Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MWANAMKE AKUTWA NDANI KWA MTU

Mwandishi wetu, Mwanza MAUZAUZA! Mwanamke mmoja mtu mzima, ambaye jina lake halikufahamika mara moja amekutwa akiwa ndani ya nyumba ya mtu pasipo kueleweka namna alivyoingia, kwani milango yote ilikuwa imefungwa kwa ndani.
Tukio hilo lilijiri hivi karibuni majira saa 2 asubuhi maeneo ya Majengo, wilayani Misungwi, mkoani Mwanza na kujaza watu wengi. Shuhuda wa tukio hilo aliliambia gazeti hili kuwa walisikia kelele za mtu...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Mwanamke akutwa amekufa gesti

WATU watatu wamefariki dunia jijini Dar es Salaam juzi katika matukio matatu tofauti, akiwemo mwanamke asiyefahamika jina anayekadiriwa kuwa na miaka 25-30 aliyekutwa amefariki katika nyumba ya kulala wageni huku...

 

11 years ago

Habarileo

Mwanamke wa Tanga akutwa na bangi Zanzibar

MWANAMKE aliyetambuliwa kwa jina la Mwanaisha Is-haqa Ayoub (40) mkazi wa Tanga anashikiliwa na polisi baada ya kukamatwa na mafurushi 22 ya majani makavu yanayosadikiwa kuwa ni bangi akitoka Tanga.

 

10 years ago

Michuzi

Mtu mmoja akutwa amekufa porini leo

MTU mmoja anayekadiriwa kuwa na umri kati ya miaka 27 mpaka 30 ambaye jina lake halijafahamika mpaka sasa amekutwa akining'inia juu ya mti wa Mwembe uliopo katika pori lililopo nje kidogo ya mji wa Pongwe,Mkoani Tanga akidhaniwa kuwa amejinyonga.
Hali ya sintofahamu iliendelea kutanda katika eneo hilo huku kila alieweza kufika katika eneo hilo la tukio akiwa na mshangao wa kipi kilichomsibu mtu huyo mpaka kufikwa na mauti ya aina hiyo.
Akizungumza mmoja wa mashuhuda wa tukio hilo ambaye...

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Mtu wa kwanza akutwa na virusi hivyo Kenya

Kisa cha kwanza cha virusi vya corona chathibitishwa Kenya

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Mtu wa pili akutwa na virusi hivyo DR Congo

Kisa cha pili cha maambukizi ya ugonjwa wa coronavirus kimethibitishwa nchini Jamhuri ya kidemokrasi ya Congo.

 

10 years ago

GPL

FEDHEHA KUBWA MUME WA MTU AKUTWA NA CHANGUDOA AKIVAA SURUALI

WAANDISHI WETU Ikiwa kwenye misele ya mlala nje, ile Timu ya Oparesheni Fichua Maovu (OFM) ya Global Publishers, imenasa tukio la aina yake ambapo mwanaume aliyejitambulisha kuwa ni mume wa mtu amekutwa na mwanamke changudoa akivaa suruali baada ya kuvunja amri ya sita ya Mungu kwenye eneo la biashara ya mamantilie! Wakihamaki baada ya kukurupushwa. Tukio hilo la aina yake lilinaswa kwenye uchochoro mmoja, maeneo ya Mwenge, Dar,...

 

11 years ago

CloudsFM

CHATU AZUA KIZAAZAA ARUSHA AINGIA KWENYE NYUMBA YA MTU AKUTWA AMEFUNGWA KITAMBAA CHEUPE

Wakazi wa eneo la Sakina mkoani Arusha siku ya jana walipatwa na mshtuko mkubwa baada ya kuona chatu akiwa anaingia ndani ya nyuma ya jirani yao huku akiwa amefungwa kitambaa kilichokuwa na maandishi mekundu yasiyoeleweka mkiani mwake.Hiki ndicho kitambaa alichokutwa nacho chatu huyo.Source:Arusha Yetu

 

5 years ago

BBCSwahili

India: Wanaume wanne wanyongwa kwa kumbaka mwanamke ndani ya basi

Wanaume hao walishitakiwa kwa kumbaka na kumuua mwanamke katika mji mkuu wa India

 

10 years ago

Michuzi

mtu mmoja akutwa amekufa kando kando ya mto Ilolo,jijini Mbeya

 Asubuhii hii mtu mmoja amekutwa kando kando ya mto wa ilolo uliopo jijini mbeya akiwa amepoteza maisha,haijafahamika mpaka sasa ni kitu gani kilichomsibu mtu huyo mpaka kufukwa na mauti hayo.mpaka sasa hakuna alieweza kumtambua mtu huyo haifahamiki kuwa ni mkazi wa wapi.Kumradhi kwa picha    mwili wa marehemu huyo ukiwa kando ya mto huo. Wakazi wa maeneo ya jitani na mto huo wakiuangalia mwili huo kuona kama wanaweza kumtambua.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani