Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mwanamke aliyekana dini kuanza kampeni

Mwanamke wa Sudan aliyehukumiwa kifo kwa kuikana dini ya kiislamu ameonekana hadharani nchini Marekani.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Mwanamke aliyeasi dini achiliwa tena

Mwanamke wa Sudan aliyehukumiwa kifo kwa madai ya kuasi dini ya kiislam ameachiliwa huru baada ya kushikiliwa kwa mara ya pili.

 

11 years ago

BBCSwahili

Mwanamke aliyebadili dini apata utetezi

Afisa mwandamizi katika wizara ya maswala ya kigeni nchini Sudan amesema kuwa mwanamke aliyepewa hukumu ya kifo kuwachiliwa huru.

 

11 years ago

BBCSwahili

Mwanamke aliyeasi dini 'ameghushi' hati

Mwanasheria wa mwanamke wa Sudan aliyeasi dini ya Kiislam , amesema mteja wake anatuhumiwa kwa kughushi nyaraka za safari.

 

11 years ago

CloudsFM

Mwanamke aliyeasi dini akamatwa tena

Taarifa kutoka nchini Sudan zinasema kuwa mwanamke aliyeachiliwa hapo jana kwa kosa la kuasi dini amekamatwa tena.
Mwanamke huyo Meriam Ibrahim, alikuwa amehukumiwa kifo kwa kosa la kuolewa na mwanamume mkristo na kukana dini ya kiisilamu alikamatwa akiwa na familia yake katika uwanja wa ndege mjini Khartoum.

Watu waliomkata walikuwa wamevalia mavazi ya kiraia ingawa wanaaminika kuwa wanajeshi wa serikali.
Duru zinasema kuwa Meriam Ibrahim aliyejifungulia jela alikuwa anajiandaa kuondoka...

 

11 years ago

BBCSwahili

Mwanamke 'aliyeasi dini' awasili Marekani

Mwanamke wa Sudan aliyetoroka kutoka nchini humo baada ya kunusurika hukumu ya kifo kwa kosa la ‘kuasi dini ya kiislamu’,Meriam Yahia Ibrahim Ishag, amewasili Marekani.

 

11 years ago

BBCSwahili

Mwanamke kunyongwa kwa kuasi dini Sudan

Mahakama nchini Sudan imemhukumu kifo mwanamke mmoja anayedaiwa kubadili dini yake na kuolewa na mwanamume mkristo.

 

11 years ago

GPL

MWANAMKE AHUKUMIWA KIFO, KUCHAPWA MIJELEDI 100 KWA KUBADILI DINI SUDAN

MAHAKAMA nchini Sudan imemhukumu kifo mwanamke mmoja anayedaiwa kubadili dini yake na kuolewa na mwanamume mkristo. Daktari Mariam Yahya Ibrahim Ishag, ambaye babake ni muislamu alishitakiwa kwa kosa la kuasi dini pamoja na kufanya zinaa kwa kuolewa na mwanamume mkristo, kitu ambacho dini ya kiisilamu imeharamisha kwa wanawake. Mariam mwenye umri wa miaka 27 ambaye ni mjamzito pia atapata adhabu ya mijeledi 100 kwa kosa la zinaa....

 

10 years ago

Michuzi

KAMPENI YA MWANAMKE NA UCHUMI YAZINDULIWA MKOA WA PWANI

Mkurugenzi wa Kampuni ya Angels Moment, Naima Malima akizungumza wakati wa ufunguzi wa Kampeni ya Mwanamke na Uchumi uliofanyika Mkuranga mkoani Pwani. Kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Mkuranga,  Abdallah Kihato na Mkurugenzi wa Mwang'amba Communication, James Mwang'amba. (Picha na John Dande)Mkuu wa  Wilaya ya Mkuranga,  Abdallah Kihato akizungumza wakati wa ufunguzi wa Kampeni ya Mwanamke na Uchumi lililofanyika Mkuranga mkoani Pwani. Mkurugenzi wa Mwang'amba Communication, James Mwang'amba...

 

10 years ago

Michuzi

KAMPENI YA MWANAMKE NA UCHUMI SASA KUHAMIA TANGA

 Mkurugenzi wa Angels Moments inayoendesha Kampeni ya Mwanamke na Uchumi, Naima Malima akitoa hotuba ya ufunguzi wa kampeni hiyo iliyofanyika mkoani mwanza hivi karibuni. Kampeni hiyo yenye lengo la kuwawezesha kiuchumi wanawake wajasiriamali ambapo kampeni hiyo itafanyika mkoani Tanga Mwezi Oktoba. Picha na Angels Moments. Mshairi maarufu bibi sauda akitoa burudani ya mashairi yake adhimu kwa lugha ya kufurahisha na burudani kwa wanawake wajasiliamali katika kampeni ya mwanamke na uchumi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani