Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TAARIFA KUHUSU WAGONJWA WAWILI WA CORONA WA ZANZIBAR WALIOTOKEA MKOANI TANGA.

Jana baada ya taarifa rasmi ya Waziri wa Afya wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar - Mhe Hamad Rashid Mohamed kuelezea kuwa wamepata wagonjwa wawili wa Corona wote wakitokea Tanga, tayari Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Tanga na vyombo vya usalama vimefanya jitihada za ziada kuweza kuwabaini wagonjwa hao. 
Mmoja, ni mwanaume mwenye umri wa miaka 33 aliyeingia Zanzibar tarehe 18 March kupitia bandari ya Mkokotoni amethibitika kuwa ni mwalimu wa Shule ya Sekondari Bushiri kutoka Wilaya ya Pangani. Wa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Wagonjwa 23 wa corona wathibitishwa Zanzibar, wawili wafariki

Serikali ya Zanzibar imethibitisha kuwepo kwa wagonjwa wapya 23 wa virusi vya corona na vifo vya watu wawili.

 

5 years ago

Michuzi

DAR YABAKI NA WAGONJWA WAWILI WA CORONA


Na Leandra Gabriel, Michuzi TV

WAZIRI wa afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu amesema kuwa hadi sasa Mkoa wa Dar es Salaam umesalia na wagonjwa wawili pekee wa virusi vya Corona (COVID-19) waliopo katika hospitali za umma na binafsi na kueleza kuwa hali hiyo imepelekea kurejeshwa kwa huduma katika hospitali ya Amana pamoja na kituo cha Mloganzila.

Akizungumza leo jijini Dar  es Salaam wakati akifungua kituo cha kitaifa cha Afya Mtandao cha Wizara ya Afya kilichopo...

 

5 years ago

CCM Blog

WAZIRI MKUU MAJALIWA: WAGONJWA WAWILI WA CORONA WAONGEZEKA

  WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema jana (5 Aprili, 2020) wagonjwa wawili wa corona wameongezeka, hivyo Tanzania ina jumla ya watu 22 waliothibitishwa kuwa na homa kali ya mapafu inayosababishwa na virusi vya corona (COVID-19) na kwamba wote wanaendelea vizuri.
Hata hivyo, Waziri Mkuu amewaagiza Wakuu wa Mikoa waimarishe ulinzi kwenye vituo vyote vilivyotengwa kwa ajili ya kuwaweka watu wote wanaoingia nchini na wahakikishe hakuna anayetoka ili kuepuka kusambaa kwa virusi vya corona.
Waziri...

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona:Wagonjwa wapya 15 wa corona waripotiwa Zanzibar

Wizara ya Afya kisiwani Zanzibar imethibitisha kuwa na ongezeko la wagonjwa wapya 15 wa virusi vya corona na kufikia wagonjwa 98 waliothibitika kuambukizwa visiwani humo kutoka wagonjwa 83 ambao walitolewa taarifa tarehe 22 April 2020.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya Corona : Wagonjwa wawili wapona Tanzania huku 14 zaidi wakipata maambukizi Kenya

Wizara ya afya nchini Tanzania imethibitisha kuwa wagonjwa wengine wawili wamepona ugonjwa wa Corona huku nchi jirani ya Kenya ikitangaza kuwa watu wengine 14 wamepata maambukizi ya virusi vya ugonjwa huo.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya Corona: Taarifa ambazo si sahihi kuhusu corona zimetapakaa Afrika?

Madai kuhusu virusi Corona ambayo hayana udhibitisho zimetapakaa katika mataifa mbalimbali Afrika.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani