Mwanafunzi ajinyonga kwa kuzuiwa kuuza ng’ombe
MWANAFUNZI wa kidato cha pili katika Shule ya Sekondari Nyandoto wilayani hapa, Peter Mwikwabe (19) amejinyonga kwa kutumia kamba hadi kufa, ikielezwa alikasirishwa na kitendo cha kuzuiwa kuuza ng’ombe wa baba yake.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi10 Aug
Mjane aliyeinuka kimaisha kwa kuuza ng’ombe wa urithi
10 years ago
Mwananchi18 Sep
Mwanafunzi ajinyonga hospitalini
10 years ago
Tanzania Daima30 Sep
Mwanafunzi darasa la tatu ajinyonga
MWANAFUNZI wa darasa la tatu shule ya Msingi Mnomo, Kata ya Msangamkuu, Wilaya ya Mtwara Vijijini, Ahmadi Mtuna (10), amefariki dunia baada ya kujinyonga na kamba ya manira katika kenchi...
11 years ago
Habarileo14 May
Mwanafunzi sekondari ajinyonga sebuleni
MWANAFUNZI wa kidato cha pili shule ya sekondari ya Mount Igovu, Jimmy Cliff (16) amekutwa amejinyonga katika sebule yao.
10 years ago
Mtanzania21 Apr
Mwanafunzi darasa la nne ajinyonga chumbani
Na Asifiwe George, Dar es Salaam
MWANAFUNZI wa darasa la nne katika Shule ya Msingi Pugu jijini Dar es Salaam, Festo Filbert (11) amekutwa chumbani kwake akiwa amejinyonga hadi kufa kwa kutumia mkanda wa kuvalia nguo.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Ilala, Mary Nzuki alisema tukio hilo lilitokea jana katika eneo la Majohe kwa Ngozoma.
Alisema sababu za kujinyonga mwanafunzi huyo bado hazijafahamika kwani hakuacha ujumbe wowote.
“Mtoto huyu alikutwa chumbani kwake anakolala akiwa peke...
11 years ago
Habarileo06 Jul
Mkokoteni wa ng'ombe waua mwanafunzi
MWANAFUNZI wa darasa la kwanza wa shule ya msingi Galanzala wilayani Iramba, amekufa papo hapo baada ya kugongwa na mkokoteni wa kuvutwa na ng'ombe, uliokuwa ukiongoza na baba yake mlezi.
10 years ago
Habarileo11 Feb
Ajinyonga hadi kufa kwa gauni la mkewe kwa wivu
MKAZI wa kijiji cha Nyakabanga kata ya Butelankuzi, Bukoba vijijini, Eliud Charles (30) anadaiwa kujinyonga hadi kufa kwa kutumia gauni la mkewe, Velidiana Eliud kutokana na wivu wa mapenzi.
11 years ago
Michuzi30 Apr
NEWS ALERT: MTU MMOJA AJINYONGA KWA RAFIKI YAKE KWA KUTUMIA KANGA
KIJANA Victor Wilfred (29) mkazi wa Keko jijini Dar es Salaam amekufa kwa kujinyonga kwa kutumia kanga aliyoifunga kwenye dirisha la chumba cha rafiki yake.
Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo kamanda wa Polisi mkoani Pwani Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi SACP Ulrich Matei alisema kuwa marehemu alifika kwa rafiki yake hapa Kibaha kwa lengo la kutafutiwa kazi.
Kamanda Matei amesema kuwa tukio hilo lilitokea leo Aprili 30 mwaka huu majira ya saa 5...