Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mwanamke jela kwa kufadhili Isis

Mwanamke mmoja nchini Uingereza aliyeshitakiwa kwa kumfadhili mumewe aliyejiunga na vita nchini Syria, amefungwa jela miaka 2

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Mwanamke jela kwa kushambulia polisi

MWANAMKE mmoja amehukumiwa na mahakama ya wilaya ya Musoma, mkoani Mara, kutumikia kifungo cha miaka mitano na miezi sita jela, baada ya kupatikana na makosa ya kutoa matusi na kushambulia askari polisi wawili waliokuwa wanataka kumkamata.

 

11 years ago

Habarileo

Mwanamke aliyetapeli kwa Airtel Money jela miezi 6

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Nzega mkoani Tabora, imemhukumu mkazi wa hapa kwenda jela miezi sita, kwa kosa la utapeli wa fedha kwa njia ya mtandao wa Airtel Money kwa mawakala mbalimbali wilayani humo.

 

5 years ago

BBCSwahili

Mwanamke wa Indonesia anusurika kifungo jela kwa kuingiza mbwa msikitini

Kanda ya video ya mwanamke huyo mwenye akili punguani akiingia msikitini nchini Indonesia ilisambaa sana mwaka uliopita

 

9 years ago

Global Publishers

Mwanamke wa unga jela miaka 20

madawaAnna Gemanist Mboya.

Na Makongoro Oging’
Mrembo wa madawa ya kulevya ‘unga’, Anna Gemanist Mboya mkazi wa Kijitonyama, Kinondoni jijini Dar amefungwa jela miaka 20 na kupigwa faini ya shilingi milioni 148, fedha anazotakiwa kuzilipa mara atakapomaliza kifungo.

Mrembo huyo ambaye ni mfanyabiashara, amefungwa Desemba, Mosi, mwaka huu mbele ya Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Wilfrida Koroso kwa kosa la kusafirisha madawa ya kulevya.

Kamanda wa Kikosi cha Kupambana na Kudhibiti Madawa ya...

 

10 years ago

Michuzi

Vodacom yaadhimisha wiki ya huduma kwa wateja kwa kufadhili mradi wa ufugaji kuku

"Mhisani anayekusaidia kujijengea uwezo wa kujitegemea ni muhimu sana kuliko Yule anayekupatia msaada kila siku bila kukujengea uwezo wa kusimama mwenyewe na kujitegemea”anasema Bw.Omar Abdul Kyaruzi Katibu wa kituo cha kulelea watoto yatima cha Mwandaliwa kilichopo eneo la Boko wilayani Kinondoni mkoani Dar es Salaam kutokana na kampuni ya mawasiliano ya Vodacom Tanzania kusaidia kituo hicho kujenga banda la kisasa kwa ajili ya kuanzisha mradi wa ufugaji wa kuku.
Mbali na kufadhili...

 

11 years ago

Habarileo

Mwanamke aliyemtesa mtoto atupwa jela miaka 3

MWANAMKE mkazi wa Kata ya Iyela jijini hapa, Mwanahawa Nassoro (32) amehukumiwa kutumikia kifungo cha miaka mitatu jela baada ya kupatikana na hatia ya kunyanyasa na kumtesa mtoto. Mwanamke huyo alipandishwa katika Mahakama ya Mwanzo ya Mbeya mjini jana, akikabiliwa na shitaka la kumtesa mtoto, John Paul (3) ambaye ni mtoto wa kaka yake.

 

9 years ago

BBCSwahili

IOC kufadhili michezo kwa wakimbizi

Shirikisho la michezo ya olimpiki IOC limetenga hazina ya dola milioni mbili kufadhili miradi mbali mbali na michezo kwa wakimbizi

 

10 years ago

Tanzania Daima

SBL kufadhili wanavyuo kwa 100%

KAMPUNI ya Bia ya Serengeti (SBL), kupitia mradi wa EABL Foundation, mwaka huu tena imetoa ufadhili wa masomo ya chuo kikuu kwa kugharamia kwa asilimia 100 ikiwemo karo, malazi na...

 

9 years ago

Michuzi

MGODI WA DHAHABU, BULYANHULU WATUMIA NUSU BILIONI KWA MWAKA KUFADHILI VIJANA MAFUNZO YA IMTT

 Meneja Ufanisi wa Mgodi wa Dhahabu wa Bulyanhulu, BGML, unaomilikiwa na Kampuni ya Acacia, Elias Kasikila, (kushoto), akiagana na baadhi ya vijana wanaokwenda kuhudhuria mafunzo ya ufundi chini ya mpango wa IMTT unafadhiliwa na mgodi huo, wakati wa hafla ya kuwaaga iliyofanyika mwishoni mwa wiki kwenye eneo la mgodi, huko Msalala mmoani Shinyanga. Mgodi huo umetuamia kiasi cha zaidi ya  nusu bilioni kila mwaka kufadhili mpango huo
Na K-VIS MEDIAMGODI wa dhahabu wa Bulyanhulu, BGML,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani