnomo, Kata ya Msangamkuu, Wilaya ya Mtwara Vijijini, Ahmadi Mtuna (10), amefariki dunia baada ya kujinyonga na kamba ya manira katika kenchi...
11 years ago
MichuziMWANAFUNZI DARASA LA NNE AKATWA MAPANGA NA MFANYAKAZI WA NYUMBANI
![](http://4.bp.blogspot.com/-_MM7tpmIl2E/U6QJ4FTFCtI/AAAAAAAFr7Q/WGL50Sp5Yuo/s1600/Mama+mzazi+akiwa+na+Mwanafunzi+wa+darasa+la+nne+wa+shule+ya+msingi+Motomoto+kata+ya+Vumilia+wilayani+Urambo+aliyekatwakatwa+mapanga+na+mfanyakazi+wa+nyumbani+kwa+madai+ya+kunyimwa+hela+na+baba+mzazi+wa+mtoto+hu.jpg)
MTOTO Perezi Christian (12) ambaye ni mwanafunzi wa darasa la nne
katika shule ya msingi Motomoto iliyoko katika kata ya Vumilia wilaya
ya Urambo mkoani Tabora amekatwakatwa mapanga mikononi na miguuni na mfanyakazi wa...
11 years ago
CloudsFM04 Jul
POLISI AMRUBUNI MWANAFUNZI KUFANYA NAYE MPENZI,AMWACHA CHUMBANI KWAKE,NYUMBA YAKE YAUNGUA MOTO,MWANAFUNZI AFARIKI DUNIA
Wananchi wa Mlangali, Ludewa wakiwa wamekizingira kituo cha polisi Mlangali mara baada ya kuipeleka maiti ya mtoto aliyeteketea kwa moto katika kituo hicho.
KIONGOZI wa mbio za mwenge Kitaifa awatuliza wananchi wa Mlangali wilaya ya Ludewa ambao baadhi yao waliandamana kituo cha polisi kushinikiza kutolewa kwa askari polisi aliyedaiwa kusababisha kifo cha mtoto ili auwawe.
Kiongozi huyo aliwaomba wananchi wa Mlangali kutokubali kujihusisha na vitendo vya uvunjifu wa amani ikiwa ni pamoja na...
11 years ago
Habarileo24 Jan
Ajinyonga chumbani kwake
MKAZI mmoja wa Ukonga aliyetambulika kwa jina la Justine Tumbeza (43) amekutwa chumbani kwake amejinyonga.
11 years ago
Tanzania Daima01 Jun
Mwanafunzi UDSM akutwa amekufa chumbani kwake
WATU wawili wamefariki dunia katika matukio tofauti jijini Dares Salaam akiwemo mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) Sekabenga Mwakimenya (22) kukutwa amekufa chumbani kwake. Kamanda wa Polisi...
10 years ago
Mwananchi18 Sep
Mwanafunzi ajinyonga hospitalini
11 years ago
Habarileo14 May
Mwanafunzi sekondari ajinyonga sebuleni
MWANAFUNZI wa kidato cha pili shule ya sekondari ya Mount Igovu, Jimmy Cliff (16) amekutwa amejinyonga katika sebule yao.
10 years ago
Habarileo17 Nov
Mwanafunzi ajinyonga kwa kuzuiwa kuuza ng’ombe
MWANAFUNZI wa kidato cha pili katika Shule ya Sekondari Nyandoto wilayani hapa, Peter Mwikwabe (19) amejinyonga kwa kutumia kamba hadi kufa, ikielezwa alikasirishwa na kitendo cha kuzuiwa kuuza ng’ombe wa baba yake.