Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mwanahabari aporwa mbele ya kamera

Mwanahabari maarufu wa runinga kutoka Afrika Kusini ameibiwa hadharani alipokuwa akijiandaa kwenda hewani mbele ya kamera.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Bongo5

Juventus na Monaco mbele kwa mbele UEFA, Barca na Dortmund nje

Timu za Juventus na Monaco zimefanikiwa kufuzu katika hatua ya nusu fainali ya kombe la klabu bingwa barani Ulaya (Uefa) usiku wa Jumatano huku zikiungana na Real Madrid na Atletico Madrid ambazo zilifuzu katika hatua hiyo siku ya Jumanne.

Juventus imefanikiwa kuingia katika hatua hiyo kwa kuitoa Barcelona ya Hispania kwa jumla ya mabao 3-0 ambayo walishinda katika mchezo wao wa kwanza wiki iliyopita huku katika mchezo wa jana wakitoka sare ya 0-0.

Nao Monaco wametinga hatua hiyo kwa...

 

9 years ago

Dewji Blog

Simba SC yatakata Mkoani Tanga, Mbeya City taabani, Azam Fc mbele kwa mbele!!

SIMBaaaaaKikosi cha Simba SC kilichoifunga 1-0 African Sports leo Uwanja wa Mkwakwani, Tanga (Picha kwa hisani ya mtandao wa http://www.binzubeiry.co.tz

Mabingwa wa zamani wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Simba leo wamevunja mwiko wa kutoshinda kwenye Uwanja wa Mkwakwani Tanga baada ya kuigaragaza African Sports kwa bao 1-0.

Simba leo iliingia katika mchezo huo ikiwa na presha baada ya kutoshinda mchezo wowote kwenye uwanja huo kwa miaka mitatu mfulilizo. Bao la Simba katika mchezo huo limefungwa na...

 

9 years ago

GPL

SHABIB: CCM GAIRO MBELE KWA MBELE

Mgombea Ubunge wa jimbo la Gairo kwa tiketi ya CCM, Ahmed Shabiby. “Nimeamua kugombea tena ubunge kwa sababu najua wananchi wa Gairo wananihitaji, mafanikio makubwa niliyowaletea katika kipindi chote nilichokuwa mbunge yamewafurahisha na wanaamini kwamba mimi ndiye mkombozi wao. “Kwa kipindi chote nilichokuwa madarakani nimeshafanya mambo mengi ya kuwasaidia wananchi na wao ni mashahidi wa hilo ndiyo maana...

 

10 years ago

Mwananchi

Mbowe: Ukawa sasa ni mbele kwa mbele

Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amesema Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), kamwe hautarudi nyuma katika makubaliano yaliyofikiwa juzi, likiwamo la kusimamisha mgombea mmoja katika nafasi mbalimbali za uongozi.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mfanyabiashara aporwa laki 8/- Ngara

p>KUNDI la watu wanaosadikiwa kuwa majambazi limemvamia mfanyabiashara katika Kijiji cha Rulenge wilayani Ngara mkoani Kagera na kumpora fedha kiasi cha shilingi laki nane. Tukio hilo limetokea Alhamisi iliyopita majira...

 

10 years ago

Habarileo

Fundi saa auawa, aporwa

Kamanda wa Polisi mkoa Kigoma, Jafari MohamedWATU wasiojulikana wamemuua kwa kumchoma kwa kitu chenye ncha kali fundi saa mkazi wa Nazareth manispaa ya Kigoma Ujiji Shadrack Bomboko maarufu kwa jina la Maneno.

 

11 years ago

Mwananchi

Mfanyabiashara aporwa Sh8 milioni

Mfanyabiashara wa duka la kubadilisha fedha mjini Tunduma, Alphonce Mwanjela (36) ameporwa Sh5.2 milioni muda mfupi baada ya kufunga duka lake na kuanza safari ya kurejea nyumbani.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Mwalimu aporwa mamilioni, mwenzake abakwa

WATU wanaodaiwa kuwa ni majambazi wamemvamia na kumteka mwalimu mmoja na kumpora zaidi ya sh milioni 20 na kisha kumbaka mwingine katika Kijiji cha Nassa Ginnery, Busega mkoani Simiyu. Kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani