Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mwanafunzi darasa la tatu ajinyonga

MWANAFUNZI wa darasa la tatu shule ya Msingi Mnomo, Kata ya Msangamkuu, Wilaya ya Mtwara Vijijini, Ahmadi Mtuna (10), amefariki dunia baada ya kujinyonga na kamba ya manira katika kenchi...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mtanzania

Mwanafunzi darasa la nne ajinyonga chumbani

Na Asifiwe George, Dar es Salaam

MWANAFUNZI wa darasa la nne katika Shule ya Msingi Pugu jijini Dar es Salaam, Festo Filbert (11) amekutwa chumbani kwake akiwa amejinyonga hadi kufa kwa kutumia mkanda wa kuvalia nguo.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Ilala, Mary Nzuki alisema tukio hilo lilitokea jana katika eneo la Majohe kwa Ngozoma.
Alisema sababu za kujinyonga mwanafunzi huyo bado hazijafahamika kwani hakuacha ujumbe wowote.
“Mtoto huyu alikutwa chumbani kwake anakolala akiwa peke...

 

10 years ago

Mwananchi

Mwanafunzi ajinyonga hospitalini

Mwanafunzi wa kidato cha tano katika Sekondari ya Ihungo mkoani Kagera, Ezra Gerald (20) amejinyonga kwa shuka hadi kufa akiwa katika Hospitali ya Mkoa wa Kagera, huku akiacha ujumbe kuwa alilazwa bila kupimwa.

 

11 years ago

Habarileo

Mwanafunzi sekondari ajinyonga sebuleni

MWANAFUNZI wa kidato cha pili shule ya sekondari ya Mount Igovu, Jimmy Cliff (16) amekutwa amejinyonga katika sebule yao.

 

10 years ago

Habarileo

Mwanafunzi ajinyonga kwa kuzuiwa kuuza ng’ombe

Kamanda wa Kanda Maalumu ya Kipolisi ya Tarime/Rorya, Lazaro MambosasaMWANAFUNZI wa kidato cha pili katika Shule ya Sekondari Nyandoto wilayani hapa, Peter Mwikwabe (19) amejinyonga kwa kutumia kamba hadi kufa, ikielezwa alikasirishwa na kitendo cha kuzuiwa kuuza ng’ombe wa baba yake.

 

10 years ago

Vijimambo

Mwanafunzi aliyefunika hisabati darasa la 7

Mwanafunzi bora wa somo la Hisabati katika mitihani ya taifa ya darasa la saba iliyofanyika nchini Septemba mwaka huu, Rachel Kiunsi (13).
Mwanafunzi bora wa somo la Hisabati katika mitihani ya taifa ya darasa la saba iliyofanyika nchini Septemba mwaka huu, Rachel Kiunsi (13), ameeleza siri ya mafanikio yake kuwa ni kujituma katika masomo na kuwaheshimu walimu.

Akizungumza na NIPASHE kwa njia ya simu jana kutoka mkoani Singida, Rachel ambaye alikuwa anasoma shule ya msingi Kimara 'B', jijini...

 

10 years ago

Mwananchi

Mwanafunzi wa darasa la sita aozeshwa

Mwanafunzi wa darasa la sita katika Shule ya Msingi Kigezi iliyoko Chanika, wilayani Ilala, Dar es Salaam (jina linahifadhiwa), ameolewa na mkazi wa Mbondole, Halfa Ally (54) ambaye humfungia ndani ili wakazi wa eneo hilo wasimuone.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Mwanafunzi wa darasa la tano atoweka nyumbani

MTOTO, Valentina Ngoya (14), Mkazi wa Songambele, Mererani mkoani Manyara anatafutwa na wazazi wake baada ya kuondoka nyumbani kwao tangu Novemba 3 mwaka huu akienda shule. Akizungumza na Tanzania Daima...

 

11 years ago

Michuzi

MWANAFUNZI DARASA LA NNE AKATWA MAPANGA NA MFANYAKAZI WA NYUMBANI

  Mama mzazi akiwa na Mwanafunzi wa darasa la nne wa shule ya msingi Motomoto kata ya Vumilia wilayani Urambo aliyekatwakatwa mapanga na mfanyakazi wa nyumbani kwa madai ya kunyimwa hela na baba mzazi wa mtoto hu ========  =======  ======= Na Allan Ntana, Urambo
MTOTO Perezi Christian (12) ambaye ni mwanafunzi wa darasa la nne
katika shule ya msingi Motomoto iliyoko katika kata ya Vumilia wilaya
ya Urambo mkoani Tabora amekatwakatwa  mapanga mikononi na miguuni na   mfanyakazi wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani