Mwanamke wa Tanga akutwa na bangi Zanzibar
MWANAMKE aliyetambuliwa kwa jina la Mwanaisha Is-haqa Ayoub (40) mkazi wa Tanga anashikiliwa na polisi baada ya kukamatwa na mafurushi 22 ya majani makavu yanayosadikiwa kuwa ni bangi akitoka Tanga.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima01 Jan
Mwanamke akutwa amekufa gesti
WATU watatu wamefariki dunia jijini Dar es Salaam juzi katika matukio matatu tofauti, akiwemo mwanamke asiyefahamika jina anayekadiriwa kuwa na miaka 25-30 aliyekutwa amefariki katika nyumba ya kulala wageni huku...
9 years ago
GPLMWANAMKE AKUTWA NDANI KWA MTU
10 years ago
MichuziKAMPENI YA MWANAMKE NA UCHUMI SASA KUHAMIA TANGA
5 years ago
CCM BlogMWANAMKE WA KWANZA AJITOKEZA KUGOMBEA URAIS ZANZIBAR
Kada wa Chama cha Mapinduzi Mhe. Mwatum Mussa Sultan akiwa Mwanamke wa Kwanza kuchukua Fomu ya Kugombea Urais wa Zanzibar akiwa ni Mwanachama wa 11 kujitokeza kuchukua Fomu leo katika Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar. Akionesha mkoba ukiwa na Fomu za Kugombea Urais wa Zanzibar baada ya kukabidhiwa akiwaonesha Waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali waliohudhuria hafla hiyo leo. Katibu wa Idara ya Oganizesheni ya CCM Zanzibar Ndg. Galos Nyimbo akimkabidhi Fomu za kugombea Urais wa...
10 years ago
Dewji Blog20 Mar
Mama wa mitindo Asia Idarous kupamba siku ya Mwanamke Duniani Zanzibar Machi 22
..burudani kutolewa na Baby J, Coconut na Zanzibar One Modern taarab
Na Andrew Chale wa Modewji blog
Machi 22 mwaka huu Kisiwa cha Unguja, Zanzibar kinatarajiwa kuwa na tukio moja kubwa litakalowakutanisha Wanawake mbalimbali na kusheherekea siku ya Mwanamke Dunia, ndani ya ukumbi wa Bwawani Hoteli.
Katika tukio hilo, linatarajiwa kuwa pia na shamra shamra ikiwemo za mitindo ya mavazi kutoka kwa gwiji wa mitindo Nchini, Mama Asia Idarous Khamsin atakaye onesha mavazi mbalimbali siku hiyo ...
10 years ago
Michuzi20 Mar
MAMA WA MITINDO ASIA IDAROUS KUPAMB SIKU YA MWANAMKE DUNIANI ZANZIBAR MACHI 22
Katika tukio hilo, linatarajiwa kuwa pia na shamra shamra ikiwemo za mitindo ya mavazi kutoka kwa gwiji wa mitindo Nchini, Mama Asia Idarous Khamsin atakaye onesha mavazi mbalimbali siku hiyo akiwa sambamba na ...
5 years ago
MichuziTAARIFA KUHUSU WAGONJWA WAWILI WA CORONA WA ZANZIBAR WALIOTOKEA MKOANI TANGA.
Mmoja, ni mwanaume mwenye umri wa miaka 33 aliyeingia Zanzibar tarehe 18 March kupitia bandari ya Mkokotoni amethibitika kuwa ni mwalimu wa Shule ya Sekondari Bushiri kutoka Wilaya ya Pangani. Wa...
11 years ago
GPLMWANAMKE ALIYEMKWAPULIA 20,000/= MWANAMKE MWENZAKE ‘ATAITIWA’ DAR
11 years ago
GPLTUZO YA MWANAMKE BORA, HESHIMA YA KWELI YA MWANAMKE, PINDA NI MSOMI WA UWAZI