Mwanafunzi sekondari ajinyonga sebuleni
MWANAFUNZI wa kidato cha pili shule ya sekondari ya Mount Igovu, Jimmy Cliff (16) amekutwa amejinyonga katika sebule yao.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi18 Sep
Mwanafunzi ajinyonga hospitalini
10 years ago
Tanzania Daima30 Sep
Mwanafunzi darasa la tatu ajinyonga
MWANAFUNZI wa darasa la tatu shule ya Msingi Mnomo, Kata ya Msangamkuu, Wilaya ya Mtwara Vijijini, Ahmadi Mtuna (10), amefariki dunia baada ya kujinyonga na kamba ya manira katika kenchi...
10 years ago
Mtanzania21 Apr
Mwanafunzi darasa la nne ajinyonga chumbani
Na Asifiwe George, Dar es Salaam
MWANAFUNZI wa darasa la nne katika Shule ya Msingi Pugu jijini Dar es Salaam, Festo Filbert (11) amekutwa chumbani kwake akiwa amejinyonga hadi kufa kwa kutumia mkanda wa kuvalia nguo.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Ilala, Mary Nzuki alisema tukio hilo lilitokea jana katika eneo la Majohe kwa Ngozoma.
Alisema sababu za kujinyonga mwanafunzi huyo bado hazijafahamika kwani hakuacha ujumbe wowote.
“Mtoto huyu alikutwa chumbani kwake anakolala akiwa peke...
10 years ago
Habarileo17 Nov
Mwanafunzi ajinyonga kwa kuzuiwa kuuza ng’ombe
MWANAFUNZI wa kidato cha pili katika Shule ya Sekondari Nyandoto wilayani hapa, Peter Mwikwabe (19) amejinyonga kwa kutumia kamba hadi kufa, ikielezwa alikasirishwa na kitendo cha kuzuiwa kuuza ng’ombe wa baba yake.
9 years ago
StarTV16 Nov
 Mwanafunzi Shule ya Sekondari Idodi Iringa afariki dunia
Mwanafunzi wa kidato cha nne katika shule ya sekondari Idodi mkoani Iringa amefariki dunia baada ya kupigwa na radi wakati akicheza mpira uwanjani na wanafunzi wenzake.
Radi hiyo pia imejeruhi wanafunzi wengine saba na mwanamke mmoja mkazi wa kijiji cha Idodi aliyekuwa anaokota kuni jirani na uwanja huo kabla mvua iliyoambatana na radi haijaanza kunyesha.
Tukio hilo la Ijumaa ni la pili kwa kipindi cha siku mbili ambapo siku moja kabla, mkazi wa kijiji cha Kibena Iringa vijijini akiwa...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/ojSCGs3jvX3grlTKrC2n-STKNBYvdTMrzkReIOOCdGB8JZffj2X3FAKLf0mNjb5ktloFCgO32*KuIumvv9UZ*qc0K1HuRm5k/1MAREHEMUANNA2.jpg?width=650)
MWILI WA MWANAFUNZI ANASTAZIA LACKFORD ANAYEDAIWA KUUNGUZWA NA KUPEWA SUMU NA BABA YAKE ULIVYOAGWA SHULENI KWAO MWANZA SEKONDARI
11 years ago
Mwananchi11 Jan
Wasanii Bongo Fleva na shoo za sebuleni Ulaya
11 years ago
CloudsFM04 Jul
POLISI AMRUBUNI MWANAFUNZI KUFANYA NAYE MPENZI,AMWACHA CHUMBANI KWAKE,NYUMBA YAKE YAUNGUA MOTO,MWANAFUNZI AFARIKI DUNIA
Wananchi wa Mlangali, Ludewa wakiwa wamekizingira kituo cha polisi Mlangali mara baada ya kuipeleka maiti ya mtoto aliyeteketea kwa moto katika kituo hicho.
KIONGOZI wa mbio za mwenge Kitaifa awatuliza wananchi wa Mlangali wilaya ya Ludewa ambao baadhi yao waliandamana kituo cha polisi kushinikiza kutolewa kwa askari polisi aliyedaiwa kusababisha kifo cha mtoto ili auwawe.
Kiongozi huyo aliwaomba wananchi wa Mlangali kutokubali kujihusisha na vitendo vya uvunjifu wa amani ikiwa ni pamoja na...